Unjani sabuwona
Mzee msambaa anajimwambafai na kujitapa sana sijui kwanini anajitapa hivi labda unapiga kelele ili mwanae aendelee kulamba asali zaidi au ndiyo anajiona yeye ni wenye chama au?
Nimeona interview moja anamkaripia mwandishi mmoja baada ya kumuuliza swali murua halafu yeye anajibu...
Kucheza na jukwaa kunaondoa umakini uwanjani, kunaongeza wasiwasi kama ukipoteza nafasi, ukipigwa chenga, timu ikichelewa kupata bao na ukifanyiwa substitution. Kutetema kunamfanya mayele ahitaji nafasi 6 ili atumie vizuri nafasi moja vizuri, hiyo sio sawa. kwa upande mwingine Phiri wa Simba...
Upendo ni jambo adhimu sana ambalo sisi wanadamu ni lazima tulifanye, sio tuliongelee tu.
Mbwa ukimwambia I LOVE YOU hawezi kukuelewa. Ila ukimuonyesha upendo atakuelewa sana, na atakupenda pia.
Je, huyo unayemwambia unampenda, je unamuoneshaje huo upendo?
1 KOR 13
Karama ya Upendo...
Hakymungu mnanionea,nyinyi
Hivi kusema kwamba nawewe ulikuwa huna baba ambaye ni mwanaume kama mimi, je mama yako angamfanyia haya haki si angekufa kwa presha ujanani tu yule mzee??
Au huyu mwanaume uliyenaye hajui kwamba namimi ni mwanaume mwenzie na kibaya zaidi nlipitialo mimi nayeye anaweza...
Baada ya purukushani za mitandaoni wiki nzima kati ya wanaharakati, wanasiasa na Serikali kuhusiana malalamiko mbalimbali ya kisheria na kikatiba. Hili lilipelekea matamko, vitisho, kejeli na kashfa mbalimbali kutoka katika majukwaa mbalimbali na hata kufikia jana tulijionea kuwa Kada wa Chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.