Wahenga mtakubaliana na mimi 100% kwamba miaka ya nyuma mvua zilizokuwa zikinyesha Dar es salaam hazikuambatana na radi hata kidogo. Tulizoea kusikia matukio ya radi hasa huko Kigoma, Shinyanga, Tabora na mikoa mingine ambako matukio ya watu kuuliwa na radi yalikuwa yakiripotiwa mara kwa mara...
Soko la Mahakama ya Ndizi lililopo Mabibo ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo limeendelea kuwa katika hali mbaya licha ya kuahidiwa kufanyiwa maboresho makubwa ambayo yangeweza kutatua kero zilizokuwa zikilalamikiwa kwa muda mrefu.
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ilitoa taarifa ya...
Hiki ni kipande cha Barabara inayotoka Ipole – Tabora kuelekea Mbeya, hali ni mbaya sana, wananchi tunateseka kwa kushindwa kupita kwa utulivu.
Kuna muda abiria tunalazimika kushuka ili gari liweze kupita na kuvuka mashimo yaliyopo hapo hasa nyakati za mvua.
Serikali ifanye kitu kuhusu...
Kuna laana kubwa Tanga. Nchi nzima inanyesha mvua isipokuwa Tanga, hasa mjini na viunga vyake ....all surrounding villages within Tanga City planned areas! Tangu last year June untill now!
Soma pia TMA toeni sababu kwanini mvua Tanga hakuna tangu mwezi wa 7, 2025
Mvua kubwa Dar imeanza kunyesha usiku mkubwa kwenye saa 7 hivi
Tujuzane maeneo ambayo yameathirika na mvua hii ili mamlaka zijue pa kwenda kutoa msaada wa haraka ikiwa utahitajika
Mvua kubwa iliyonyesha Nairobi usiku wa Ijumaa imeleta madhara makubwa baada ya mafuriko kuharibu major water pipelines, na kusababisha water shortage kwa estates zaidi ya 15. Kulingana na Nairobi City Water, maeneo yaliyoathirika ni pamoja na Buruburu, Kariobangi, Dandora, Mathare, Eastleigh...
Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Nairobi imeleta maafa makubwa baada ya watu 23 kuthibitishwa kufariki kufuatia mafuriko yaliyosomba baadhi ya maeneo ya jiji. According to emergency reports, zaidi ya magari 70 yamesombwa na maji huku nyumba na biashara nyingi zikiharibiwa na mafuriko. Rescue...
Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro.
Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu.
Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo.
Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
Anonymous
Thread
afya
afya ya binadamu
afya za watumiaji
binadamu
chafu
hata
hela
holela
kero
kila mwezi
kiunganishi
kuchukua
kuepuka
kutokana
magonjwa
magonjwa ya mlipuko
mamlaka
mawenzi
mjini
mlipuko
mvua
mwezi
nyakati
soko
uchafu
ushuru
viongozi
wakazi
wateja
watumiaji
https://www.youtube.com/watch?v=4q282jxs_3E
Mbunge wa Jimbo la Segerea, Agnesta Lambert Kaiza, kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), amesema kuwa katika jimbo lake bado kuna kero kubwa ya barabara, hususan za ndani. Ameeleza kuwa mvua zinaponyesha, njia nyingi hazipitiki...
Baada ya ya Mvua za rasharasha kunyesha huko Iran sasa hivi rasmi kabisa Mvua za Masika zimeanza kumnyeshea Ayatollah huko Tehran Iran.
Kufikia asubuhi hii ameangamizwa
Amir Hatami, Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri za Kiislamu, aliyekuwa anatishia kuangamiza Tel Aviv na Haifa. Na yeye Kaangamizwa...
Soma pia: Bukoba: Zaidi ya nyumba 300 zazingirwa na maji baada ya mvua kubwa kunyesha
Mvua yabomoa, kuezua mabati kwenye nyumba tano huko Makambako mkoani NjombeNyumba tano zilizopo Mtaa wa Idofi, Kata ya Mlowa mjini Makambako mkoani Njombe zimeharibiwa baada ya mvua kubwa iliyoambatana na...
Dar es Salaam na Pwani mvua hainyeshi kama tulivyoaminishwa na TMA. Ila ata ikinyesha uwa haina msaada sana kwenye kuongeza maji kwaajili ya “intake” za DAWASA walizozitega Ruvu juu na chini.
Mvua za Morogoro ndio mkombozi wetu. Milima ya Uluguru ndio kimbilio letu. Sasa naomba kuuliza, huko...
Kiufupi unajifunza kutokana na mazingira na kufananisha.
Huu mradi wamelipua sehemu nyingi sana njia za reli ni kama pesa imepigwa sana.
Mikoa korofi kama morogoro mvua zikinyesha lazima kufunga njia nyingi za usifiri.
Je wanajua shida nini.?.
Serikali inapeleka wasanii nchi za nje kwa kipi...
Tukumbuke hapa majuzi Taifa halikuwa na maji kutokana na uhaba wa mvua
Mvua zimeanza wiki hii zimesomba reli yetu ya ma trillions ya pesa za walipa Kodi masikini.
Hii hii reli itahimiri hali ya hewa kipindi cha masika cha mwezi March
Hivi kweli Engineer aliyeingia darasani atapanda nguzo...
Yaani Safari zinasitishwa kabisa na watu wana amani. Sababu wao wanatumia ndege.
Watu wanajenga reli hawakujua hii sehemu gani reli ipite juu au chini? Hawakujua Nchi yetu maji yanajaa mabondeni?
Eti leo Reli inapita ndani ya maji kisa mvua imenyesha.
Mbona pale Buguruni reli inapita juu...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema limepata changamoto kwenye mfumo wa umeme karibu na Stesheni ya Ruvu mkoani Pwani, hali iliyosababishwa na mvua inayoendelea kunyesha nchini.
Akizungumza na Swahili Times, Afisa Habari wa TRC, Fred Mwanjala amesema kwa sasa mafundi wako eneo la tukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.