mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Taja sifa ya mwanamke mwenye kipini puani

    Mimi naanza. Miuno feni, nimeshawala kama watatu hivi wenye vipini puani mashallah watamu 🤩
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kiarabu au shombe shombe kwa ajili ya serious relationship

    Habari zenu!!! Natafuta mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano serious. Awe anaishi Dar es Salaam Sifa kuu na ya kwanza awe ana asili ya kiarab au colored wa asili yoyote. Umri kuanzia miaka 23. Dini yoyote Kabila lolote Elimu yoyote. Awe na hofu ya Mungu. Awe msafi Mimi sifa zangu Rangi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwanamke mgumu asieweza chepuka hata ajaribiwe namna gani?

    Hebu soma kisa hapa chini kwa utafiti wangu hayupo mwanamke ambae hawez danganyika mwanamke ni dhaifu hata awe pastor ndo walivoumbwa There is this man who began chatting with me around October. The man is very handsome and with money, he began showering me with nice messages and slowly...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke kumwambia ukweli Mtoto sio kumpa Sumu!

    MWANAMKE KUMWAMBIA MTOTO UKWELI SIO KUMPA SUMU! Anaandika, Robert Heriel Kuna kasumba mbaya Sana iliyoota mizizi ndani ya jamii kuwa Wanawake wanawapa sumu watoto wao ati wawachukie Baba zao. Jambo ambalo Kwa kiwango kikubwa ni uongo mkubwa. Sio dhambi wala kosa Mama kumwambia m/watoto wake...
  5. JamiiForums Tanzania Ni dawa gani madhubuti kwa mwanamke asiyesikia?

    Una mwanamke mpo kwenye mahusiano, hasikii haambiwi, haoni. Ni kiburi pamoja na dharau pale ambapo anakuwa amekosea, unatamani umzabe kofi umsororoe hiyo mikamasi kwa ndoo(kichwa). Ila unamtazama tuu unamvutia kasi. Diplomasia imetumika mpaka yenyewe imechoka inataka kuchanja mbuga. Mimi niko...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Kila nikitongoza mwanamke naishiwa kutukanwa

    Hello JF members, Shida yangu ni kuwa kila nikimtongoza msichana naishia kutukanwa hadi kushushuliwa. Naomba ushauri wenu ninyi mnafanyaje jamani kunasa viumbe hawa mpaka wanajaa geto hawa viumbe, au kamzizi gani kanafanya kazi wakuu? Msaada. Nawasilisha.
  7. JamiiForums Tanzania Manyaso ya mwanaume ni magumu kuliko mwanamke

    Morning, Ambao tumeishi kwa ndugu nikiongea hivyo mnanielewa bora akunyanyase mama mwenye nyumba kuliko baba mwenye nyumba. Nimeshaona kitu kama hiki kimewahi nitokeaga mpaka leo sitamani mwanangu aende kwa ndugu yoyote yule, sio kwenda likizo wala kumsalimia. Nilikaaga kwa aunt yangu kulala...
  8. JamiiForums Tanzania Utagunduaje kama Kilio cha 'Utamu' cha Mwanamke ukiwa 'Unambaioloji' ni cha Uhalisia au cha Maigizo tu?

    Majibu yenu ni Muhimu sana hasa kwa muda huu ambapo Maandalizi ya Derby za Kibaioloji yakiwa yanafanyika Maghettoni na Lodge au hata Kwingineko.
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwanza: Mtoto wa mwaka mmoja aoza mkono kisa uzembe wa hospitalini, uchunguzi waanza

    Mwanza. Mtoto Nassoro Rashid Nassoro (1) anapigania maisha yake katika wodi za Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza kutokana na madhara ya kiafya ambayo wazazi wake wanadai ni uzembe wa madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Tanzanite Jijini Mwanza. Matatizo ya mtoto Nassoro...
  10. JamiiForums Tanzania Je, unataka kuolewa na mume Mwafrika asiye Mtanzania? Wajue wanaume wa Kiafrika na sifa zao

    WANAUME WA AFRIKA.! 1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha". 2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - WaSenegal. 3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - Wakenya (Kati ya wanaume 10...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke asiposhobokewa huwa anachanganyikiwa

    Wakuu hii kitu ni kweli kabisa sasa nimeamini, kuna dada mmoja hapa jirani ninapoishi niliwahi kuwa nae kwenye mahusiano lakini kutokana na tabia zake za dharau na kujiuza uza kwa bei chee nikampiga chini kimyakimya bila malumbano yoyote. Karibia mwezi sasa anajipitisha pitisha ili walau...
  12. JamiiForums Tanzania Ushawahi kumfanyia mwanamke hii mbinu?

