mvua kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kujilinda na radi wakati wa mvua kubwa? Kuzima data kunaeupusha kupigwa na radi? Kufahamu hayo na mengine mengi soma uzi huu

    JamiiForums imefanya mahojiano na Rose Senyagwa, Mtaalam na Mchambuzi wa Hali ya Hewa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), ambapo alieleza kwa kirefu nini watu wanatakiwa kufanya ili kujilinda pale kunapokuwa na radi ==== Radi ni nini? Radi ni umeme, umeme huu unatoka katika mawingu na hasa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC: Tunaendelea kusitisha safari za Treni kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha

    Dar es Salaam, Tarehe 30 Januari 2024 Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa linaendelea kusitisha huduma ya usafiri wa treni kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza, Katavi, Kigoma na njia ya Kaskazini kuelekea mkoani Tanga...
  3. haszu

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa ilioambatana na upepo imenyesha Kibaha

    Nimetubu sala zote asikwambie mtu, upepo ni mkali sana pamoja na radi.
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TMA watabiri mvua kubwa Jumamosi na Jumapili

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania, imetabiri mvua kubwa inyotarajiwa kunyesha tar 27 na 28 Januari 2024. Mvua hizi zimetabiriwa kuwa tarehe 27 Januari 2024 zitanyesha mikoa mitano, Morogoro Kusini, Lindi, Mtwara, Ruvuma na Njombe. Aidha kwa siku ya Jumapili Januari 28, 2024 zitanyesha Morogoro...
  5. 5 Nyingi

    JamiiForums Tanzania TANESCO Walalamikia Mvua kubwa, wasema ni chanzo cha mgao

    Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limesema hali ya upatikanaji wa Umeme katika baadhi ya maeneo nchini, imekuwa duni kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali, iliyosababisha miundombinu ya umeme, zikiwemo nguzo na transfoma kuanguka. Kupitia taarifa iliyotolewa na...
  6. Heparin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zasababisha kudondoka kwa Mawingu Mkoani Morogoro

    Inadaiwa kuwa kuna mawingu yamedondoka huko Morogoro kutokana na mvua kubwa zinazonyesha. Wataalam, imekaaje hii? Video ikionesha kile kinachodaiwa kuwa ni Mawingu yaliyodondoka, Morogoro
  7. tpaul

    JamiiForums Tanzania Dar: Mvua kubwa sana imenyesha usiku wa kuamkia leo 21/01/2024

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Mvua kubwa sana inanyesha hapa Dar sijapata kuona. Tangu nizaliwe sijawahi kushuhudia mvua kubwa kiasi hiki. Serikali ijiandae kukabiliana na athari za mafuriko zitakazosababishwa na mvua hii kwani kadri muda unavyoenda mvua inazidi kuongezeka Mara ya mwisho...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

    Wananzengo, usiku saa 9 nimejikuta navamiwa na wanangu chumbani, wanaogopa radi kabambe zinazopiga sambaba na mvua hii kubwa yenye upepo wa kuhamisha milima. Soon kunakucha. Tujuzane endapo kuna maafa maeneo yenu. Lengo ni kupashana taarifa. Tupia picha . Nawalinda wanangu hapa wasipigwe na...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TMA: Mikoa 15 kukumbwa na Mvua kubwa zinazoweza kusababisha Mafuriko

    Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa tahadhari ya uwapo wa mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha katika mikoa 15 inayoweza kuleta athari ya mafuriko. Mikoa iliyotajwa ni Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Katavi, Dodoma, Singida, Rukwa, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa na Kusini mwa...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tanzania inataraji kupata mvua kubwa za Elnino isivyo kawaida. Wavuvi waanza kukatazwa kwenda kuvua

