mwanamke

  1. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke kwaajili ya mahusiano baadaye awe mke wangu

    Habarini Ndugu zangu Mimi ni mwanaume(Kijana), nina miaka 23. Dini yangu ni Mkristo. Elimu yangu ni Degree, sasa hivi ni mjasiriamali. Natafuta binti wa kuanza naye mahusiano awe na miaka kati ya 18-22, ambaye mahusiano yetu yatapelekea kuwa wanandoa. Kama uko tayari tuwasiliane Inbox...
  2. JamiiForums Tanzania Ukijitathmini; Hivi unaishi au Unaishia?

    Kwema Wanazengo! Sio lengo langu kumkwaza yeyote, lakini embu tujadili kidogo. Hivi ukijitazama ukajitathmini, Unaishi au Unaishia? Kama huli chakula ukitakacho, unaishi au Unaishia? Kama huvai utakacho, unaishi au Unaishia? Kama hujawahi hata kumiliki usafiri hata wa punda, unaishi au...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuanzisha naye mahusiano

    Naitwa John natafuta mwanamke aliyepevuka na mwenye upendo. Sifa zangu: Nina upendo wa dhati Najituma Nimsikivu na mwelewa Sipendi kelele🤣🤣🤣 Niko simple Sana. Sifa za nimtakaye: Awe na upendo Mpole sanaaa Muelewa na awe simple tu kama Mimi Mawasiliano yangu +254781847643. (WhatsApp)...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sababu ya mwanaume kunasa kwenye uke na suluhisho lake

    Watu wengi ambao hua wanasikia kwamba mwanaume amenasa kwenye uke wa mwanamke hua wanadhani labda kuna mambo ya kishirikina yamehusika hasa kama ni mme au ni mke wa mtu kitu ambacho hua sio kweli wakati wote. Tatizo la uume kunaswa kwenye uke sio hadithi au imani kama watu wanavyofikiri, ila...
  5. JamiiForums Tanzania Kiroho zaidi: Rais ajaye baada ya Mama Samia,atakuwa mwanamke pia

    By the time mama Samia ana karibia kumaliza muda wake wa uongozi hiyo mwaka 2030, mamilioni ya Watanzania wata tamani katiba ibadilishwe ili Mama Samia aongezewe muda , lakini halitawezekana tena kwani kwa wakati huo, kwa sababu tayari atakuwa ameshapitisha katiba...
  6. JamiiForums Tanzania Nimempa mimba mwanamke asiye mke wangu

    Habar wanajukwaa, Mimi ni baba wa mke mmoja wa ndoa na mtoto mmoja mwanzoni mwa mwezi February niliamua kuazisha mahusiano na mwanamke wa nje ya ndo yaan asiye Mke wangu tumekuwa tukisafri mikoa mbalimbali kwa Siri bila mama watoto wangu kujua. Mwezi june alinijuza kwamba anahisi kama ana...
  7. JamiiForums Tanzania Jifunze kitu hapa: Hii hapa Taarifa ya mwanaume aliechomwa moto na mwanamke wake (mchepuko)

    Jamaa huyo maarufu kwa jina la Zungu ameuliwa kwa kuchomwa moto na mpenzi wake huyo kwa jina la Neema. Tukio limetajwa kutokea huko Mbezi Makabe, Dar jana usiku. Sababu inadaiwa ni jamaa kutokuwa mwaminifu katika mapenzi yao ndipo mdada anadaiwa kumfungia ndani jamaa kisha kumwaga petrol na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mambo manne muhimu kwa mwanamke kuijenga amani ndani ya ndoa yake

    Salamu, Kwa ujumla ndoa ni jambo kubwa lenye wigo mpana na mambo mengi ndani yake ambayo si siku moja wala mwaka utatosha kuyaelezea yote. Hakuna ndoa iliyo kamilika kwa 100% wala binadamu aliye kamilika kwa 100%. Lakini yapo mambo machache angalau kwa kuyafuata yanaweza kukubadilisha kutoka...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Wosia siku ya ndoa yangu kwa mwanamke nitakayemuoa

    WOSIA SIKU YA NDOA YANGU KWA MWANAMKE NITAKAYEMUOA Picha: www.wikipedia.com Mwandishi: Emmanuel P. Peter Jr. Mob/WhatsApp: +255 788000273 Email: emmapeter759@gmail.com Instagram: emmapetertz Source: -------NIL------ “Maisha yanaenda kwa kasi sana, siku hizi mwanamke mwenye tako anajiamini...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa walivyo na roho ngumu bado watasema tuma na ya kutolea

    Ni maajabu na ni maajabu kweli kweli ,licha ya kelele zote hizi bado utaambiwa tuma na ya kutolea kama unanipenda kweli. Lakini bado wanaume wa kweli tutatuma na ya kutolea.
  11. JamiiForums Tanzania Unamchukuliaje mwanamke anayevaa wigi?

