Hataki tufanye mapenzi mpaka tuoane

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,266
2,000
Habar za kaz wadau hope all is gone well Mungu anasaidia january inakatika io ebu twende ndan ya mada

Nipo katika mahusiano na girl mmoja hivi kwa almoat miaka miwili sasa mapenzi yetu yalitawaliwa na furaha tele ikiongozwa na upendo lkn kuna mikwaruzo midogo midogo toka awali lkn sasa sio mikwaruzo midogo tena bali ni mikubwa sasa naomba kila mtu awe clear kunifuatilia maana ntaelezea in short kufupisha mada

Iko hv girl toka awali amekuwa mgumu kukubali linapofika swala la sex yaan mpaka tunafika kitandan ni lazima nguvu ya ziada itumike kubembeleza sn ndo anakubal na kuna mda bado anakataa mpaka nibadilike rangi niwe mwekundu ndio anakubali yaan mpaka nichukie ndio anakubal pia ni mwepesi sn kufuta promiae yaan nikimwambia kesho tusex anaweza kukubali lkn kesho ikifika lazima atafute sababu na haji atazungusha mpaka atapohis sasa nimechukia atakuja bila hiyana na akija siku io tunaweza kwenda privacy bila shida yoyote

yaan kuna mda ilifika niliamin huyu dada anipend nikaacha mawasiliano nae sms sijibu simu sipokei whatsaap nimeblock lkn atakuja mpaka getto akihis nimechukia na kuna mda anarusha lawama kwamba kwann nimemblock whatsapp nikamwambia ww toka juz hujibu sms yngu ulitaka nifanyaje akasema alikuwa busy nikamwambia mbona kuna mda unaonekana online na hujibu kitu akiona hoja zimemshinda anakaa kimya !!!

Ndugu msonaji mapenzi yetu yamekuwa ni ya kuzozana hasa linapokuja swala la sex yaan namwomba ananinyima nakasirika ananipa ni mwendo uo uo kila siku kuna mtu anaweza kudandia hapa kwenye comment na kusema huyo kafuata pesa nataka niweke waz pesa huwa haniomb nampa kwa ridhaa yngu lkn hata akinipmba nisipompa au nikimpa nusu sometime hata robo halalamiki yaan anaweza kuniomba laki nikampa elfu 25 tu na halalamik na japp moyo wake u nakuwa haujalidhika lkn harush lawama za moja kwa moja yaan ipo hv anaweza kuniomba kitu nimsaidie whatsapp kipind anaomba anakuwa anareply sms faster yaan ni sekunde tu ashajibu lkn nikimpa jibu kwa sasa hapana.

Anaanza kuwa slow kujibu sometime anatoka kabisa online kunitafuta mpaka kesho na maongez ni mengine sio yale ya jana na hata ukimpa robo ukamwambia nyingine next week ikifika next week akukunbushii wala nn anakaa kimya tu

Kuna kitu na hiki pia naomba niweke waz kwao ni wafia din ni watu wa din sn yaan chrismas na mwaka mpya alikesha kanisan mtu anaweza kudandia na kusema alikucheat alienda sehemu nyingine akakudanganya anaenda church nilimpigia video call nikaona kabisa yupo kanisan na alilala kanisan mpaka saa 9 nampigia alikuwa kanisan anaish kwa dada yke nae ni mfia din balaa wanasali pentekoste wote mm ninaish geto na mshikaji wangu tupo wawili nikimwambia my kwann nikikuomba sex unakuwa hutak ananijibu hapendi gest kwa sababu hapo gest wanalala watu weng mno kwenye hvo vitanda na pia nikimpeleka geto hayupo comfortable kwa sababu anajua tupo wawili japo akija geto huwa namwambia mshikaji apndoke pia kuna mda anadai tuoane ili tuwe kihalali wazazi wangu wote wanamfahamu na pia yy dada yke wa tumbo moja namfahamu na matukio yote muhimu km haruai,sendoff, na hata birthday yangu nakuwa na yeye ila yy wazazi wake wapo mkoan hapa anaish kwa dada yke na yeye pia anashughuli zake za kiuchumi