    Salaam Wakuu, Kupitia WhatsApp yangu nimetumiwa ujumbe wa tahadhari kuhusu kuwepo kwa Mvua katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Ujumbe huo unaeleza: Shinyanga, Dar, Pwani, Mafia,Tanga, Mwanza, Geita, Mara, Simiyu, Kigoma na Kagera tujiandae, kutakuwepo na Pacific El nino na Atlantic El...
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania TMA yasema mvua kubwa kunyesha Dar es Salaam kwa siku 4 kuanzia Jumatano Nov. 15, 2023

    Baada ya mapumziko ya siku mbili, mvua kubwa za El Nino sasa zinarejea tena Jijini Dar es Salaam na zitanyesha kwa siku nne mfululizo kuanzia kesho Novemba 15 na zitaendelea hadi Jumamosi ya Novemba 18 mwaka huu. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA ni kwamba, mvua hizo mbali ya Dar...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Heche apeleka mvua kubwa Tarime, mkutano wa Makonda wasambaratika, wananchi watimka mbio

    Kuna watu "wataalamu". Mkutano wa Makonda Tarime umevurugika baada ya mvua kubwa kunyesha. Mvua hiyo imefanya wananchi kutoka mbio na kumuacha Makonda na timu yake jukwaani. Shikamoo Heche
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa DSM, klabu ya Yanga yazingirwa na maji muda huu

    Mvua kubwa inaypendekea muda huu imesababisha mafuriko kunako club ya yanga jangwani
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) Yatahadharisha Uwepo wa Mvua Kubwa Dar es Salaam, Tanga, Pwani na Mafia Jumapili, 12 Novemba 2023

    Mamlaka ya Hali ya Hewa TMA imetahadharisha uwepo wa mvua kubwa kwa Jiji la Dar es Salaam kwa siku ya kesho, Jumapili Novemba 12 2023. Utabiri wa TMA unaonesha mvua hiyo itakayoenea hadi katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Tanga, Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia na mikoa ya Lindi pamoja na...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tahadhari TMA: Dar, Pwani, Tanga, Unguja, Pemba na Mafia kukumbwa na Mvua Kubwa leo

    Kama mujibu wa taarifa hiyo ya Mamlaka ya Hali ya Hewa, wakazi wa maeneo tajwa wachukue tahadhari kwasababu Mvua hizo zinatarajiwa kunyesha kwa siku 3 kuanzia leo Oktoba 29, 2023. TMA imeonya kuwa Mvua zinaweza kusababisha Mafuriko pamoja na kuharibu shughuli za Kiuchumi hivyo Wananchi waepuke...
  17. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa yanyesha Bukoba na kusababisha hasara kubwa

    Mvua hiyo kubwa imenyesha leo katika Manispaa ya Bukoba na kuwaachia hasara kubwa wananchi wengi hasa walio karibu na mto Kanoni. Nyumba nyingi zimezingirwa na maji, huku maeneo mengine nyumba zikiwa zimeezuliwa paa kutokana na upepo mkali. Moja ya nyumba ya ibada iliyopata madhara hayo ni...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania TMA yasema mvua juu ya wastani zinatarajiwa kunyesha. Mvua za Vuli kuanza Oktoba

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua za Juu ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, kusini mwa Mkoa wa Simiyu, kaskazini mwa mkoa wa Kigoma, Dar es Salaam, Tanga, Pwani (ikiwemo visiwa vya Mafia), kaskazini mwa mkoa wa...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) watoa tahadhari ya mvua kubwa

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA), imetoa angalizo ya siku mbili ya kunyesha kwa mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo machache ya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani (Visiwa vya Mafia ,Tanga, visiwa vya Unguja na Pemba). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA, leo Juni 5, 2023 jijini Dar...
  20. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Hali ikoje huko uliko na mvua hii iliyonyesha siku nzima?

    Wakuu salaam, Mvua leo imetunyoosha kama imejiunga kifurushi cha siku. Yaani toka asubuhi mpaka usiku huu kuna maeneo mvua bado inayesha. Huko ulipo hali ikoje? Njia zinapitika au kumefurika? Wapangaji wenzangu, dalali aendelee kuzima simu au mambo shwari?
Back
Top Bottom