mwambie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na demu shabiki wa Simba mwambie Pesa ziko Benki

    Akikuomba hela mwambie pesaziko benki. Akupe kwa mkopo.
  2. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Mliokaribu na Dotto magari mwambie namuita Katoro hapa

    Huyo dotto magari na yule mshamba wenu wa singapore waambieni nawaita hapa katoro
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Msemo wa Sugu ‘matako yenu’ umekaa kishamba sana, aliye karibu naye mwambie aachane nao

    Mheshimiwa Joseph Mbilinyi aka sugu sijakataa ana kipaji cha kuongea na kuhamasisha watu, lakini kuna baadhi ya misemo yake kama ‘matako yenu’ imekaa kishamba kuliko kisiasa au kiuongozi. Kila kiongozi huwa na jingle yake, lakini jingle pia inatakiwa ijenge heshima na ukubwa wa brand yake. Kwa...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama upo baa na ndugu comrade kipepe mwambie muhudumu sasa imetosha, mwamba akampumzike nyumbani

    Aisee mwamba anaandika nyuzi kila baada ya dakika 2 duh alafu mambo hayaeleweki😁
  5. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Itapigwa D9 - D17 mwambie na mwenzako

    Yatakuwa maandamano ya mfululizo. Mayii! Nye Nye Nye. D9 ndio kipyenga. Twaenda mpaka D17. Walahi sijui miye. Nyote mwajua nini mfanye Siku hizo. Twasoma vidoleni hao. Hehee. Na bado
  6. October 2pm

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliye karibu na Askofu Gwajima mwambie ahame Location, wajinga washanasa

    Mpaka sasa askofu alihama maeneo zaidi ya mara tatu. Mara ya mwisho alikuwa Mikocheni karibu na Ubalozi wa deshideshi. Walahi sijui! Najuzwa alitaka kuvuka mpaka lakini ikashindikana. MO29 ilimkuta Safehouse mayii mayii. Hapa najuzwa huko alipohamia kuna wahuni wametrack node na wameinyaka...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Katika usawa huu ambao babalevo anaweza kuwa mbunge, mwambie mwanao anaweza kuwa chochote kile atakacho wish ilimradi alinde utimamu wake

  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama una mwanao au dogo lako ameanza kufuatilia habari za kimataifa mwambie akae mbali na hizi chaneli

    1: CNN - Atafunsdishwa sympath juu ya ushoga na kwamba ni sawa kuwa shoga na kusambaza ushoga. - Atafundishwa kuwa mwanaume sio tena ngome ya familia, ataishia kuvaa vipensi vifupi vya kubana mapaja na kwenda kulalamika kuhusu mke wake baa kwa marafiki zake bila kufanya maamuzi yoyote kisa...
  9. Now and then

    JamiiForums Tanzania Gambo , usijisikie vibaya , mwambie mke wako apige chaki na wewe uendelee na kilimo.

    Pole Sana Gambo. Najua mke wako sasa anarudi kupiga chaki. Ila usivunjike moyo karibu katika kilimo cha mananasi ,papii , oliento sasa mlemavu ududu yaani.
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ukimsikia rais Samia anaita watu wanaofichua ufisadi sio wazalendo mwambie wasio wazalendo ni hao mafisadi waliofichuliwa na sio watumishi wa umma

    Hivi karibuni kuna fichua fichua ya ufisadi imeonekana cha ajabu, nikamsikia samia badala ya kulaani ufisadi huo na uovu huo anaanza kulaumu mtumishi wa umma aliye fichua ufisadi huo heti "jitu sio mzalendo" hii ni ya wapi ? inasikitisha sana hapana tunataka mabadiliko ya raisi, tunataka...
  11. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Popote utakapo muona huyo ni mke wangu mwambie namtafuta

    Nitajihidi kumuelezea japo kwa uchache na nitatumia picha. Ndugu msomaji tafadhali sana mwambie mume wake namtafuta sana. Kwanza kabisa si mnene sana japo kajazia kidogo pia ni mrefu. Si mweupe Ni mweusi titititiii!.... Huyo ni mke wangu. Hajichubui wala si mweupe wa kuzaliwa. Ana...
  12. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

    Valentine hiyoo inakuja usikose maua na chocolate mwambie nakupenda ili muende VALENTINE. Usikae mwenyewe kama mshumaa umejifungia, huu uzi kwa ajili yenu. Fungukeni mukasherekee kwa pamoja.
  13. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania Mwambie mwenzio: Nina toa uduma za Kitaalamu kwa Mafanikio ya Miradi ya Ufugaji Samaki

    Habari Wakuu! Ufugaji wa samaki ni utamaduni/maarifa mapya hivyo watu wengi wanastruggle sana kupata taarifa sahihi juu ya njia bora ya kufanya ufugaji wa samaki kibiashara Mimi ni mtaalamu wa ufugaji wa samaki ninatoa huduma zifuatazo ambazo ili kusaidia jamii kukuza uelewa na mwisho kufikia...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kama chapati yako moja ni sawa na mbili za zamani (oversize) mwambie mteja mapema

    Kuna migahawa siku hizi wanauza chapati kubwa sana, zile chapati mbili au tatu za zamani au mtaani wameziunganisha wakafanya kama chapati moja, sasa usipojua mapema ukaagiza chapati mbili linakuja furushi ambalo kumaliza inakuwa tabu tu. Ni vyema kama chapati zako unazouza ni oversize/kubwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Haji Manara atoe ahadi nyingine inayopendwa hasa ile inayopendwa na Mende

    Binadamu anapenda sana starehe, hasa starehe ya kupata watoto.Ahadi ya hela sisi sio ishu, toa ahadi, sisi wengine tunapenda tabia ya mende. Toa ahadi endapo Yanga haitofunga mabao manne siku hiyo ya trh 8 basi utatoa ile apendayo mdudu Mende.
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa haya niliyoyaona kazini, nakushauri mwambie mke wako akae nyumbani alee watoto

    Hello! Mzee wa kulipua nimekuja kuwalipua tena asubuhi hii. Si kwa ubaya lakini. Watoto wanaolelewa na maza 24/7 ni watoto bomba sana kuliko watoto wanaoshinda na dada wa kazi kutwa kutwa. Turudi kwenye mada. Kati ya wadada around 15 kazini kwetu bosi aliowaacha salama ni wale ambao hata kwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mwambie Kijana Wako asichanganye Gender Equality (usawa wa kijinsia) kwenye Gender Roles (majukumu ya kijinsia) Katika Utamaduni Usioendana

    Mwambie Kijana Wako Asichanganye Gender Equality (Usawa wa kijinsia) Kwenye Gender Roles (majukumu ya kijinsia) ktk Utamaduni Usioendana.. 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms. 0743781910 Wakumbushe vijana wako kuwa definition ya neno "gender" imebeba neno "social and cultural" likiwa na maana...
  18. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

    Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako. Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo...
  19. Street brain

    JamiiForums Tanzania Mwambie mdogo wako mambo haya

    "Mwambie mdogo wako chuoni hakuna adhabu wala viboko, ila adhabu atayoipata ni supp na carry ikiwa hatazingatia kile kilichompleka." "Mwambie akifika chuoni atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji ila akumbuke kuwa anatokea kijijini tena ndani ndani kbsa..." Mwambie makundi makundi...
  20. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Ikitokea ndugu yako yupo kijijini, na hana fani, hana elimu, we mwambie ukweli tu

    Huku mjini ni kugumu sanaa wazee, sio kuzuri kuja pekupeku aisee, utahaibika 😂😂😂😂
Back
Top Bottom