mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Dodoma: Rais Samia Afungua Mkutano wa Tisa wa Chama cha Makatibu Mahsusi (TAPSEA). Ahimiza Utunzaji Siri za Serikali, Maslahi na Fursa Kuzingatiwa

    Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Makatibu Mahsusi Jijini Dodoma. ENG. ZENA AHMED SAID, KATIBU MKUU KIONGOZI – ZANZIBAR Tunatambua umuhimu wa Makatibu Mahsusi, kwakweli wanafanya kazi za viongozi wao kuwa rahisi kwa jinsi wanavyowasaidia kazi. Sasa, ili waweze kufanya...
  2. K

    Ni sababu gani zilipelekea chama cha TANU kubadili jina mwaka 1977?

    kwa wanaoelewa sababu zilizopelekea chama cha TANU kugeuzwa kuwa Chama Cha Mapinduzi anijuze tafadhari maana mimi kama mimi sioni haja ya TANU kuwa chama cha mapinduzi.
  3. Kama ningekuwa Muhitimu wa Kidato cha Sita Mwaka huu 2022. Ningefanya nini cha Tofauti??

    Kama ningeweza kurudisha muda nyuma ili nirudi kuwa muhitimu wa kidato cha sita mwaka 2022, basi ningefanya yafuatayo ili niandae vizuri kesho yangu: Sitaomba Chuo Kikuu kwasababu tu nimemaliza kidato sita na nimefaulu kupata vigezo vya kuingia Chuo Kikuu. Sitaingia Chuo Kikuu kwasababu tu...
  4. Watu milioni 8 wanafariki kila mwaka kutokana na matumizi ya Tumbaku

    Utafiti wa Shirikisha la Afya Duniani (WHO) umebaini utumiaji wa bidhaa za Tumbaku hausababishi magonjwa ya kuambuliza lakini asilimia 50 ya watumiaji wake wanafariki. Kwa mwaka watu zaidi ya milioni 8 hufariki kwa sababu ya matumizi ya tumbaku, vifo milioni 7 ya vifo hivyo hutokana na matumizi...
  5. Wanafunzi Waliohitimu kidato cha sita Mwaka 2022 waitwa JKT

    Mkuu wa Tawi la Utawala wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Brigedia Jenerali Hassan Mabena amewaita vijana wote waliohitimu kidato cha sita 2022 kutoka shule zote za Tanzania Bara kujiunga na mafunzo ya jeshi hilo kwa mujibu wa sheria. Brigedia Jenerali Mabena ametoa wito huo leo Jumanne Mei 31...
  6. Wasanii wa Filamu kuhusu Sensa ya Watu na Makazi Mwaka huu 2022

  7. S

    Niko njiapanda: Mwaka wa 3 huu nampa ahadi za uongo lakini hachoki kunihudumia

    Mimi nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali. Amekuwa akishinikiza kunioa lkn mm nimekuwa nikimkatalia na kumwambia asubiri niweke mipango yangu sawa. Mwaka huu nimempa...
  8. Mwaka jana Serikali ilitangaza kuanza kununua mafuta moja kwa moja toka kwa wazalishaji. Mpango huu umefia wapi na kwanini?

    Tarehe 31 October 2021, waziri wa Nishati, January Makamba akiwa Arusha alitangaza serikali kuanza kununua mafuta ya petroli na dizeli moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji wa nchi rafiki, kupitia Shirika la Taifa la Mafuta (TPDC),ili kuondokana na changamoto za gharama kubwa za wanunuzi wa kati...
  9. L

    Mapato ya chai ya Kenya yaongezeka kwa asilimia 10 katika robo ya kwanza ya mwaka huu

    Bodi ya Chai ya Kenya jana ilitangaza kuwa ingawa mapambano kati ya Russia na Ukraine yameathiri shughuli za uchukuzi, lakini mapato ya chai ya Kenya inayouzwa nje yameongezeka kwa asilimia 10.4 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 ikilinganishwa na mwaka jana kutokana na ongezeko la bei duniani...
  10. Natafuta mpenzi aje kuwa mke

    Hello babe, nimekusubiria kwa muda mrefu sana, sasa nimejitokeza hadharani kukukabirisha katika maisha yangu. Please dada/mwanamke anayejielewa aje inbox chap tukamilishe agano muhimu duniani. Njoo tusaidiane kutimiza ndoto zetu na kuenjoy maisha yetu hapa duniani. SIFA ZAKE Awe smart kichwani...
  11. L

