mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata chakula bure zaidi ya Mara 10 kila mwaka

    :):):):):):):) Funny Facts! Ukiingia kwenye soko la hisa la dar es salaam, idadi ndogo ya hisa za kununua ni hisa 10, thamani ya hisa moja kwa makampuni kwa report ya jana ni kama ifuatavyo Sasa Njia za kupata msosi ziko hivi, kwa sheria ya soko la hisa la Dar es salaam, kila mwaka kila...
  2. JamiiForums Tanzania Kumwacha jela kifungo cha mwaka kutasaidia kutoa sumu ya ulevi wa pombe?

    UPDATE: Nimepewa wazo na Mshana Jr na Daudi Mchambuzi kumuacha Polisi au mahabusu muda mrefu, Bado naendelea kupokea maoni Kuna ndugu yangu ni mlevi sana, Mara kwa mara nimelazimika kumtoa kituo cha polisi kwa kuwapa pesa za kubrashia viatu ma afande ambao tunajuana, Matatizo hayo yanatokea...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sweden (Sida) hawakutupa pesa FY2020|21 na badala yake wametupa FY2021|22 mwaka mmoja baadaye?

    EPforR I ilitoa TZS 208b kwa JK mwaka FY2014|15 to 2020|21, why EPforR II imetoa TZS 196b kwa Rais Samia FY2021|22 mwaka mmoja baadaye,Je waligoma au hawakuwa na pesa? ============== Katika kile kinachotajwa kama Kuimarika kwa diplomasia ya Uchumi na ukuaji wa demokrasi na Utawala wa sheria...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kampeni za Urais, ubunge na Udiwani 2025 kwanini zimeanza kabla hata mwaka haujaisha? Lini tutawaza kuhusu waliowapa kura?

    Kuna Vita kubwa ndani ya chama cha Mapinduzi kuhusu uchaguzi wa 2025, Vita hii imekuwa kali ikamfanya Mhe. Rais kutangaza nia mapema. Baada ya kutangaza nia mapambano yamekuwa makali kwenye majimbo na kata kundi la utawala uliopo likitaka kuwaondoa waliowekwa na utawala uliopita. Huko Mbeya/...
  5. JamiiForums Tanzania HESLB imetoa siku nne kwa Wanafunzi 2,982 walioomba mikopo kwa mwaka 2021/2022, kukamilisha taratibu za maombi yao

    HESLB YATOA SIKU NNE WAOMBAJI KUFANYA MAREKEBISHO BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa muda wa siku nne kuanzia Oktoba 4-7, mwaka huu kwa wanafunzi 2,982 walioomba mikopo kwa mwaka 2021/2022 kufanya marekebisho ili kukamilisha taratibu za maombi yao. Ili kupata taarifa za...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia awa mgeni rasmi katika Mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO) Dodoma

    Rais Samia: Nakushukuru Waziri wa Maendeleo ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Uongozi wa baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kunialika kwenye mkutano huu wa mwaka wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali nataka nikiri kuwa nimefurahi sana kushiriki katika mkutano huu. Rais Samia...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi mmesahau kuwa genge lenu lilichafua CCM na kiongozi aliyefariki akainusuru CCM uchaguzi wa mwaka 2015

    Mliichafua Ccm kwa kashfa nzito amabazo mlihusishwa kuzitenda. Mlihusishwa na kashfa za kila namna kuanzia Escrow, Lugumi Kagoda na kila aina ya ufisadi uliotokea. Mwaka 2015 Ccm ilichafuka kwa sababu ya uchafu na ufisadi mliouzoea. Ndipo ikaonekana kiongozi aliyefariki angalau asimame ili...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wana simba tukiingia robo fainali CAFL mwaka huu tuchinje tembo kabisa na kufanya party kubwa

    Yes ndiyo nimesema kwa sababu ya mechi ya utopolo, nimegundua tu kwamba mzungu wetu ni very stubborn yaani ana ka system chake fulani hakana plan b Tusijipe ugonjwa wa moyo kwamba eti nusu fainali WE SHOULD FORGET ABOUT IT hii ngoma inaweza kufia makundi kabisa hata robo fainali tukifika tuombe...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Yanga hii ubingwa wa mwaka huu wanauchukua

    Hongereni sana Timu ya Wananchi(Dar Young Africans). Mchezo mliouonyesha imeonyesha kuwa Timu ya Simba bado sana na inabidi wajipange kisawasawa. Usajili wa mwaka huu kweli kama mashabiki tumeridhika sana. Ubingwa mwaka huu ni wetu kinachotakiwa ni kuongeza juhudi. HONGERENI SANA.
  10. JamiiForums Tanzania Upewe million ukae Mwaka mzima bila kutumia simu, utaweza?

