mwana

Mwana Kupona binti Msham (born on Pate Island, died c. 1865) was a Swahili poet of the 19th century, author of a poem called Utendi wa Mwana Kupona ("The Book of Mwana Kupona"), which is one of the most well-known works of early Swahili literature.
Relatively little is known about her life. Her grandson Muhammed bin Abdalla reported in the 1930s that Mwana Kupona was born on Pate Island, and that she was the last wife of sheikh Bwana Mataka, ruler of Siu (or Siyu), with whom she had two children. Mataka died in 1856; two years later, Mwana Kupona wrote her famous poem, dedicated to her 14-year-old daughter Mwana Heshima. Mwana Kupona died around 1865 of uterine hemorrhaging.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Mwana Mfalme MBS amuambia Trump aendelee kutoa Kipondo kwa Magaidi wa IRGC

    Mkuu wa Taji wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, ameripotiwa kumshawishi Rais wa Marekani, Donald Trump, kuendelea kuongeza shinikizo dhidi ya Iran, akieleza kuwa mgogoro huo ni “fursa ya kihistoria” ya kubadilisha nguvu za kisiasa katika Mashariki ya Kati na kudhoofisha utawala wa Iran...
  2. 6 Pack

    SAFI SANA, Trump amejishusha na kukubali kusitisha mashambulizi Iran

    Niaje waungwana Kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe, Iran ndio nchi ya kwanza imeifanya Marekani na Trump watubu na kujutia walichokifanya. Kwanza Iran ndio nchi ya kwanza kuingia vitani na Marekani huku ikiwa imeungana na Israel Pili Iran ndio nchi ya kwanza kushambulia nchi 10 kwa wakati...
  3. PLOII

    Wadau mna lipi la kusema? Maana sielewi Simba as the

    Wadau mna lipi la kusema? Kesho nilale ndani au?
  4. Pascal Mayalla

    Thinking Aloud Kwa Maslahi ya Taifa: Ikitokea Umeitwa Mbele ya Tume ya Jaji Chande, Je Utatoa Ushirikiano?, Na Ukifika Mbele ya Tume, Utoe Hoja Gani?

    Wanabodi, Hii ni mada ya Thinking Aloud Kwa Maslahi ya Taifa, kukuomba ushirikiano wako kwa ushirikishwaji, kutoa maoni yako na mawazo yako kumshauri mwana jf mwenzenu, ikitokea ni wewe umeitwa kufika mbele ya Tume ya Jaji Chande, Je Utatoa Ushirikiano?, Na Ukifika Mbele ya Tume, Utoe Hoja Gani...
  5. NGAYANIMO

    Mashairi ya Wimbo “Jukumu Letu” wa Professor Jay na Mwana FA

    MWANA FT. PROFESSOR JAY. SONG. JUKUMU LETU. VERSE. 1.( MWANA FA & PROFESOR JAY) Professor jay: Kilio la mgambo limelia kote nchini kwa wote Yaani mjini na vijijini/ Tanzania 🇹🇿 imegubikwa na wimbi la Umasikini /.. Mwana Fa: Jukumu la kila mmoja kuchangia tufanye nini..? Professor jay...
  6. JanguKamaJangu

    Mashairi ya Wimbo wa HII LEO - Crazy GK, Mwana FA, AY (Lyrics)

    Mashairi ya Wimbo wa HII LEO - Crazy GK, Mwana FA, AY (Lyrics) Kiitikio: ------------ Hii leo Crazy GK Mwanafalsafa AY Weka manyanga chini Hivi sasa tupo hewani Twakupa maneno matamu Na yenye thamani Verse 1: AY ----------- Oya.! Navaa buti Na full CBM Nazama street Ntapiga dili zaidi ya 12...
  7. bwawani90

    Mama na mwana

    nchi imefikia hatua inaongizzwa na mama na mwana. kibaya zaidi hawajui nani atashika nchi miaka ijayo na kuwafilisi mali zao. Arrogance. Kuna watu hawafikirii kesho yao. Ikiwa malipo ni hapahapa duniani huogopi? sadam alivyokuwa na alivyouwawa huhofii ha Taifa. limefikia hatua inaonekana...
  8. Pdidy

    Gazeti la Mwanaspoti: SIMBA yaweka rekodi mpya ya vipigo CAF

    GAZETI LA MWANASPOT SIMBA YAWEKA REKODI MPYA YA VIPIGO CAF TANGU ...... HATA HIVYO WANACHAMA WAMESEMA WAFANYE WAFANYAVYO WAO WANAITAKA ROBO FINALI 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 NAPITATU
  9. Financial Analyst

