mwanamke

  1. Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

    Habari za muda huu wakuu. Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza juu.. Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni mwanamke anakuomba mpange nyumba kubwa muishi wawili mnashare baadhi ya sehemu tu kama vile kitchen,dining...
  2. Huezi mridhisha mwanamke kamwe

    Oya niadje wanangu Ni hivi leo nna ka neno nataka share na nyie wanangu huenda kakawasaidia au Kaka wapotosha inategemeana utakatumiaje Usijidanganye kua unaeza kumridhisha mwanamke kwa kumpa pesa, we tafuta tu pesa zikusave kwene majanga yako lakini usitegemee eti ukiwa na pesa ndo...
  3. E

    Mwanamke anayekupenda kikweli hawezi kukuomba hela

    Mwanamke anayekupenda kikweli hawezi kukuomba hela ila yeye ndiye atakupa wewe. Atafanya kila awezavyo akutafutie vizawadi ili ujue anakupenda. Atatumia gharama zake mwenyewe. Mwanamke anayekupenda anakutaka wewe tu kama ulivyo anakuhitaji tu wewe. uwepo wako kwake unatosha, hahitaji pesa yako...
  4. Halima Mdee: Mwanamke shupavu na msaada mkubwa katika bunge

    Kwangu mimi Halima Mdee Mdee naweza kusema ndiye mwanamama jembe na shupavu asiyeogopa na hata hachoshi kumsikiliza. Ni moja ya wanawake shupavu sana nchini na msaada mkubwa sana katika bunge letu la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Huyu Mwanamama ni msomi mwanasheria mwenye uwezo mkubwa sana...
  5. K

    Mwanamke hawezi kuvumilia manyanyaso

    Leo nina zawadi mbili (Moja ni hii na ya pili itafata) kutoka kiumeni kwenda kwa wake zetu vipenzi, kwenda kwa dada zetu, kwenda kwa mama zetu kwenda kwa walezi wetu wa kike. Leo nawasemea Wanawake kwa ujumla wao. Hakika hali wa shani Mwanamke hawezi kuvumilia kuishi na mwanaume anaye mnyanyasa...
  6. J

    GE2020 Shehe alhad Mussa Salum wa DSM ataka wananchi wachague wagombea Wanawake, adai Mwanamme ni zao la mwanamke, Mdee apiga makofi!

    Ni katika kongamano la Mtandao wa Jinsia lililozungumzia nafasi ya mwanamke katika uchaguzi mkuu. Mgeni rasmi alikuwa RC Kunenge na lilihudhuriwa pia na wajumbe wa kamati ya amani mkoa wa DSM na wagombea akiwemo Halima Mdee anayegombea Kawe. Shehe wa mkoa wa DSM alhad Musa Salum amesema nafasi...
  7. K

    Kuna Mke na kuna Mwanamke

    Habari za usiku huu watoto, vijana na wavyele pia. Sitaki kuelezea hadhi na jinsia ya Mwanamke, bali natafuta ithibati na uhakika wa kauli hii: "Kila Mke ni Mwanamke lakini si kila Mwanamke ni Mke" Wanandoa wote karibuni sana, bila shaka kauli hii mnaweza kuipa haki yake katika maana sahihi...
  8. Nimfanyenini huyu mwanamke?

    Ni chibonge hivi ila mzuri. Leo nilimkaribisha apike tule, tunywe baadaye tufanye. Sasa wakati anapika mi nilikuwa sebuleni nimetulia Niko nalipensi langu la kupungia upepo huku nikiwa kifua wazi.. nikaona isiwe tabu nikamfata hukohuko jikoni ili tuzungumze kidogo n.k Nilikuwa na glass ya...
  9. Mwanamke jiko bana, kwingine tutaelekezana tu

    Sina maneno mingi mingi leo ila napenda tu kusema na kuwambia kina mama/dada zetu kwamba sisi wanaume hamna kitu tunapenda na kukifurahia kama chakula cha nyumbani ambacho ni kitamu kilichopikwa kwa ustadi na level za ki 5 star hotel. Mambo mengine yotee huko tunaweza kuelekezana ila jikoni ni...
  10. Wanaume ehh! Hivi Huwa mnazingatia/mlizingatia nini zaidi ili kumpenda Mdada/Mwanamke?

