Wanajamvi wapenzi wa Country music Alan Jackson ni Hatari

Jon Stephano

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
5,366
2,000
Mzuka,

Bado najiuliza huyu mwamba wa Country Alan Jackson alinipitaje nisimjue vizuri na kupenda nyimbo zake muda mrefu huo wote?

Huyu mwamba ni hatarii Aisee. Ana nyimbo kali sana za country kuna hivi vibao kanipigia nilianza kuvifuatilia wakati wa lockdown sasa hivi yani usipime.

- One you're waiting on
- Remember when
-Tonight I climbed the wall
- Angel and Alcohol
- I'll try
- when you look at me
- If you want to make me happy
- House with no curtains
- The Older I get
kpj9fc-10alanjacksonlg.jpg

Yani ni sheeda.

Pia mwamba aliyetangulia Don Williams kuna kibao chake kikali sana kilinipita bila kukifaham Aisee nimekifaham juzi WHEN THE ARKANSAS RIVER LEAVES OKLAHOMA Don naye ni sheeda.

Consigliere
 
grand gazelle

Senior Member
Jun 25, 2017
120
250
The older I get, ni habari nyingine aise. Mimi pia huyu mwamba nimeanza kumsikiliza juzi juzi tu najuta kwanini nimechelewa kumjua huyu mtu. Kama una ma song yake fanya kushare na Mimi whatsapp basi. Kama unayo naomba uniambie nikutumie namba PM
 
Bavarian8

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
425
1,000
Kenny Rogers
Coward of the county
Island on the stream
Gambler
Lady
Lucille
......

Piasikilize

Don Williams
Desperate
Jamaica farewell
Early in the morning
Gibsy women
We should be together
N.k
 
Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
19,948
2,000
Mtafute mwamba huyu George Strait hotojutia. kama ni mpenzi wa country music.
20201023_193726.jpg
20201023_193709.jpg
20201023_193652.jpg
 
All TRUTH

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
4,630
2,000
Mzuka,

Bado najiuliza huyu mwamba wa Country Alan Jackson alinipitaje nisimjue vizuri na kupenda nyimbo zake muda mrefu huo wote?

Huyu mwamba ni hatarii Aisee. Ana nyimbo kali sana za country kuna hivi vibao kanipigia nilianza kuvifuatilia wakati wa lockdown sasa hivi yani usipime.

  • One you're waiting on
  • Remember when
-Tonight I climbed the wall
  • Angel and Alcohol
  • I'll try
  • when you look at me
  • If you want to make me happy
  • House with no curtains
  • The Older I get View attachment 1598201

Yani ni sheeda.

Pia mwamba aliyetangulia Don Williams kuna kibao chake kikali sana kilinipita bila kukifaham Aisee nimekifaham juzi WHEN THE ARKANSAS RIVER LEAVES OKLAHOMA Don naye ni sheeda.

Consigliere
Don william
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom