muziki

  1. Nomadiq

    Kuna namna tu muziki wa kitambo ni mzuri, kuliko wa sasa

    Namaste everybody Heshima zenu wakuu. Muziki wa kitambo miaka hio ya wahenga kabla sisi Gen Z hatuzaliwa ulikuwa mzuri sana ukilinganisha na ya sasa. Vyombo vya muziki vinasikika kwa uzuri, kama ni saxophone unaisikia, guitar marimba zote unazisikia vizuri. Nyimbo zilikuwa ndefu, unakuta...
  2. Waufukweni

    Baraza la Sanaa Zanzibar (BASSF) lasitisha shughuli za muziki na burudani kipindi cha Ramadhani

    Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu Zanzibar limetoa taarifa Kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani linawakumbusha wamiliki wa maeneo ya kumbi za starehe na Burudani, wapigaji wa muziki na Wananchi wote kwa ujumla kwamba Shughuli za upigaji wa muziki kwa kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani...
  3. A

    KERO Wakazi wa Malamba Mawili kwa Ndodi tunateseka na sauti ya muziki mkubwa hadi usiku mwingi

    Wakazi wa Malamba Mawili kwa Ndodi, Mtaa wa Chande B, Dar es Salaam kuna jengo la ibada linaitwa King'azi B Kisima cha Sifa, bila kuwakosea heshima wahusika lakini kwa kweli limekuwa kero kwa Wananchi, kutokana na wahusika kupiga muziki kwa nguvu sana mpaka usiku wa manane. Sauti kubwa sana...
  4. K

    Wakili afungua mashtaka akiitaka Mahakama kuzuia usafiri wa umma (Matatu) Kupiga Muziki wa sauti kubwa, Nairobi

    Wakili mmoja kutoka Nairobi amefungua shauri katika Mahakama Kuu akiomba kutolewa kwa amri ya kusitisha magari ya usafiri wa umma (matatu) kupiga muziki wa sauti kubwa, akisema kuwa tabia hiyo inakiuka haki kadhaa za kikatiba. Katika ombi lake, Wakili Samwel Barongo Nyamari amelaumu Chama cha...
  5. Waufukweni

    BASATA: MC na DJ mtakiwa kujisajili na kuwa na kibali hai ifikapo 31 Januari, 2026

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limekumbusha kuwa, kwa mujibu wa Kanuni za BASATA za mwaka 2018 na Tozo za mwaka 2025, waongoza sherehe, burudani na matukio (MC) pamoja na Manju Muziki (DJ) wanatakiwa kupata vibali vya BASATA kabla ya kufanya kazi za sanaa. BASATA imeelekeza wahusika wote...
  6. M

    Muziki sio safari nyepesi: Wasanii wengi huanziaga huku

  7. Chibike

    Hivi watanzania mnawa-follow wasanii wa muziki na filamu ili iweje?

    Hii ndio nayosema kua tuna shida kubwa sana sana,,,ndio mana hata cartels wakitubagaza wanajua aah Hawa wanafatilia wasanii Instagram na TikTok wamelala hawa... kuna manufaa yoyote unapata mtanzania haswa kijana kumfollow msanii wa muziki ? Yani Kuna pesa unawekewa kwenye akaunti yako ama ni...
  8. BabaMorgan

    Mnasifia mapera mnajua muziki wa wali mkavu.?

    Tusisahau kuishi wakuu life is good LG nashukuru mungu leo kanibless kijana wake nimeokota kanuni ni kuwa fifteen percent ya hela inayoingia ni kwa ajili ya refreshment. Sasa baada ya kuokota nikapita sehemu agiza mbuzi katoliki nusu na ugali wakati nasubiri inatayarishwa jikoni nikaagiza...
  9. Damaso

    Gangnam Style: Muziki wa Korea Ulioburudisha Dunia Yote

    Mwaka 2012, dunia ilishuhudia tukio la kipekee katika historia ya muziki wa kimataifa. Wimbo wa “Gangnam Style” ulioimbwa na msanii wa Korea Kusini, PSY, ulivutia hisia na kujenga wimbi kubwa la furaha, kucheka, na kuigiza mtindo ya kipekee wa kucheza ambayo ulipendwa na dunia nzima. Hata bila...
  10. Damaso