    Aisee wanaume najua wengine hapa mpo kwenye mahusiano na wengine ndo bado wanatarajia kuoa. Huwa vijana wana shauku sana pindi wanapotaka kuoa na huwa na mapendekezo mbalimbali juu ya wanawake watakao taka kuwaoa/kuwa nao kwenye mahusiano. Na ule usemo wa mwanamke sio sura ni tabia haujawahi...
  11. Video ya mauaji ya mwanamke wa Mozambique imenichefua. MUNGU ibariki Tanzania

    Msumbiji: uchunguzi juu ya mwanamke aliye uchi 'alipigwa risasi mara 36' Idara ya uangalizi wa haki inahitaji uchunguzi huru baada ya wanaume waliovaa sare za jeshi kumuua mjamzito aliye uchi uchi kaskazini restive north. . Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International...
  12. R

    Sitosahau siku niliyopigana makofi na mwanamke

    Kwa kawaida kwenye jamii wanawake ni viumbe tunaowachukulia lege lege sana hii ni kutokana na tabia zao kupenda kujiremba, kutembea kwa malingo, kula mi chipsi nk sasa basi iaiombe itokee ukorofishane na hawa viumbe mfikie hatua muamue kupigana aisee usijidanganye kazi inaweza kuwa rahis hawa...
  13. Mwanamke wa kuwa Mchepuko rasmi anahitajika

    Mimi ni mwanaume wa umri wa ‘mid 30's’, nimeoa na naishi na mke wangu. Kutokana na changamoto za ndoa nimelazimika kutafuta Msaidizi wa mapenzi kwa mke wangu. Hivyo basi nahitaji Mwanamke wa kuwa Mchepuko wangu rasmi na wa kudumu. *Awe na miaka kuanzia 20 -40. *Awe na uwezo wa kujitegemea...
  14. M

    GE2020 Ya Mwenyekiti wa CCM Tarime kumuita mgombea mwanamke ni malaya, na ukimya wa Chama changu

    Kitendo cha Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tarime kutumia lugha isiyo ya staha jukwaani kwa kumuita mgombea wa CHADEMA "mwanamke malaya" ni cha kidhalilishaji na hakipaswi kunyamaziwa pasipo kukemea. Tupo katika mchakato wa kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu na Tume imekuwa...
  15. Msichana huyu Single Mother ana nyota kali sana. Juzi nimekutana naye jana nimeingiza sales Milioni 27 dukani kwangu Kariakoo

    Kuna watu watasema " oooh mods Uzi huu upelekeni jukwaa la intelligence kwa sababu Una madini mazito Sana" Haya Bana. Nianze kwa kusema Singo mazas sio wabaya kihivyo Kama tunavyo jaribu kutaka Ku uaminisha Uma. Pili niombe radhi kwa Singo mazas wote walio kwazika na threads zangu za nyuma...
  16. Mwanamke anaweza kukupenda kweli kwa pesa zako, sio dhambi, pesa kweli inanunua mapenzi

    Mwanamke anaweza kukupenda kwa PESA zako na akakupenda kweli kweli hili linawezekana. Sio dhambi, sio vibaya, sio jinai na hili linawezekana kwa asilimia miamoja 100% Kwanini? 😁😁😁 Kwa sababu ukiona unapendwa au mwanamke akikupenda lazima kuna kitu kakupendea tu sio bure kwamba akupende bila...
  17. J

    Rais Kagame ateua mwanamke kuongoza Idara ya Intelejensia

    Wakati hapa nyumbani kundi la wagombea wa kiume limepita bila kupingwa huku wanawake wakiendelea na uchaguzi na wengine kuenguliwa, kule Rwanda Rais Kagame amemteua mwanamama kuongoza idara ya Intelejensia ya nchi hiyo. Wanaume tukiendekeza kitonga akina Ummy ndio watakaobeba mikoba siku za...
  18. A

    Kwanini jamii inapenda kumhukumu mwanamke negatively kwenye Sekta ya Mahusiano? Utasikia yule mdada amefuata pesa tu kwa yule mwanaume

    Hii kitu sijai-notice Mara moja ,nime-notice mara nyingi sana, utakuta unapiga story na baba mkubwa, anakwambia yule mke wa mdogo wangu anachosubiria ni pensheni tu ya mdogo wangu wa kiume. Au mkaka in his early 30's akioa, utaskia mama MTU mzima akisema, huyo mdada ameolewa kwasababu anataka...
  19. S

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  20. B

    GE2020 Vurugu zatawala ofisi za CCM Dodoma baada ya walioshinda kura za maoni Udiwani kukatwa

    18 Aug 2020 Dodoma, Tanzania WanaCCM waandamana kupinga maamuzi Vurugu zinaendelea leo 18 agosti 2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma mjini baada ya kupokea majina ya wagombea udiwani ambao wamekatwa licha ya kuongoza. Jana halmashauri ya CCM mkoa wa Dodoma walirudisha majina ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…