mwaka mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mstahiki Mea

    Ashinda milion 30 aapa kuwa tajiri ndani ya mwaka mmoja

    Jamaa kashinda bet kaamua kununua zake bajajj, toyo na boda zake mbili.. anaona maisha kayapatia kishenzi.. anasema tumpe mwaka mmoja tu atakuja kutuajiri kwenye kampuni yake.. watu wazima wanamcheka tu, wanamwambia maisha siyo rahisi hivyo..sasa ninajiuliza dogo amekosea wapi?
  2. Waufukweni

    Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa mwaka mmoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League

    Klabu ya Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa kipindi cha mwaka mmoja, pamoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League kufuatia ukiukwaji wa kanuni za kifedha uliotokea wakati klabu hiyo ikiwa chini ya umiliki wa Roman Abramovich. Adhabu hiyo pia inajumuisha marufuku ya...
  3. Pascal Mayalla

    Mwaka Mmoja wa Bodi ya Ithbati Waandishi wa Habari: JAB Yafanya Makubwa, Yasajili Waandishi Zaidi ya 3,000 Wakati Enzi za Maelezo, Hawakufika 1,000!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo. Mwezi huu wa March, mwaka 2026, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari nchini Tanzania, JAB, imetimiza mwaka mmoja tangu kuzinduliwa kwake, ambapo Bodi ilizinduliwa rasmi tarehe 3 March, mwaka 2025, hivyo kufikia tarehe...
  4. Dogoli kinyamkela

    Unaweza kuoa mama mwenye mtoto wa mwaka mmoja, halafu miaka 20 baadaye mtoto anakuambia: "Wewe si baba yangu" 🙄😏😏.Mnaotaka kuoa singo maza

    Unaweza kuoa mama mwenye mtoto wa mwaka mmoja, halafu miaka 20 baadaye mtoto anakuambia: "Wewe si baba yangu" 🙄😏😏. Mnaotaka kuoa singo maza kaujumbe hakoo Japo siyo wote ....
  5. 888I

    Mwanamke Ungepata Nafasi Kuwa Mwanaume kwa Mwaka Mmoja, Ungefanya Nini? 🧐

    Mambo Vipi, mwana JF, wabunifu wa taifa! Leo tuachane kidogo na siasa na mambo ya Gavo na Ngenga zao, tujichangamshe na 'science fiction' ya maisha! 😂 Hebu fikiria, mdada/mwanamke uliyejichanganya huku, unapewa Kipawa cha Ajabu (Superpower) cha kubadilika kuwa mwanaume kamili kwa Mwaka Mmoja...
  6. M

    Fursa ya ajira ya kazi ya kibarua kwa muda wa miezi 6 hadi mwaka mmoja malipo 12000 kwa siku

    Habari JF Kuna kazi kwa vijana wa kiume 10 wanahitajika Mahali pa kazi ni Dar es salaam Vetenari Aina ya kazi ni kusaidia mafundi wa mechanics kuna ujenzi wa kiwanda unaendelea utakaochukua muda kati ya miezi 6 hadi mwaka au zaidi kulingana na kukamilika kwa mradi, kwahiyo ni kazi ya uhakika...
  7. Genius Man

    Wapelestina zaidi ya 70,000 wameuwawa gaza kwa miaka lakini watanzania wameuwawa October 29 zaidi ya 10k kwa siku tatu sasa piga hapo kwa mwaka mmoja

    Wapalestina zaidi ya 70,000 wameuwawa gaza kwa miaka lakini watanzania wameuwawa October 29 zaidi ya 10k kwa siku tatu sasa piga hapo kwa mwaka mmoja. Viongozi wajinga wanauwa taifa letu. ni zaidi ya vita vya israel na Palestina
  8. Its Tesha

    Nimetimiza mwaka mmoja leo bila kushiriki tendo la ndoa kuna madhara kiafya?

    “Leo natimiza mwaka mzima bila kufanya tendo la ndoa 😅 afya bado iko stable, pressure ipo sawa, moyo unadunda vizuri 💪🏽 sijui huu ni ushindi au mateso wakuu?”
  9. H

    Uongozi wa rais na wabunge usiwe na muda maalumu akifanya vibaya apigwe chini hata ndani ya mwaka mmoja akifanya vizuri aendelee hata miaka mia

    Huu ujinga wa kumuhakikishia rais au mbunge kuwa atakaa madarakani kwa miaka mitano au kumi inawajengea kujiamini na kupiga hesabu za wizi kabisa wakijua wamefika. Ni bora katiba iseme rais na mbunge atadumu au atawajibishwa kulingangana na utendaji kazi wake iwapo anakubalika basi hata...
  10. Hyrax

    Kutoka mtaji wa elfu 50 mpaka milioni 10 ndani ya mwaka mmoja hii kitalaamu tunaitaje.?