    Millioni ipo mfuko wa shati hakuna kuingia jamiiforum , Facebook , Instagram wala kupiga simu kwa mtu yoyote yaani simu ikae flight mode mwaka mzima utaweza weweeee
  11. JamiiForums Tanzania Rick Ross na Trina mwaka 2002

  12. JamiiForums Tanzania PICHA: Cheti cha chanjo dhidi ya pandemic kipindi cha utawala wa Sultan Abdulhamid II wa Ottman mwaka 1908/1326 AH

    Habari wadau...! Katika pita pita zangu maktaba nimekutana na hii document ya chanjo kumbe haya mambo ya kuchanjana yalianaza kitambo sana sasa sijuhi hawa wanaokataa kuchanja wanapata wapi ujasiri. Chanjo ilikuwa dhidi ya ugonjwa wa Plague ugonjwa ulisumbua sana dunia ukaenea Afrika mpaka...
  13. JamiiForums Tanzania Tuambie hapa orodha ya ma DJ's waliofanya poa mwaka huu

    Mwaka ukiwa unaishia hivyo kwa wapenzi wa burudani yaani music na wale wa bata batani, viwanja. Hebu weka top 3 yako hapa ya ma dj waliofanya powa na kukurusha kama sio kukukonga nyonyo na hata kupelekea unywe bia nyingi kama sio kitimoto kilo 2. Ni vizuri pia tukikumbuka mchango wa hawa watu...
  14. JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wapinzani wanaoweza kui-challenge CCM mwaka 2025

    Habari zenu ndugu zangu, Ndugu zanguni kama ilivyo ada mgombea wa chama nilichokitaja hapo juu ameshafahamika. Sasa hawa ni baadhi wa wapinzani ambao ikitokea wakachaguliwa na vyama vyao kuviwakilisha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, basi wanaweza kum challenge japo sio kumshinda mgombea...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyowaandaa wanawake wamchague mwanamke 2025, vyama pinzani navyo viruhusiwe kufanya siasa kupambana na huyo Mwanamke

    Rais ametangaza rasmi kwamba wanawake watakuwa na kazi yakumpata Rais mwanamke 2025 means kwa kauli hii amewaambia chama chake kwamba mgombe atakuwa mwanamke aidha yeye au mwanamke mwingine. Hii inatoa tafsiri ya wazi kwamba wanaume kwa upande wake awataruhusiwa kupambana na mwanamke...
  16. D

    JamiiForums Tanzania COSOTA kuanza kuchaji mirahaba desemba mwaka huu

    COSOTA imesema wasanii watapata 70% na serikali itachukua 30% ya mirahaba itakayokusanywa kutoka kwenye vituo vya redio, TV na maeneo mengine yanayocheza nyimbo za wasanii kuanzia Desemba 2021. Serikali imeeleza hiyo 30% itaiwezesha kufika maeneo mengi zaidi kukusanya fedha hizo.
  17. F

    JamiiForums Tanzania Vodacom hawajatoa gawio la hisa mwaka huu, shida nini?

    Kampuni ya mawasiliano kwa njia ya simu za mikononi Vodacom, hawakutoa gawio kwa wana hisa wake, shida nini? Ni kawaida kutoa gawio mwezi June au July, lakini mwaka huu hakuna kitu. Kunanini Vodacom?
  18. JamiiForums Tanzania Mwenye Rangerover ya mwaka 1988-1994

    Ina hitajika aina hii ya Land rover Rangerover
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kukaa na line ya simu nje ya nchi kwa zaidi ya mwaka bila kufungiwa

    Wadau, Kwa wenye ufahamu naomba kujua ikiwa nataka kusafiri na line ya simu (sim card), nifanyeje ili niweze kukaa nayo nje ya nchi kwa muda mrefu bila kufungiwa. Natanguliza shukrani
  20. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia anazindua Mkakati wa Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi 2022

    Tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten Rais Samia anazindua zoezi la uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi 2022 katika uwanja wa Jamhuri Dodoma. ===== Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema bila kuwa na hesabu au takwimu sahihi, haiwezekani kugawa rasilimali na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…