    Wadada wa JF, tumewamiss, rudini jukwaani, mmepotea sana

    Huu ukimya hadi una unakera na kutupa wasi wasi
  10. ELI COHEN

    VIDEO: Mwana mitandao Speed akirushiwa ndizi na kufanyiwa sauti za nyani na wananchi wa Morocco

  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    Makonda ni kama hamtaki Mwana FA pale Wizarani

    Ni kama figisu zimeanza. Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani. Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo wote, Briefings na waandishi wapo wote. Ishu zote muhimu zenye posho nzito kipaumbele ni yeye...
  12. Chizi Maarifa

    Kigezo kikubwa kuwa Mwana CCM mzuri ni kwanza lazima ukubali kuliwa

    Yes , lazima ukubali kuliwa ubongo. Ukiwa na Ubongo huwezi kupata vyeo au nafasi flani flani. Lazima kwanza uliwe Ubongo. Msikilizwe Msigwa msikilize PM utagundua bongos zao zimeliwa
  13. Mshana Jr

    Hii ya kufungia mwaka inaitwa “Mwana Ukome”

    Genz wamemchangia Mhe. Tundu Lissu 20M mpaka sasa, Genz wanamwaga Moto. Hawa vijana hawana show za kindezi.. Na ujumbe wanaopeleka una mwangwi mkubwa Sana😂😂😂 Happy new year Tundu lissu the Greatest.. Happy new year Gen Z the unstoppable 💪🏿💗☄⚡
  14. Jidu La Mabambasi

    Mwanaume mwenzangu, huu ndio wakati mgumu sana. Xmas iahirishwe

    Mwanaume yeyeote atanielewa! Nimepigiwa simu na Jane, samsing yangu ya siku nyingi sana. Ananisalimia tu na kuuliza Xmas nina mpango gani. Sijakaa sawa Mwajuma naye kanitumia messeji, eti ana nimisso! Wiki iliyopita Blandina alinielleza wai wazi kuwa Xmas anategemea zawadi ya simu mpya...
  15. adriz

    PostGE2025 Funzo: Mwana JF aliyeshangilia mauaji ya vitoto Gaza sasa anajuta na kutubu baada ya kilichotokea Tanzania Oktoba 29

    Moja kwa moja. Baada ya Oct 7 Hamas kufanya tukio baya la kijinga ambalo hata Mimi nilililani hapa Jf , serikali ya Netanyahu chini ya IDF ikafanya mashambulizi na mauaji ya kutisha ambayo waaathirika hawakuwa Hamas peke yake mpaka Raia wasiokuwa na Hatia katika Wazee , watoto nk. Na wakaenda...
  16. ERTUGRUL BEY

    Nilivyomuona Mwana F.A Anafunguliwa Mlango wa VAT, Hakika Hakuna Ajuaye Kesho Yake

    My people, Hakika hakuna ajuaye kesho yake, hata wewe kamwe usije kujikatia tamaa katika maisha kwahakika siri ipo kwa Muumba wetu. Haimaanishi kwamba nawe utakuja kutamba na VAT laa,namaanisha kwa safari yoyote ya maisha uliyokuwa nayo basi haijaisha mpaka iishe, kwa hiyo endelea kupambana...
  17. Damaso

    Hii inaitwa Mwana Ukome

    Kuna watu ni Masters wa kupika huko Twitter, na huyu kijana amepata jibu mubashara. Kulinganisha ubora wa CNN ama BBC na ubora wa ITV ama TBC.
  18. Samia atosha tukutane2030

    Sio kwa ubaya, watakaotoka tarehe 9 Disemba wengi wao watarudi ganda. Tafadhali mwana JF usishindane na serikali

    Mimi silipwi hata sh. Mia kwa KAZI ya uchawa . Sijulikani na kiongozi yeyote mkubwa. Ni mtumishi wa umma, na ofisi yetu haihusiani na siasa au jamii moja kwa moja. Ukisoma nyuzi zangu huko nyuma nadhani kuanzia Juni mimi nilikuwa mpinzani kabisa ila kitendo cha wapinzani kuwaunga mkono Gwajima...
  19. M

    Ewe mwana CCM umeshindwa kupinga yanayoendele basi tambua unajenga chuki kwa Watanzania

    Kama wewe ni mwana CCM na umeshindwa kupinga yanayoendelea, Chuki waliyonayo Watanzania ni kubwa sana, kuna siku wataanza kuingia ndani ya nyumba zenu
Back
Top Bottom