    Watalaamu wa uchumi mkuje. Content Credit: Kelvin Kibenje
  11. R

    SI KWELI Azizi Ki ajiunga na Azam FC kwa Mkataba wa mwaka mmoja

    Wakuu, Kwa taarifa nilizokua najua awali ni kuwa mchezaji Azizi Ki alimaliza mkataba wake na timu ya Yanga na kusaini Mkataba na klabu ya Wydad ya Morocco, alafu leo nimekutana na hii eti kasaini mkataba na Azam, naombeni msaada wakuu wa Jamii check
  12. Just Pray

    Tanzania tujifunze kwa Finland kuhusu haki Sawa na Maisha ya Kazi, Serikali inalipa posho ya uzazi hadi mtoto akitimiza umri wa mwaka mmoja

    Wakuu, Karibuni tufahamu kwa uchache kuhusu nchi ya Finland kuhusu usawa wa haki na maisha ya kazi. Nchi hii imekuwa kinara wa usawa wa kijinsia kwa muda mrefu. Wafinlandi wamezoea kuwaona wanawake wakiwa katika nyadhifa za juu serikalini, katika sekta ya biashara, na hata kanisani. Mfumo...
  13. R

    Maisha ya nyumba za kupanga uswahilini ni kama sinema ya bure, Ukiishi humo mwaka mmoja, unaweza andika kitabu kizima

    Tumetoka kwenye familia, zilizopanga kwenye nyumba iliyopewa jina la Muhimbili. Korido ndefu kama Sgr, kila mtu kapanga ndoo mlangoni.. Kulia vyumba tisa, kushoto nane, mwenye nyumba yupo uani.. Mlango mkubwa wa mbele, haufungwi hata siku moja.. Kwa sababu kuna watu kazi zao wanatoka usiku...
  14. Knock life

    Nikiwa Rais , nitaanza na kufuta Simba , Yanga , Ccm na baadae kuwafunga wakamalia wote gerezani kwa muda wa mwaka mmoja.

    Endapo mwaka 2040 nikitangazwa Kama Rais Nitafuta Kamali Simba Yanga Ccm. Pia wakamalia wote watafungwa gerezani mwaka mmoja . Na sitoruhsu unywaji wa pombe bali wine tu
  15. Knock life

    Nimewahi kuishi mwaka mmoja bila kufanya kazi yoyote ila nilikuwa nakula vizuri , nalipa kodi , nasaidia ndugu na wazazi

    Katika MAISHA kuna mambo mengi Nilikaa mwaka mmoja bila Kazi ya kuamka Ahsubui Ila mishe mishe za udalali Mara yes Mara no Ila nilikuwa nakula Navaa Nalipa kodi Nasaidia ndugu na wazazi Pasipokufanya Kazi yoyote ya mshahara Kipindi hiki nilijifunza kuwa haitaji kufanya Kazi kwa bidii ili...
  16. Roving Journalist

    Zanzibar: Wawili wakamatwa kwa tuhuma za kubaka, mmoja atuhumiwa kumbaka mtoto wa mwaka mmoja na nusu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kubaka watoto katika matukio mawili tofauti. Akizungumza na waandishi wa habari huko Tunguu, Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Kusini Unguja Kamanda wa Polisi Mkoa huo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) DANIEL...
  17. Just Pray

    Mbeya: Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kumuua mpenzi wake kisa kunyimwa Penzi

    Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Mbeya, imemuhukumu adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja jela, Hamphrey Ngogo, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mpenzi wake Faraja Shabani, bila kukusudia. Katika kesi hiyo ya jinai ya mwaka 2023, hukumu yake imetolewa jana Machi 25, 2025 na Jaji Mussa Pomo na...
  18. DELETED ACCOUNT

    Simba ikifungwa na Yanga tarehe 8/03 nipigwe ban ya mwaka mmoja

    Wakuu, huu ni mwaka wa ubaya ubwela. Pamoja na kwamba kuna vitu vinanitia wasiwasi kuhusu Simba hasa kwa performance ya hivi karibuni ila naamini huu ni mwaka wa mafanikio makubwa kwa Simba kuanzia kuchukua NBC hadi CAFCC. Kwa hiyo nawapa Mods mamlaka ya kunipiga ban ya mwaka mzima iwapo...
  19. Consultant_Silwano

    Umuhimu wa kurudisha taarifa za brela kila mwaka kwa makampuni yaliyosajiliwa kufikisha kipindi cha kuanzia mwaka mmoja tangu yasajiliwe(brela return)

    BRELA, wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Business registration and licencing agency). Kwa nchi ya Tanzania ilianzisha hitaji la Kurudisha Taarifa za Mwaka kwa makampuni kama sehemu ya Sheria ya Makampuni ya mwaka 2002. Hata hivyo, utekelezaji wa mfumo wa mtandaoni kupitia ORS (Online...
  20. Chizi Maarifa

    Tetesi: Clatous Chotas Chama anaidai Yanga Mamilion ya pesa

    Naamini kabisa kuna watu wanafanya biashara kupitia hawa wachezaji. Chama huyu ndo alisajiliwa kwa zaidi ya Million 500? Kuna mambo yanaumiza sana wapenda mpira. Watu waliungiza Uongozi chaka.
Back
Top Bottom