    Kenya Itaanza kusafirisha Maparachichi yake Nchini China Mwaka huu

    Kenya Itaanza kusafirisha Maparachichi Yake Nchini China Mwaka Huu Na Tom Wanjala Halmashauri ya Kilimo na Chakula nchini Kenya imefanya mabadiliko kwenye matakwa ya maparachichi ya kuuzwa nje ya nchi ili kufikia viwango vya kimataifa vinavyohitajika. Baadhi ya masuala ambayo wakulima wa zao...
  12. L

    Mlinda amani wa Zimbabwe kupokea Tuzo ya Mtetezi wa Jinsia wa Kijeshi ya UM kwa mwaka 2021

    Idara ya Operesheni za Amani imesema mlinda amani wa Zimbabwe atapokea Tuzo ya Umoja wa Mataifa ya Mtetezi wa Jinsia wa Kijeshi ya mwaka 2021. Mwangalizi wa Kijeshi Meja Winnet Zharare mwenye umri wa miaka 39, alifanyakazi Bentiu, Sudan Kusini hadi mwaka 2022 na atapokea tuzo hiyo kutoka kwa...
  13. L

    Idadi ya watalii wa Kenya yavuka asilimia 85 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022

    Kulingana na takwimu mpya za kiuchumi kutoka Ofisi ya Takwimu ya Kitaifa ya Kenya (KNBS), idadi ya watalii waliofika Kenya imevuka asilimia 85 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 huku hali ikirejea kama kawaida katika sekta hiyo baada ya kukatizwa na COVID-19. Takwimu hizo zinaonesha kuwa Kenya...
  14. L

    Benki ya AfDB yafanya mikutano ya mwaka nchini Ghana

    Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB imefungua mikutano yake ya mwaka 2022 huko Accra, Ghana ikihudhuriwa na viongozi, wanasiasa na wanateknolojia wa Afrika. Rais Nana Addo Dankwa wa Ghana kwenye ufunguzi wa mikutano hiyo amewataka wakopeshaji wa masharti nafuu wa bara hilo kuisaidia Afrika...
  15. Rais Samia: Kwa mwaka mmoja nimeongoza Nchi vizuri

    Rais Samia Suluhu ametaja changamoto tatu ambazo amekutana nazo tangu awe Rais wa Tanzania lakini ameonyesha nguvu ya Mwanamke kwa kuongoza Nchi vizuri na katika hali fulani amezidi hata kile kilichofanywa na Wanaume ndani ya mwaka mmoja. Akizungumza wakati akishiriki Mdahalo wa Wakuu wa Nchi...
  16. Orodha ya wachezaji wanaolipwa hela nyingi duniani kwa mwaka 2022

    Lionel Messi anaongoza kundi la watu ambalo kwa pamoja wamekuwa wakijipatia zaidi ya $990m katika miezi 12 , huku kiwango cha kuwania nafasi hiyo kikipanda zaidi ya ilivyokuwa awali. Lionel Messi alikuwa na umri wa miaka 17 alipoanza kushiriki katika kikosi cha kwanza cha timu ya Barcelona ...
  17. L

    Sudan yakabiliwa na ukosefu mkubwa wa chakula au hata kuwa mgogoro wa chakula mwaka 2022

    Wataalamu nchini Sudan wameonya kuwa mwaka huu nchi hiyo inakabiliwa na ukosefu mkubwa wa chakula au hata kuwa mgogoro wa chakula, na idadi ya watu wanaoathiriwa na njaa inaweza kuongezeka na kufikia milioni 18 ambayo ni asilimia 45 ya jumla ya watu wa nchi hiyo. Mchumi wa Sudan Bw...
  18. Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini

    Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania: Waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini. Kuhusu kupanda kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli, mtaalam wa mafuta na gesi Bwana Elia Wilinasi amesema mafuta ndio nishati inayoendesha injini ya uchumi wa dunia...
  19. S

    Russia imeikatia umeme Lithuania, mwaka huu nchi za EU lazima ziwashe makoroboi (vibatari)

    TANESCO (Russia) ya nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya yaendelea kuzichachafya nchi za EU zilizozoea kupewa umeme wa dezoo. Safari hii TANESCO hiyo ya nchi kadhaa za EU imeamua kuikatia umeme Lithuania kutokana na linchi hilo kushindwa kulipia gharama za huduma ya umeme... Acha upepo uendelee...
  20. B

    A Level mwaka huu jiandaeni kwa matokeo ya kushangaza sana, yawezekana yakavunja rekodi. NECTA yarudi kwenye misingi yake

    Habari wanajukwaa, A Level mwaka huu jiandaeni kwa matokeo ya kushangaza sana, Kwanza, kuna uwezekano heshima ya matokeo ACSEE kurudi kama zamani zile kwa sababu wanafunzi mmekuwa mkifaulishwa kwa michongo sana na siasa nyingi hali ambayo mama haitaki, hivyo mjiandae kisaikolojia aliyesoma na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…