Mwanafunzi wa Chuo cha Utumishi Kange, jijini hapa anadaiwa kumuua mwanafunzi mwenzake kwa kumchoma kisu baada ya kumkuta kwenye chumba cha rafiki yake wa kike.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Kamishna Msaidizi, Blasius Chatanda, alithibitisha jana kwa njia ya simu kutokea kwa tukio hilo, na...