mvua

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Salim Hasham Atoa Msaada Kutokana na Mvua Iliyoambatana na Upepo Iliyobomoa Nyumba Zaidi ya 100 Ulanga

    Wananchi zaidi ya 1000 wanaoishi katika kijiji cha Mavimba Kata ya Milola Wilayani Ulanga Mkoani Morogoro wamebaki bila makazi baada ya Mvua iliyoambatana na upepo mkali kubomoa Nyumba zaidi ya 100. Wakizungumza na Waandishi wa habari waathirika wa tukio hilo wameiomba Serikali kupitia ofisi ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hali ya jua kali ulipo ikoje? TMA utabiri ukoje?

    Jua linawaka sana huku mikoani. Nadhani kuna sehemu kuna angalau mvua kidogo. Tupeane taarifa, One can shift from one region to another to look for agricultural opportunities Sehemu ambazo hata tone hakuna 1. Mwambao wote wa Bahari ya Hindi
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtoto mwenye umri wa miaka sita akutwa amefariki kwenye korongo la maji, wazazi tukumbuke usalama wa watoto kipindi hiki cha mvua

    Wakuu kipindi hiki cha mvua nyingi kwa baadhi ya mikoa ni hatari kwa usalama wa watoto wadogo, wazazi tuwe makini na watoto wetu hasa maeneo wanayocheza na kuwadhibiti kutoka nyumbani pindi mvua zinaponyesha ili tuwaepushe na hatari hizi. ===== Mtoto Aliyefahamika Kwa Jina La Vicent Konga...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mvua zilizoambatana na upepo zaezua nyumba zaidi ya 100 Ulanga mkoani Morogoro

    Mvua zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo mbalimbali zimeendela kuleta athari ambapo zaidi ya nyumba 100 zimeezuliwa paa na nyingine kubomoka baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo kunyesha katika Kijiji cha Mavimba Kata ya Milola Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro. Baadhi ya Wahanga...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Zimamoto latoa tahadhari ya uwepo wa majanga, Wakazi wa mabondeni watakiwa kuwa makini

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa tahadhari ya uwepo wa majanga baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kuripoti uwepo wa mvua za wastani na juu ya wastani katika baadhi ya mikoa nchini huku likiwataka wananchi kuwa makini katika kipindi hicho pamoja na kuviasa vyombo vya usafiri kutopita...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania NEMC yaitahadharisha Jamii kuhusu Majanga tarajiwa yatokanayo na Mvua pamoja na tabianchi

    Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC) Dkt. Immaculate Sware Semesi ameitaka jamii yote kuzingatia maelekezo yanayotolewa na mamlaka za usimamizi na kuchukua hatua za kujilinda na hali ya hatari tarajiwa katika mazingira. Ameyasema hayo leo tarehe 02...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi - Morogoro wathibitisha watu wawili wamepoteza maisha kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linathibitisha kutokea kwa vifo vya watu wawili kwa athari za maji yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Vifo hivyo vimetokea katika nyakati na maeneo tofauti. Tukio mojawapo limetokea usiku wa kuamkia Januari 30, 2025 katika mtaa wa...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mvua hii kubwa inayoanguka Dar ni ushahidi kuwa Mungu amemtia muhuri Lissu Oktoba 2025

    Taarifa ninazozipata kutoka ukumbini pale Mlimani City katika uchaguzi wa CHADEMA Taifa, ni kwamba Team Mabadiliko imeibuka kidedea. Hii ni taarifa njema kwa Tanzania Huu ni msiba kwa CCM Hii mvua inayonyesha inanikumbusha zile nyakati zetu utotoni, kila event yenye baraka za Mungu lazima mvua...
  9. Magical power

    JamiiForums Tanzania Wale tuliopita humu tujuane, humu hauwezi jua kama mvua imenyesha huko nje

    Wale tuliopita humu tujuane,humu hauwezi jua kama mvua imenyesha huko nje
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega Afanya ya Kushtukiza Usiku Miradi ya BRT, Aagiza Ikamilike Kabla ya Msimu wa Mvua za Masika

    WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA USIKU MIRADI YA BRT, AAGIZA IKAMILIKE KABLA YA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA. Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo Jumamosi tarehe 28, Disemba 2024 yenye lengo la kukagua maendeleo ya miradi ya ujenzi wa...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mvua yakata mawasiliano barabara ya Kizangaze

    Mawasiliano ya Barabara ya Kizangaze yanayounganisha kata za Maore, Ndungu, Kihuruo na Bendera wilayani Same Mkoa wa Kilimanjaro, yamekatika kwa muda baada ya kingo za Daraja la Kizangaze kuvunjwa na mafuriko. Daraja hilo limeharibiwa na mvua zilizonyesha usiku wa Desemba 20, 2024. Kamati ya...
  12. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Mvua ya samaki hunyesha nchini Honduras.

    Wakuu katika kupita pita mitandaoni na leo ndio najua kuwa kuna eneo hapa duniani huwa inanyesha mvua ya samaki. Eneo hili linaitwa Yoro, nchini Honduras, Central America, na tukio hili la ajabu hufahamika kwa jina la Lluvia de Peces. Kila mwaka, kati ya miezi ya Mei na Julai, mvua kubwa na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Quality Unsex Rain Coat kipindi hiki cha mvua kwa Bei ya 8000/= tu!!

  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa barabara ya kigamboni/ferry - cheka: Mkurugenzi wa Manispaa, Meneja TARURA/TANROADS mna mpango gani kuelekea msimu wa mvua?

    Napenda kuwasilisha malalamiko kutoka kwa watumiaji wa barabara ya Kigamboni/Ferry - Cheka kuhusu hali mbaya ya barabara hii, hususan vipande kadhaa ambavyo lami imekwanguliwa kwa lengo la kufanyiwa marekebisho lakini hadi sasa kazi hiyo haijakamilika. Tunaelekea katika msimu wa mvua za masika...
  15. B

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mto Ngerengere – Morogoro uchimbwe ili kuondoa taka zilizojaa, wakati wa mvua maji yanaingia mitaani

    Mimi ni Mkazi wa Mtaa wa Mazimbu Darajani, Kata ya Mazimbu, Manispaa ya Morogoro, jamani mtaani kwetu huku kumekuwa na changamoto ya mto kujaa na kufurika maji hasa kipindi cha mvua hali inayosababisha maisha ya watu kuwa hatarini. Wanaokuwa hatarini zaidi ni Wanafunzi wa Shule za Msingi...
  16. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Mlioezeka paa contemporary mvua zimeanza hali ikoje kwako?

    Vipi hali huko kwako/kwenu? Maji ya mvua yanaingia ndani au?
  17. Jangili La Kimataifa

    JamiiForums Tanzania Umeme na mvua

    Kuna mikoa mvua ikianza kunyesha tu haichukui dakika 5 umeme unakatika sijui tanesco wameshindwa kusolve hili imekua ni tamaduni na desturi 🤔
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mvua yasababisha uharibifu wa mali Dodoma

    Baadhi ya wakazi wa Dodoma wamepata hasara na usumbufu baada ya mvua kubwa kunyesha kwenye maeneo yao na kisha maji kuingia ndani na kuharibu mali mbalimbali. Soma Pia: TMA yatangaza mvua za siku tatu mfululizo mikoa minane, kuanza leo Disemba 3
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kupeana penzi wakati wa mvua kunaongeza kinga ya mwili

    Haijalishi ni muda gani Ila Unapokuwa free na mpenzi/mwandani wako asikae kinyonge wakati wa baridi mtie mguu wa mtoto mpe mkwasa🤣wa mashavu ya chini. Faida za tendo wakati wa mvua 1.kuimarisha upendo baina ya wenza 2.kuondoa stress za Kazi na biashara 3.njia ya kutatua Ugomvi 4.inachochea...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TMA yatangaza mvua za siku tatu mfululizo mikoa minane, kuanza leo Disemba 3

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la mvua kubwa katika mikoa minane kuanzia leo Jumanne, Desemba 3, 2024. Mvua hizo katika mikoa hiyo ya Dodoma, Singida, Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa, Songwe na Manyara. Taarifa hiyo ya TMA iliyotolewa leo Desemba 3, 2024 imetahadharisha...
Back
Top Bottom