mwanamke

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

    Nani kawaroga enyi wanaume wa ki,zazi hiki? Unaanzaje kufanya ujinga huu wa kumuandaa mwanamke ili akuache baadaye? Ndiyo! Kumfungulia mwanamke biashara YAKE ni maandalizi muhimu ya kutaka akuache siku za usoni. Kwasabb unampa uwezo wa kiuchumi ili asimame peke yake. Mwanamke ili atulie kwenye...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kupanga nyumba au chumba na kukuta kuna mpangaji mwanamke

    Habari wana JF, Kupanga sehemu mpya na kukuta jinsia tofauti na yako kwanini huwa mahusiano yaanze. Ukipanga sehemu mpya unaweza kujizuia kuanzisha mahusiano na mpangaji mwenzio? Nina nyumba ya 3 sasa nahamia na zote nakuta wadada na mahusiano yanaanza na wengine wana watu wao japo hawaishi...
  3. JamiiForums Tanzania Usioe Mwanamke asiyekupenda

    Jana nilikutana na fundisho kubwa sana kwenye maisha yangu baada ya kukutana na mzee wa bodaboda aliyenipa ushauri mzito utasema alitumwa na Mungu juu yangu. Mwakyoma: Mzee umemuona yule dada aliye nisindikiza vizuri Mzee wa boda: Ndio nimemuona , vipi ndio mkeo Mwakyoma: Hapana , ni mtoto wa...
  4. JamiiForums Tanzania Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

    Wanabodi Hii ni moja ya zile mada zangu za kikubwa zinazomtaka mtu kusoma kwa akili iliyotulia, na ili kuielewa,kunahitaji kiwango fulani cha uelewa!,kama wewe ni mwenzangu na mimi,wale wenye akili za wastani za dii mbili!nakushauri save your precious time,jipitie zako tuu na uende mabandiko ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke wa Kiislam kuwa Rais ni kukiuka nguzo za Uislamu?

    Swali la uelewa, Kwa nini mama wa kiislamu kuwa rais ni kukiuka mafunzo ya Mtume Muhamadi? Huu ni uelewa tu, kwa hiyo tujengeane uwezo bila jazba wala kashfa c.c FaizaFoxy
  6. JamiiForums Tanzania Mimi nashangaa huyu Mwanamke kila Muda namwambia aachane na Mimi lakini anielewi

    Huyu Mwanamke Kama anailewi nimemwambia aniache nifocus na Maisha yangu lakini yeye kutwa kulazimisha yaani hata sielewi anatafta Nini kwangu. Mimi sasahv nataka kukaa single nimemwambia lakin ndo kwanza anafosi niwe naye. Sasa leo Nampa Brock za maana najua yupo humu Jf na anasoma huu Uzi...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanamke

    Habari, nahitaji Mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 19 hadi 27 wa kuwa nae kwenye mahusiano serious yenye manufaa baadae. Kwa mengine mengi zaidi tutaelezana inbox. Karibu
  8. JamiiForums Tanzania Acha mwanamke asomeshwe na wazazi wake! Ukimsomesha wewe upendo wake kwako unaondoka kabisa

    nawasihi sana ndugu zangu, usisomeshe mwanamke kwa lengo la kuja kumuoa baada ya Masomo. Nakwambia kadri unavyomsomesha ndivyo anavyokuona useless na sio level zake. Acheni wasomeshwe na wazazi wao, wewe nenda katimize jukumu la kuoa na kujenga familia
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu hana sauti na maamuzi kuhusu hatma yake na Ex wake

    Kama kichwa Cha habari kinavyosema Ni Mara ya Pili nakuja Tena nikihitaji maoni, ushauri na ikiwezekana msaada wa kimawazo kuhusu hili lililo mbele yangu kwa muda huu. Niliwahi kuja humu mwezi wa Pili mwaka huu nkiwa na tatizo la mpenzi nliyekua nae na mlishapanga kufanya maisha nae Ila gafla...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ile hela mwanaume anayompaga mwanamke baada ya tendo inaitwaje?

    Habari za leo wadau ebu kwa wataalam na wahenga naomba ebu tujuzane kuhusu ili jambo maana kila mtu na ujuzi wake na je unaweza kutoa kwa mkeo ndani na kwanini mke apewi hii hela baada ya tendo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nina jambo langu, nahitaji mke wa kuoa

    Wapendwa wa Jamii Forums, Nawasalimuni nyote! Kisha napenda kuwashirikisha jambo langu. Sina mambo mengi. Kwanza kabisa, WANAUME wenzangu hii haiwahusu kabisa. Labda kama unamjua mwanamke wa aina hii nayotafuta umwelekeze yeye mwenyewe awasiliane na mimi. Nataka kuoa. Sifa zangu na za huyo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dunia hii ina mengi kumbe, mwanaume unaweza kumpa limbwata mwanamke

    Maisha haya bhana kuna kipindi maisha yalinipiga mjini nikapoteza direction ikabidi nijichanganye kitaani nikutana na vijana flani ivi nikawaomba mishe wakaniunganisha na jamaa wengine kazi ya kuchoma mkaa Tukasafiri kwenda porini kijijini ndani uko kufika kuna mzee tukamkuta ana age kama 80s...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

    Eid Mubarak y’all… Napenda kuomba radhi kwanza kwa maneno makali/yasiyo na staha niliyotumia katika katika mada hii, I failed to put it together. Samahanini kwa wote ambao andiko hili litaSound vibaya kwenu. I’m not something of an expert and these sorts of things it's kinda not my area of...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Hii ya mwanamke kuomba 100, 200 hii imekaaje?

    Nawatakia sikukuu njema Jf Ndugu zangu mwanamke ninaishi ishi naye amepata trip ya kikazi kwa miezi 6 sasa hivi inakaribia kumaliza mwenzi mmoja tangu aanze safari yake nikabaki mpweke. Kwa hulka zetu na kibailojia tulivyoubwa huwezi ukaakaa miezi bila kufanya mapenzi itakutesa Sana mwisho...
  15. JamiiForums Tanzania Napenda harufu ya nguo ya ndani ya mwanamke, nikilala naivaa kichwani inashuka hadi puani

    Nnatabia ambayo sio ya kawaida huwa napenda harufu ya chupi ya mwanamke na nikilala usiku naivaa kichwani halafu naishusha hadi puani inaziba pua kale kaharufu najihisi niko peponi. Je, nina shida? Ila iwe imevaliwa hata wiki na isifuliwe.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Michezo ya hatari: Ushawahi kuingiza mwanamke / kulala naye nyumbani kwa baba yako? Ilikuwaje?

    Miaka kama mi 4 nyuma kuna mpangaji wetu alitembelewa na mdogo wake kutoka Singida, nikatokea kumpenda sanaa huyo mdogo wake, nikamtongoza akakubali akamwambia na dada yake nae akasema fresh tu. Kwenye kumla sasa yule dada alikua ana roho ngumu sana kwa jinsi Mama alivyokua mkali na demu wangu...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa bleed isiyoisha kwa mwanamke aliyetoa mimba

    HABARI WANA JF, Naomba Kufahamu Kwa Mwanamke Aliyetoa Mimba kwa Kutumia Vidonge Vya Kutolea Mimba Na Kupata Bleed Isiyo Kata Zaidi Mwezi Nzima Naomba Kufahamu.👇👇👇 1.Nini Chanzo. 2.Madhara 3.Matibabu.🙏🙏🙏
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna Mwanamke anayekosa mume wa kumuoa, Ila wapo wanaume wanaokosa wake wa kuwaoa!

    HAKUNA MWANAMKE ANAYEKOSA MUME WA KUOLEWA NAYE. Anaandika, Robert Heriel Kuna uvumi unaoendelea katika jamii zetu za kiafrika kuwa mwanamke akifika umri Fulani anakuwa katika Mazingira magumu ya kuolewa Jambo ambalo sio kweli. Mwanamke anaweza kuolewa katika umri wowote hata akiwa kabibi, Ila...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi wanawake wanavyochukulia Dhana ya "Kutongozwa"

    JINSI WANAWAKE WANAVYOCHUKULIA DHANA YA "KUTONGOZWA" Anaandika, Robert Heriel. Asali ya Warembo! Wanawake wapo complicated ukitumia akili ya kiume kuwatafakari, lakini ukitumia akili ya kike utawatambua vyema Kabisa na wala hawatakusumbua kuwaelewa. Kama hauna akili ya kuwaelewa wanawake basi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kisimi ni sehemu yenye hisia kali kwa mwanamke?

    Naombwa kujuzwa kisayansi hii imekaaje mpaka kisimi/ kinembe kinakuwa na sexual arousal kubwa? Na hasa unapokisugua na kichwa cha uume? Tafadhali tusaidiane kisayansi ili tudumishe mahusiano yetu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…