Anaejua dawa ya kuongeza ndevu na mvi anishtue

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Wananzengo salama?

Nahitaji dawa ya kuongeza ndevu pamoja na mvi za kichwani na kwenye ndevu

Nina mvi chache kwenye ndevu na nyingine kichwani so nahitaji ndevu zote ziwe nyweupe na kichwani pia

Kama kuna dawa unaifahamu nambie inaitwaje.
 
Duuh aisee dawa ya kuongeza na sio kupunguza!!? Ingekua inawezekana ningekupa zangu aisee kijana mdogo nna madevu hatariii. Wanasemaga asali na mdalasini zinaotesha nywele sasa na ndevu si ni nywele labda ukipaka utazipata mkuu!
 
Duuh aisee dawa ya kuongeza na sio kupunguza!!?
Ingekua inawezekana ningekupa zangu aisee kijana mdogo nna madevu hatariii.
Wanasemaga asali na mdalasini zinaotesha nywele sasa na ndevu si ni nywele labda ukipaka utazipata mkuu!!
Ngoja nitajaribu mkuu,nataka kufikia miaka 36 ndevu zote ziwe mvi tupu na ikiwezekana kichwani pia,Nina nywele za kipilipili bora niwe na mvi tu
 
Hapa ndio utagundua kwanini Mungu aliumba mabonde na milima,miti mizuri na miti ya miba,moto na maji,mwanamke na mwanaume n.k n.k,Yaani watu tunatafuta dawa za kutoa ndevu mwingine anataka dawa za kuongeza ndevu,huku wengine wanahangaika na dawa za kuondoa mvi wengine wanatafuta dawa za kuongeza mvi,kweli nimeamini Mungu ni fundi,alijua kabisa kuwa binadamu hatueleweki kabisa...
 
Nenda kwenye page yake instagram, m-dm, nadhan atakupa utaratibu wa namna ya kuipata hiyo bidhaa unayoitaka.
 
Una stress za kutosha? Kama hauna ongeza stress tu mvi na madevu mengi huwa yanakuja yenyewe ukiwa na stress
Ndevu na mvi nyingi sio stress /msongo wa mawazo bali ni genetic ya mtu na mtu.
Mfano sio wote wenye vipara ni wazee.
 
Back
Top Bottom