"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.
Mwaka 2004 kuna mtu mmoja ( Mkristu) aliniambia ameoteshwa kwamba Mazinge ameokoka. Amekuwa mchungaji mkubwa sana na kanisa kubwa sana Tanzania.
I told him " Sundu Meru".
( Wajaluo wakina popoma wa Bunda vijijini wanajua nini maana ya " Sundu Meru")
Huyu jamaa tulikuwa tunabishana sana...
1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 12 jioni baada ya kutoka shamba, acheni shobo.
2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako anaye deka-deka.
3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga, ndoo ya maji kutoka...
Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024.
Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea kuhamasisha na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kwa Sekta Binafsi ili kukabili ongezeko la mahitaji...
Kwanini Ujenge kwa kukisia kisikisia? Uanze ujenzi wako bila kujua utahitaji nguvu kiasi gani... Utapata stress
Kujua makadirio Ujenzi inakusudia
kujua unahitaji nguvu kiasi gani
kujua gharama Ujenzi kila steji kama msingi, kuta, paa...
unapotaka kuomba mkopo benki wanahitaji ili wakupe mkopo...
Nimeenda mara kadhaa kwenye haya matawi mawili ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga & Mloganzila), chanjo ya Tetanus haipo kwa zaidi ya mwaka sasa.
Mara ya kwanza nilienda Upanga kama miezi 8 iliyopita baada ya mwanangu kung'atwa na mbwa, wakamchoma tu chanjo ya kichaa cha mbwa, chanjo ya...
Hali inazidi kuwa mbaya siku hadi siku.. Ukimaliza siku salama na kurudi kibandani kwako unamshukuru Mungu sana!
Ukikaa mahali lazima kwanza uangalie kushoto kulia mbele nyuma na ilibidi juu chini kama kuna sura zisizo za kawaida ziko nawe sambamba!
Ukipigiwa simu na namba ngeni ni shida pia...
Kutoka Morocco, Usiku huu ni ugawaji wa tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika ( CAF )
Tuzo mbalimbali katika vipengele mbalimbali zinatarajiwa kutolewa usiku huu.
Baadhi ya vipengele hivyo ni;
Mwanasoka bora wa mwaka ( kwa wanawake & wanaume )
Golikipa bora wa mwaka
Timu bora ya mwaka...
Nimekuletea sample specific za ramani za nyumba za Tofali (~2000) na Bati (~60) Chache
Gharama zilizooneshwa hapo ni wastani wa za kujenga Msingi, kuta, plasta na paa (vifaa + ufundi)
Zipo vyumba vitatu, viwili na kimoja
Hamna nyumba ya vyumba vitatu utakayopata yenye unafuu na standard kama...
Mwisho wa mwaka unakaribia. Wanangu wapendwa, naomba nichukue fursa hii kuwatakia heri ya mwaka mpya na kuwaombea wale wote waliotangulia mautini. Nawaombea na kuwaomba tuzidi kupendana kupenda kufikiri. Tupambane na kila adui wa fikra kama vile uchawa, ukunguni, ukiroboto, unune, na ufisi na...
Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.
Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake...
Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kimekuwa na changamoto kwenye suala la usajili kutokana na kubadilishwa kwa mfumo wa ulipaji ada kutoka mara 4 kwa mwaka wa masomo mpaka mara 2 kwa mwaka wa masomo
Wanafunzi wengi tunapata shida kufanya usajili kwasababu ya hali ngumu za kimaisha za familia zetu...
Anonymous
Thread
ada
changamoto
chuo
kubadili
mara
mpya
mwaka
mwanzo
nit
system
ulipaji wa ada
usajili
wanafunzi
Habari ya wikiend wadau..
Naona tatizo la usafiri kila ikikaribia mwisho wa mwaka bado linaendelea kuzoeleka na kuonekana kawaida.
Leo nimejaribu kufanya booking kwa bus kampuni zaidi ya tatu naona zote ziko booked mpaka wiki ijayo nafasi zimejaa.
Lakini kuna watu wanalangua ticket kwa bei ya...
Kaka magical power hodi ,Leo nimeamka Nina stress kichwani kaka yangu nimepokea onyo langu la mwisho kutoka Kwa bwana angu Anasema nikome kwenda kwake tena na nywele zangu kama kichaka .ni aina ya mwanamume anayependa kunikosoa vitu vidogo vidogo sana ,embu fikiria sio nywele za kichwani bali...
Unajua mbinu waliyotumia Africa kusini kuandaa michuano ya kombe la dunia kwa anani bila wahuni kuivuruga.
Naomba nikiri tu kuwa kipindi tunakua,kulikuwa na mwamko wa vijana kuzamia nchi za America ,ulaya au South Africa.
Unapafahamu Salanander Cafe,down town kabisa mtaa wa Samora zilipo ofisi...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametajwa kwenye orodha ya wanawake wenye nguvu zaidi duniani.
Samia ambaye alitajwa pia mwaka 2023 amewekwa kwenye nafasi ya 91 katika list hiyo ambayo pia ilihusisha viongozi na wanawake mbalimbali maarufu duniani...
Je mbowe kutogombea Mwaka 2020 ni kwasababu aliona Lissu anafaa? Au ni kwasababu ali Hofia nguvu ya Magufuli kwamba itakuwa kazi bure ngoja tuweke mgombea yeyote yule kukamilisha ratiba?
Iweje Kama Lissu alifaa kwanini leo wanasema hawezi uenyekiti?
Britanicca
Nizahiri sasa Tindu Lisu amejipanga na wafuasi wake wanaomuunga mkono iwe jua iwe mvua ni lazima agombee na awe mwenyekiti wa CHADEMA
Pia mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Freeman Mbowe naye amejipanga na watu wake wanaomuunga mkono kutetea tena nafsi yake kama hiyo.
Kwa hali inavyoonyesha...
Kumbukumbu kwamba Mbowe alisema kuwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA mwaka huu hatagombea zipo.
Ni lini Mbowe alibatilisha kauli yake hiyo na kusema atagombea nafasi hiyo?
Naona kama CCM wananena Kwa lugha!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.