Sasa kilichopelekea niandike uzi huu ni kinachoendelea kwa sasa nilimwomba privacy km kawaida yke akaanza kuzungusha baada ya km wiki hv akaja akiwa na iman kuwa tutaenda privacy sasa mm nikagoma alitumia mbinu nying sn kuonesha ishara kuwa twende ila mm nikakataa na nikamwambia kwa sasa nimeweka wazo lake mezan kwamba hatutoonana mpaka tuoane akakubal lkn ukaribu wetu umepungua ameanza kulalamika kuwa hana aman mara nina mwanamke mwingine mara sipo km zaman na malalamiko mengine meng nikamwambia ww c ndio wazo lako kwann ukose aman na wakat wazo lako ndio lipo mezan bado analalamika kuwa ayo ni maamuz yngu kuwa yy atafanyaje nikamwambia haya ni maamuz yngu lkn nimefanya hv baada ya kuona mawazo yngu unayapuuza so nikona bora niweke yko bado analalamika tu ooh
We utaweza kuvumilia mwanamke akipita mbele yko itakuwaje je sex utaipata wap alionesha ivo kwa ishara hakutamka neno sex nikamwambia wanawake wapo kila cku tunapishana nao mm ntavumilia akasema hata km yy hawez kuwa na aman

Nikamwambia ok kwaio ww unasemaje hili wazo lako tuendelee nalo au la ajabu "eti anaaema tuendelee nalo na wazo zur linajenga heahina mbele za watu na kwa Mungu " apa nilichoka kwanza nikawa naongea kwa hisia sana hv ilo wazo lako si ndip linakupa wasiwasi si ndio ilo linakunyima aman si ndio ilo limesababisha toka mwaka uanze kila ukija mapenz yameahuka sasa ni wazo ni wazo gan hilo unaling'ang'ania ili hali ukijua linatutesa wote nikaenda mbal zaid kuongea nin maana ya mapenzi nn maana ya ndoa tena nikitumia lugha nyoofu nikamweleza nin maana ya kushare idea nikamwambia au unataka mm ndio nikuombe ulifute ilo wazo maana sikuelew akakasema aya bhac nimelikataa ilo wazo kipind tunaongea ayo tulikuwa njian nikaona huyu sasa anajibu tu ili mrad nikamwambia twende kwenye baa moja tuongee vzr akakubali.

Aisee tukafika kwenye baa tukala tukanywa tukaaongea mambo yakimaendeleo tukarud kwenye mada yetu nikamwambia jaribu kujibu ili swali kutoka moyon mwako sikiliza nafsi yko ucjal hisia zngu wala emotion zilizopita we jibu kutoka katika nafs yko wazo lako la kukaa bila kusex mpka ndoa unalikubali au unalikataa akajibu nalikubali nilipata hisira nikanywa soda iliokuwepo mezan kwa speed nikaenda jikon nikalipia pesa akaja akaniambia nimsimamishie bajaj nikakataa ktk kipind chetu chpte tulichokuwa wapenz kuna vitu tulishaviweka km deatur km kukumbatiana tukionana kukiss kushare idea kipind anaondoka nauli nampa na bajaj namsimamishia ikiwemo kumkodishia lkn yote niliyasahau nikawa mm km mm zaid nakumbuka nilichomwambia kwaheri tutaonana kesho aliondoka kwa unyonge adi nikawa najisikia vibaya yaan nam nikarud hme nikapanga nilale tu lkn nafs ikanisuta nikampigia kumuuliza km kafika salama akasema ndio nikamwambia ucku mwema adi sasa hatujazungumza kitu.

Naomben ushauri nifanyaje.

NOTE: Ukianza kuwaelewa wanawake jua unakaribia kufa
 
Luv

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
1,849
2,000
Hapo kwenye "NOTE" umemaliza kila kitu Sina Cha kukushauri.

Ila ningekuwa mwanaume. Mwanamke msumbufu kwenye tendo la ndoa ningemuacha Mara moja. Nisumbuke kutafuta hela, Nisumbuke kukutongoza Hadi ukubali, na tendo nalo niwe naliandalia proposal kila navyohitaji? Hapana kwa kweli
 
Lob

JF-Expert Member
Jul 24, 2017
389
500

Wanawake wa namna hio atakutesa sana, wana mioyo migumu kushinda chuma, unaweza ukafa akiwa anakuangalia, hujifanya wanyonge, Achana naye tafuta mwingine, ukimsubiri ukaoa utakumbuka jibu hili.
 
Lob

JF-Expert Member
Jul 24, 2017
389
500
Hapo kwenye "NOTE" umemaliza kila kitu Sina Cha kukushauri.

Ila ningekuwa mwanaume. Mwanamke msumbufu kwenye tendo la ndoa ningemuacha Mara moja. Nisumbuke kutafuta hela, Nisumbuke kukutongoza Hadi ukubali, na tendo nalo niwe naliandalia proposal kila navyohitaji? Hapana kwa kweli
Hao madem ni hatari sana, wanasumbua hata ukioa na wana roho ngumu kushinda jiwe na niwabinafsi sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom