mwanafunzi

  1. O

    JamiiForums Tanzania Utaratibu upi mwanafunzi anapaswa kuufuata akichelewa kusaini fedha za kujikimu? na fedha hizo zinaweza kurudishwa

    Je, ni utaratibu upi mwanafunzi anapaswa kuufuata akichelewa kusaini fedha za kujikimu? na fedha hizo zinaweza kurudishwa.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Ningependa kufahamu juu ya utaratibu ambao mwanafunzi anapaswa kufuata akichelewa kusaini fedha ya kujikimu

    Habari, Ningependa kufahamu juu ya utaratibu ambao mwanafunzi anapaswa kufuata akichelewa kusaini fedha ya kujikimu na je fedha hizo zinaweza kurudi?
  3. JamiiForums Tanzania Moshi: Mwalimu mbaroni akituhumiwa kusababisha kifo cha mwanafunzi kwa kumpiga mateke

    Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’. Kutokana na kifo hicho, ndugu wa mwanafunzi huyo...
  4. JamiiForums Tanzania Moshi: Padri amshinda DPP kesi ya kubaka mwanafunzi na kuachiwa huru

    Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, Erasmus Swai amembwaga kortini Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) aliyekata rufaa dhidi yake kupinga uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Hai kumwachia huru padri hiyo katika kesi ya ubakaji. Januari 1, 2021 padri huyo alifikishwa mahakamani kwa mara ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, ulitumia mbinu gani kuingia kinyemela shuleni na kitu kisichotakiwa?

    Kuna dogo anasoma shule zenu za kishua ila zenye mitambo ya kukagua na ina walimu wanoko ila kaingia (kazama) getini na bangi na simu bila kugunduliwa na najua muda huu wa saa 4 kuelekea saa 5 ndiyo huwa mida yake ya kuvuta na kutupigia simu sisi washkaji na kaka zake wa mtaani tupige story...
  6. JamiiForums Tanzania Kama ni mwanafunzi wa lugha(Kiswahili) UD na upo chuoni ni PM unisaidie kazi fulani hapo chuoni.

    Habari. Kama ni mwanafunzi wa UDSM na una muda mchache wa kufanya kazi fulani nicheki PM. Mwanafunzi anayesomea masomo ya kiswahili. Natanguliza shukrani.
  7. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwalimu anayetuhumiwa kumshushia kipigo Mwanafunzi aliyedokoa maandazi ashikiliwa na Polisi

    Kufuatia kuripotiwa kwa tukio la Laurence Nicholaus Mwangake, Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Rohila, Mbalizi kulazwa Hospitali ya Ifisi tangu Februari 12, 2023 ikidaiwa amejeruhiwa kwa kipigo, watuhumiwa wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano. Afisa...
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mbeya: Mwanafunzi alazwa baada ya kupata kipigo kutoka kwa Walimu wa Shule ya Sekondari Rohila, inadaiwa alidokoa maandazi manne

    Kijana Laurence Nicholaus Mwangake mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Rohila iliyopo Mbalizi Mkoani Mbeya amelazwa Hospitali ya Ifisi ikidaiwa amejeruhiwa vibaya na Walimu wanne pamoja na Walinzi wawili wa shuleni hapo. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shule ya Rohila...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Cameroon atoa uzoefu wake wa kusoma nchini China

    Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Pili cha Yaounde nchini Cameroon imefanya mkutano wa hadhara wa “Soma nchini China, changamsha maisha yako", na kumwalika Joseph Olivier Mendo’o, ambaye ni mhitimu wa Taasisi hiyo kutoa uzoefu wake wa kusoma nchini China. Takriban watu 200, wakiwemo...
  10. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mamlaka za elimu kumbadilishia Mwanafunzi jina lake?