    Habari. Binafsi mdada akivaa wigi namshusha viwango. Sometimes nafika mbali, namuona kama mtu asiyejiamini, asiyejielewa na mwenye tatizo. Vitu artificial viko vingi ila kwa mawigi hapo mmezidi.
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke akutwa mtupu akiwa ameuawa Shinyanga

    Lucia Michael maarufu Mama Kulwa, mkazi wa Majengo Manispaa ya Shinyanga, amekutwa ameuwa na watu wasiojulikana, na mwili wake kutupwa nyuma ya Msikiti wa Majengo. Picha: Polisi wakichukua mwili wa Marehemu Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo, ambapo aligundulika na majirani majira ya...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

    Habari zenu wa JF moja kwa moja kwenye mada. Nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano ni miaka mi4 sasa kuna staff mwenzangu mmoja miaka kadhaa nyuma alikuwa kwenye matatizo makubwa sana. Mimi nilijitolea kumsaidia kwa kiasi kikubwa sana huyu binti si kama binadamu mwenzangu na kiukweli...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya adai kuolewa na Roho Mtakatifu

    #Taarifabilamipaka Elizabeth Nalem mwenye umri wa miaka 41 ambaye ni afisa wa mji wa Makutano Pokot Magharibi nchini Kenya, amewashangaza wengi baada ya kutangaza kuwa amefunga ndoa na Roho Mtakatifu. Harusi hiyo iliyoandaliwa kwenye hoteli ya Chelang’a mjini Makutano ilihudhuriwa na wapambe wa...
  15. JamiiForums Tanzania Utafiti usio rasmi kuhusu mitandao ya kijamii na watumiaji wake

    UTAFITI USIORASMI; KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII NA WATUMIAJI WAKE TANZANIA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Leo nitaleta kautafiti kadogo nililokafanya ambako sio rasmi. Mitandao ya kijamii Kwa hapa Nchini ambayo ni Maarufu ni Facebook, Instagram, WhatsApp, Jamii forum, Twitter's, Tiktok, ambayo hii...
  16. JamiiForums Tanzania Amber Rutty ni mwanamke jasiri (Bravely Woman) kuwahi kutokea

    Kwa asilimia kubwa kwenye maswala ya mapenzi wahanga wakubwa ni wanawake. Siku chache zilizopita nilikuwa nacheki Tv kipindi kilikuwa cha burudani miongoni mwa wageni wa siku hiyo alikuwa Amber Rutty ambaye aliambatana na mume wake kiukweli walikuwa wamependeza Sana na walikuja kuachia kazi yao...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume wa Kweli na Mwanamke wa Kweli! Nini mtazamo wako?

    Mwanaume anatoa, mwanamke anakataa!
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia asifikiri kuwa mwanamke itavutia wawekezaji

    Nilimsikia Rais wetu Samia Suluhu akithamanisha uwepo wake kama Rais Mwanamke katika kuvutia vitega uchumi toka nje. Hiki ni kiinimacho tusije ruhusu uwekezaji usio na tija kwa maendeleo ya nchi. Lengo letu sio kua na wawekezaji wengi tu. Samia asije legeza kamba akaanza kutoka kwenye misingi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Baada ya miaka michache hakutakuwa na mwanamke mweusi hapa Tanzania

    Asilimia 50 ya Dar peke yake tiyari wanawake wameanza kugeuka rangi na kuwa weupe, inasemekana inasababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa na sasa hata nywele zao zimeanza kubadilika na kuwa kama mvi au za kizungu. Wengine wanakuwa zimewabadilika na kuwa kama za kihindi au kizungu ni nadra kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Nataka kuahirisha kuoa Oktoba Mwaka huu

    Wadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa. Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa sitaki hata kumuona nimetokea kumchukia Namuona hadi ni kero kwangu [emoji26] Taratibu zote za harusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…