    Chamillionaire: Ridin Dirty na Maisha nje ya Muziki

    They see me rollin' They hatin' Patrollin' and tryna catch me ridin' dirty Tryna catch me ridin' dirty Kwa wale wahenga haya mashairi yanawarudisha mbali sana, miaka ya 2006, ambapo mashairi haya yalikuwa ni kama wimbo wa dunia haswa sehemu za disco, aliyeimba wimbo huu wengi wanamfahamu kwa...
  11. BabaMorgan

    Kama unapenda muziki utakubaliana na mimi zile amapiano za mwanzo kipindi cha corona zilikuwa noma sana

    Tuwape maua yao South Afrika kipindi kile cha COVID-19 zilidondoka amapiano kila ngoma ilikuwa fire moja kati ya hizo ngoma ilikuwa Jerusalema ya Master KG hili dude lilikuwa habari nyingine aisee. Dude jingine lilikuwa ke star remix ya Focalistic na Davido hatujatulitia wakatuchapa na champion...
  12. W

    SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki Chid Benz

    Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
  13. BigTall

    GE2025 Wakongwe wa muziki Arusha waahidi makubwa Tanzania Samia Connect

    Tanzania Samia Connect inayotarajiwa kufanyika kuanzia Agosti 21- 23, 2025 inatarajiwa kuwakutanisha katika jukwaa moja wasanii zaidi ya 50 kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Arusha, ikiwemo wakongwe wa muziki kutoka Jijini Arusha Fido Vato anayetamba na wimbo wa 'Chuga hiyo' pamoja na JCB aliyevuma...
  14. MK254

    Muziki ni haram, wasema masheikh tofauti

    Duh, juzi ilikua kwamba hairuhusiwi kucheka sana kwenye uislamu, kumbe hata muziki ni haram, unapaswa mnuniane tu maisha yaende. Hawa hapa masheikh, sio maneno yangu.... https://www.tiktok.com/@thestrangersstudio/video/7398064026569231633 https://www.facebook.com/reel/640280608424626...
  15. A

    KERO Kisesa, Magu: Kelele za Muziki usiku kucha

    Tunaomba mtusaidie, kuna bar imefunguliwa hapa Igudija kata ya Kisesa Wilaya ya Magu Mwanza. Muziki usiku kucha. Mamlaka wasimamie wahusika waweke sound proof kuzuia kelele za muziki
  16. DuaZaMama

    GE2025 Wasanii kwenye kampeni ni sauti ya wananchi au zana ya kupoteza mwelekeo wa wapiga kura?

    Wakuu === Wasanii wetu mbona wanamaisha magumu alafu wanakuwa mstari wa mbele kuwa kwenye kufanya kampeni au ndiyo umaskini wenyewe. Kampeni zinapaswa kuwa mahali pa hoja, mijadala, maswali na majibu. Lakini burudani inafanya watu wasikie mziki, wasahau matatizo yao, halafu wanapiga kura kwa...
  17. Paspii0

    Jamii inayopendelea kukaa kwenye kelele, hasa za muziki, huwa na ufikiri finyu na dumavu

    Kwenye maisha ya nyakati hizi,makelele hasa ya muziki yamekuwa ni kiashiria cha usasa,na kuonesha shangwe. Watu hawapendi tena unyamavu na kufikiri ,kelele zimekuwa ndio kiburudisho ,Jamii ya namna hii kamwe haiwezi kuwa na mawazo pevu kwa mambo kadhaa ya maisha.Muziki wa kelele unatumika kama...
  18. Mohamed Said

    Maktaba na Vipande Vya Muziki wa Enzi Hizo

    MAKTABA NA VIPANDE VYA MUZIKI WA ENZI HIZO Huwa haipiti muda hungia katika mitaa ya Maktaba kujikumbusha hiki na kile. Leo nimekutana na mswada wa kitabu nilichoandika na Ally Sykes kuhusu maisha yake: ''Under the Shadow of British Colonialism The Life of Ally Sykes.'' (Hiki kitabu bado...
  19. R

    TANZIA Nyota wa Muziki Connie Francis aliyeimba "Pretty little baby" amefariki dunia

    Connie Francis, nyota wa muziki wa pop aliyejizolea umaarufu miaka ya 1950 na 1960 kwa nyimbo kama “Pretty Little Baby”, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 Taarifa za kifo chake zimetolewa na rafiki yake pamoja na msemaji wake, Ron Roberts, ingawa hakutoa maelezo zaidi mara moja Francis...
Back
Top Bottom