    Kwa mlioelewa picha! Hii handshake ni kwa mabazazi tu😅😅
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikaa mwaka mzima bila kuduu lazima dishi liyumbe

  14. JamiiForums Tanzania Mganga wa jadi jela kwa kosa la kumuua mwenzake wakigombea mwanamke

    Mganga wa kienyeji, Ismail Ramadhani (27) amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mwanaume mwenzake bila kukusudia, wakiwa wanagombania mwanamke. Ramadhani ambaye ni mkazi wa Vingunguti jijini Dar es Salaam, amehukimiwa kifungo hicho leo Jumanne...
  15. JamiiForums Tanzania Napendwa na kila mwanamke mpaka najuta kuzaliwa

    Habari za humu! Mimi ni kijana wa miaka 25, nimekuja kwenu niwaulize mimi kila nikimsemesha mwanamke tu basi ananitaka kimapenzi mpaka nashindwa kuelewa nini maana mpaka imekua kero wanapigana kisa. Mimi situmii pesa yeyote na nakula mbususu 5 kwa siku bila hata ya kugharmia. Naombeni ushauri...
  16. JamiiForums Tanzania Uingereza: Liz Truss achaguliwa kuwa Waziri Mkuu

    Graham Brady, Mwenyekiti wa Kamati ya 1922 ya kundi la Wabunge wa Conservative ambao si Mawaziri wa Serikali amemtangaza Truss kuwa mrithi wa Boris Johnson aliyelazimika kujiuzulu baada ya shinikizo la Mawaziri waliodai kutokuwa na imani naye. Matokeo hayo yametokana na Kura za wanachama wa...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba maoni yenu huyu mwanamke ananiumiza sana

    Ushauri Wakuu kwasasa mwaka na nusu ninamahusiano nahuyu mwanamke, kwasasa kwao baadhi wananijua, yeye anang'ang'ania tuishi wote nimuoe, ninachojiuliza hivi inawezkana kweli kwasababu amenipita miaka 9 huyu mwanamke na ndugu zake hawasemi wamekaa kimya tu. Yeye ana mika 32 kwasasa kanipita...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke, kama hakugharamii achana naye, lazima ugharamiwe!

    Anaandika, Robert Heriel Mambo ya kubembelezana hakuna hapa. Kwanza muda mchache na maisha mafupi huo muda wa kubembelezana tutautoa wapi. Kama hawezi kukugharamia piga chini. Usiwe na jicho la huruma hata siku moja. Mimi kaka yenu, naam ndiye baba yenu ninaelewa ninachokisema. Hutaki acha...
  19. JamiiForums Tanzania Ukatili dhidi ya wanawake, Mwanamke auwawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali huko Mkoani mwanza

    Mtu huyo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 35 aliokotwa hapo, huku pembeni yake kukiwa na chupa yenye pombe. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo na kuthibitishwa na wenyeviti wa mitaa hiyo miwili huku chanzo cha mauaji hayo kikiwa bado hakijajulikana na upelelezi wa kubaini...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mwanamke akitaka kuolewa anatolewa mahari?

    Hongera kwa kuvumilia maumivu ya tozo, pia msisahau kulipa ada kwa wale mliozaa kwenye ndoa au nje ya ndoa. Kwa nini mwanamke akitaka kuolewa kuna huu upuuzi sijui; Kupeleka barua ya posa Sijui kutoa mahari Sijui Kumvalisha pete ya uchumba Hivi ndoa haiwezi kufanyika bila huu mlolongo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…