mvuto

  1. Sifi Leo

    Dr faza Kitima, hamtamki Dr Samia na Dr Nchemba kama Dr je WAJUA kwa Nini? Elimu ya ZAWADI Haina mvuto

    Nina jua madhara ya andiko kama langu maana aliyehoji elimu ya Magufuli alitekwa na KUPOTEZwa mpaka Leo Sina amani ya kusema Ben Saanane kamwe Inaumiza kwa elimu za kibongo zilivyongumu Kuona mtu anapewa updh una UMMA sana Mimi niliwai Kuoji hivi mwigulu na Dr Jafo wakiwa mawaziri waliwezaje...
  2. Uhuru24

    Majengo mengi yanayojengwa Dar es salaam hasa maghorofa hayavutii(hayana mvuto)

    Sijapata bahat ya kutoka nchi za watu, inshallah kikubwa uzima naweza fanikiwa fika siku moja, ila mara nyingi napenda sana kuingia YouTube na kutazama miji mkuu au majiji ya nchi husika. Mfano kama muda huu naiangalia GABORONE _🇧🇼 yaani unaona jinsi majengo yanavyovutia, unaona majengo...
  3. Chizi Maarifa

    Mwigulu kachuja mapema sana. Hasikiliziki hana mvuto

    Nipo huku SA. Hawa jamaa wamekuwa waduanzi sana. Wanatusimanga kwa maneno ya hovyo utadhani baba yao naye ana kitu cha maana. Wanasema mama yenu ana IQ ya 40. Nawatizama nawatukana kimoyo moyo mbwa hawa. Jana tumekaa na boya moja tunajadiliana anasema nyie mliwahi kuwa na Baba mtandao mchafu...
  4. R

    Kumbe Leo ni siku ya sheria : Dah! Inakosa mvuto kwa vile Tanzania hakuna utawala wa sheria

    Wangapi wanajua kuwa leo ni siku ya sheria? Wachache maana hakuna mvuto kwa vile hapa tunaishi bila sheria. Sheria ni Samia, Mafwele, Mulilo na watu wao!
  5. Rijali jandoni

    2030 na baada ya hapo, kuna uwezekano wa kuundwa Chama kipya chenye ushawishi au serikali ya mseto

    Salam wanajamvi, kwa namna mambo yalivyo ni wazi ushiriki na imani ya wananchi kwenye mambo ya siasa umepungua, nikiwa na maana ni ngumu kwa mwananchi wa kawaida kuamini nini viongozi wanacho eleza wakiwa kwenye majukwaa na hii ni kutokana na timing ilio fanyika katika mambo yalio tokea hapo...
  6. kibori nangai

    Hatuba ya Rais mwisho wa mwaka 2025 haina mvuto, anarudia rudia ya siku zote, hakuna creativity

    Wala salama. Za mwaka mpya sio mda wake . Bi msumi wala asingejichosha kuongea maana sijaona la.maana Zaidi ya kutukumbusha machungu ya October 29,30 and 31 October. Eti tume ya maridhiano. Umeharibu nchi ,alafu unataka kuridhiana ,swali dogo ulikuwa hujui unachofanya kwamba huko unakoelekea...
  7. T

    Jifunze kingereza kwaajili ya kujiongezea mvuto wa kujiajiri/kuajiriwa/kuajiri

    OFA YA KITABU CHA KIINGEREZA Mimi kama mwalimu wa kingereza imenibidi nikupe ofa ya kitabu (soft handbook) DOWNLOAD hapo👇 in case utaitaji msaada wa vitabu vingine au namuna ya kukitumia hicho kitabu (soft hand book) Tuwasiliane kwa namba 0623446608 Ubarikiwe!
  8. funaku

    Bycola Adams mwanadada mwenye mvuto na akili ndani ya tiktok

    Kwa hakika nimevutiwa na sura ,haiba,sauti ,akili ,ushawishi na utulivu wa mwanadada huyu wa kitanzania anayekuja kwa kasi kwenye mtandao wa tiktok.
  9. Ghayo El Yehudi

    Kwa nini wenye majina ya "Ayo" wengi wanakuwa na vipawa , mvuto , akili na ushawishi ?

    Mzuka Wana Jamvi Huu ni utafiti nilioufanya tukuanzia hapa JF unamkuta Genius Maghayo Utangazaji MillardAyo Muimbaji DullAyo Kwenye Bible ZebedAyo Kabila WakaldAyo Mchezaji mpira AdebAyo Mfanya biashara ChivAyo Je una maoni yapi ? Uzi teyari
  10. The Khoisan

    Kwanini muunganiko wa Samia na Nchimbi umekosa mvuto?

    Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa. Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri. Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni. Na haya...
  11. Mohammed wa 5

    Kura yangu itaenda CCM kwa sababu vyama vya upinzani havina nguvu na mvuto period

    Habari za zenu wana jf MImi ni kada wa chadema wa miaka mingi sana tokea nipo O level mpaka chuo na tushapewa sana suspension( kusimamisha shule kwa misimamo yangu ya kisiasa) Kwa haya yanayofanyika nchini ni maigizo tu kwenye siasa hasa vyama vya upinzani ili kuleta demokrasia ya uongo...
  12. shonkoso

    Vipindi gani vya Redio/TV havina mvuto na unashangaa kwa nini bado vipo hewani?

    Mimi binafsi kipindi cha vifo Radio one kama sikosei, zamani ilikuwa ni kipindi kizuri kutokana na upatikanaji wa taarifa kuwa hafifu ila kwa sasa mhhhhhh, vipi wadau wengine?
  13. U

    Je, ni sababu zipi zilizosababisha kampeni ya No Reforms No Election kupungua nguvu na kupoteza mvuto ndani ya kipindi cha muda mfupi ?

    Wajuzi wa sayansi ya siasa karibuni
  14. Hharyson

    UNAWEZA UKAJENGA NYUMBA NZURI BILA LANDSCAPE NZURI INAPOTEZA MVUTO KARIBU TUKUPE DESIGN NZURI NA UTEKELEZAJI PIA 0624004650

    WE DO DESIGN AND BUILD CALL/WHATSAP +255624004650
  15. Kimbesa11

    Polepole angekuwa anajijua kuwa hana mvuto wa kisiasa asijengejiuzulu, kwa kutoa shutuma za uongo na upotoshaji amejipoteza kisiasa

    Kuna watu wakishapata madaraka basi wanajiona washakuwa maarufu kiasi cha kuanza dharau na majigambo, kiasi cha kuona wao ndiyo wenye sifa zaidi kuliko wengine kitu ambacho si sikweli ni ulimbukeni tu wa madaraka. Mbaya zaidi wanafikia hatua hata ya kutowaheshimu wale waliowaheshimisha kwa...
  16. The Burning Spear

    CCM imekosa Mvuto hadi imefika hatua inajipendekeza kwenye Mikusanyiko ya watu wengine

    GT CCM ina hali mbaya sana kwa kweli kinachoibeba hadi sasa ni kwamba watanzania siyo watu wa kudhubutu vinginevyo tungekuwa tuanongea mengine. Sasa unajua CCM ikiitisha mkutano.wa hadhara bila kubeba watu kwenye malori au.kuwahonga watu hela wahudhurie mkutano ni ngumu kuwapata, kwa mantiki...
  17. Dogoli kinyamkela

    Watu wa nyota ya CAPRICORN ♑ - MBUZI na nyota ya AQUARIUS ♒ NDOOJumamos ni siku yenu nzuri kiroho na kimaisha na mvuto

    Watu wa nyota ya CAPRICORN ♑ - MBUZI na nyota ya AQUARIUS ♒ NDOO Jumamos ni siku yenu nzuri kiroho na kimaisha na mvuto, Vaa rangi ya jumamos ambayo NYEUSI, Pia saa 12 ahsubuhi na saa saba mchana choma mafusho ya MIATUN-SAILA ili kuongezea nyota yako nguvu. HAPPY SATAN DAY By Dr DOGOLI...
  18. Hance Mtanashati

    PreGE2025 Kadri siku zinavyozidi kwenda, Samia anazidi kupoteza mvuto kwa watu

    Kikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu. Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao...
  19. J

    Bajeti imekosa mvuto?

    Nimejaribu kufuatilia katika maeneo na vyanzo mbalimbali kuhusu mwitikio wa wananchi juu ya bajeti ya serikali ya mwaka 2025/2026, nimebaki nikijiuliza, bajeti haina mvuto? Au wananchi wamekata tamaa kufutilia huo mpango mkuu wa serikali? Sio katik media au vijiweni, mjadala.kuhusu bajeti...
  20. Jidu La Mabambasi

    BUNGENI: Wageni watia usingizi wa pono, mijadala haina mvuto

    Gazeti la leo Daily News pg2, kuna picha inaelezea kinaga ubaga hali ya mijadala Bungeni-HALINA MVUTO! Wageni nimehesabu katika picha, wengine wamelala, mmoja kaja na shuka kabisa toka nyumbani. Mwingine yuko busy na simu. Wawili wanasogoa. Heko Bunge letu takatifu.
Back
Top Bottom