    Salaam wakuu, Nimepata shida kwa watoto wangu wawili kubadilishiwa majina.Wa kwanza alifanya mtihani wa darasa la nne mwaka 2020 na mwingine 2022.Nilipata kufahamu tatizo Hilo baada ya matokeo ya darasa la nne.Shule walizosomea majibu yao ni kuwa wao walisajili sawasawa kulingana na vyeti vya...
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kagera: Mwanafunzi wa Form 2 abakwa na mwalimu aliyekuwa anamfundisha tuition

    Jamii Forums pazeni sauti kuna mtoto wa kidato cha pili amebakwa na Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera wakati akifundishwa tution. Mtoto ni Mwanafunzi wa kidato cha pili Shule ya Sekondari Kagondo. Kwa sasa mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana anatamba. Atuhumiwa aliyefanya kitendo hicho anafahamika...
  12. JamiiForums Tanzania Hoja za Kihiyo uamuzi wa NECTA kuachana na utaratibu wa kutangaza top 10 na mwanafunzi bora

    Nimefuatilia kwa karibu mitizamo kinzani ya wadau wa elimu na wanaharakati mbalimbali baada ya Baraza la mitihani Tanzania kutangaza matokeo kidato cha nne 2022, na hoja kubwa iliyoleta mjadala mtandaoni ni ile ya Baraza la mitihani Tanzania kuondoa utaratibu wa kutangaza shule kumi bora...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mwanafunzi yakiandikwa kwa mtindo huu maana yake nn?

    Kwenye points na Division pameandikwa *S.
  14. JamiiForums Tanzania Kwahiyo tumewahamishia Shule nyingine Walimu waliokuwa wakichekelea kupigwa Mwanafunzi ili wakacheke zaidi huko?

    Je, hawa Walimu waliokuwa Wakichekelea Mwalimu Mkuu alipokuwa akimuadhibu Kikatili Mwanafunzi angekufa bado wangeendelea Kucheka? Kwanini mmewahamisha Shule nyingine na siyo Kuwafukuza kabisa Kazi? Wao Wana tofauti gani na Mwalimu Mkuu aliyekuwa akimchampa huyo Mwanafunzi? Hovyo kabisa.
  15. JamiiForums Tanzania Kocha asimamishwa kazi baada ya kulazimisha wanafunzi kupiga Push-ups 400

    Kocha wa shule ya upili ya Texas amepewa likizo ya utawala baada ya kuwataka wanafunzi wa riadha kupiga Push Ups 400 ambapo baadhi yao walitakiwa kupata matibabu na kulazwa Hospitali. Kocha wa Rockwall-Heath, John Harrell. anashutumiwa kwa kuongoza darasa la riadha Januari 6 ambapo...
  16. JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Sibuka Radio aliyesoma Vichwa vya Habari leo arudi tena Darasani anatia 'Kichefuchefu' Kumsikiliza

    Tafadhali Mzee wangu na Mmiliki wa Sibuka Media Dk. Nangale na Mkeo Doreen Nyange ( Boss Mwandamizi Sibuka Media ) mmekumbwa na nini Siku hizi hadi mnaajiri Watangazi wa hovyo hovyo na wanaotia Kichefuchefu kuwasikiliza kama huyu wa leo? Nawaombeni hebu rejeeni Kukagua Academic Credentials za...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa darasa la 4 ajinyonga, adaiwa kujichimbia Kaburi kabla ya tukio hilo

    Wakazi wa Kaunti ya Kirinyaga wameibua wasiwasi kuhusu visa vya watoto kujitoa uhai baada ya mtoto wa miaka 10 kujiua katika Kijiji cha Kibingoti Kaunti Ndogo ya Ndia. Mwanafunzi huyo wa darasa la 4 anasemekana kujinyonga ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Kibingoti siku ya Jumanne. Kwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi ajinyonga baada ya wazazi wake kumzuia kutojihusisha na mapenzi

    Lasmini Kondo mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Masaki wilayani Kisarawe mkoani Pwani, amekutwa akiwa amejinyonga baada ya kukatazwa na wazazi wake kutojihusisha na mapenzi. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Pwani, ACP Pius...
  19. JamiiForums Tanzania Utata kuhusu kifo cha mwanafunzi aliyedaiwa kupigwa na mwalimu

    Utata umeibuka kufuatia kifo cha mwanafunzi wa shule ya sekondari Sabasaba, baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara kutoa taarifa iliyoonyesha kuwa kifo cha mwanafunzi huyo kilitokana na ugonjwa saratani ya damu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 22, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi UDOM ajirusha toka ghorofani akidai kufelishwa mitihani

    Inasikitisha sana. --- Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wa Shule ya Uuguzi na Afya ya umma (SoNPH) Ezekiel Sostenes amelazwa hospitali ya Rufaa ya Kanda ya kati Benjamin Mkapa baada ya kujirusha ghorofani. Awali kabla ya tukio hilo jana, kulikuwa na ujumbe wa WhatsApp ambao Mwananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…