museveni

Yoweri Kaguta Museveni (pronunciation ; born 15 September 1944) is a Ugandan politician who has been President of Uganda since 1986. Museveni was involved in rebellions that toppled notorious Ugandan leaders Idi Amin (1971–79) and Milton Obote (1980–85) before capturing power in the 80s. In the mid to late 1990s, Museveni was celebrated by the West as part of a new generation of African leaders. During Museveni's presidency, Uganda has experienced relative peace and significant success in battling HIV/AIDS. At the same time, Uganda remains a country suffering from high levels of corruption, unemployment and poverty. Museveni's presidency has been marred by involvement in the civil war in the Democratic Republic of the Congo and other Great Lakes region conflicts; the rebellion in Northern Uganda by the Lord's Resistance Army which caused a humanitarian emergency; and the suppression of political opposition and constitutional amendments scrapping presidential term limits (2005) and the presidential age limit (2017), thus enabling the extension of his rule.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Samia: Tanzania tunamuunga mkono Museveni kuimarisha usalama Maziwa Makuu

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania iko tayari kumuunga mkono Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, katika juhudi za kuimarisha amani na usalama katika ukanda wa nchi za Maziwa Makuu, kufuatia nafasi yake kama mwenyekiti wa jumuiya hiyo. Rais Samia amesema hayo leo Jumamosi, Februari 7, 2026...
  2. PAYE

    Rais samia: Nampongeza Museveni kwa ushindi mkubwa wa Uchaguzi

  3. onemediaonline

    Rais Museveni awasili Tanzania kwa ziara ya kikazi

    #onemediaupdates🇹🇿 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2026.
  4. PAYE

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni awasili Ikulu, Dar kwa ziara ya kikazi

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akiwasili viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam na kupokelewa na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu ambapo wanakutana kujadili mambo mbalimbali ya kiuchumi na maendeleo baina ya Tanzania na Uganda. Rais Museveni yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku...
  5. Roving Journalist

    Rai wa Uganda, Yoweri Museveni kuwasili Tanzania kesho Februari 7, 2026 kufanya ziara ya siku moja

  6. Dalton elijah

    Raisi Museveni :Hakuna upinzani Uganda

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametilia shaka tena uadilifu wa upinzani nchini humo, akikishutumu chama cha upinzani cha National Unity Party – NUP kwa kuhusika na vitendo vya udanganyifu kwenye uchaguzi. Museveni, ambaye amekuwa madarakani tangu 1986, alidai kwamba Jukwaa la NUP liliongeza...
  7. Da Dona

    First Election Petition Hearing Challenging President Museveni' victory in the just concluded 2026 polls is underway

    The Supreme Court in Kampala has this morning begun hearing Presidential Election Petition No. 1 of 2026, filed by Robert Kasibante, challenging the election of President-elect Yoweri Kaguta Museveni. The session is being presided over by Chief Justice Dr. Flavian Zeija alongside eight Supreme...
  8. DuaZaMama

    Wanajeshi Uganda waamriwa kumkamata Bobi Wine akiwa hai au amekufa

    Mkuu wa Jeshi la Uganda ametangaza kuwa amri mpya imetolewa kwa Wanajeshi wa nchi hiyo, kumkamata Bobi Wine, Mwanasiasa wa upinzani akiwa hai au amekufa. Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kupitia kwenye Mtandao wa kijamii wa X, alisema kwamba walikuwa wameacha kumtafuta Robert Kyagulanyi maarufu...
  9. Q

    Uganda waandamana Marekani kumtaka Trump amwekee Museveni vikwazo.

    📌 Happening Today California, United States Calling on the @realDonaldTrump 's Administration to hold the corrupt and brutal Ugandan dictatorship of @KagutaMuseveni to account through: 1). Targeted sanctions 2). Suspension of funding 3). Suspension of security assistance, defense...
  10. ELI COHEN

    Mtoto wa Museveni, Jenerali wa Majeshi anasema ukimgusa mwanamke asiye na makalio makubwa unaenda moja kwa moja kuzimu, hakuna cha kukusaidia

    Ila huyu jamaa🤣🤣, nasikia ndio rais mtarajiwa wa UG
  11. M

    Museveni wa Uganda kaigeuza nchi kuwa mali ya Familia, Ndugu na Watoto, soma orodha ya vyeo walivyonavyo

    📌 Janet Museveni - Minister of Education ( wife ) 📌 Muhoozi - Chief of Uganda's Defence Forces ( Son ) anaandaliwa kurithi madaraka. 📌 Khadizer - Chief General Army Commander ( Son ) 📌 Salim Saleh - Presidential Adviser and Former Minister (His brother) 📌 Bright Rwamirama - Minister For...
  12. R

    Museveni: Wana bahati wafuasi wetu hawakupiga kura wote, vinginevyo kusingekuwepo na Upinzania Uganda

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amejitetea juu ya ushindi wake katika uchaguzi wa urais, akisema kuwa ushindi wa asilimia 72 si ule aliyotarajia. Amefafanua kwamba chama chake kina wanachama zaidi ya milioni 21, kati ya hao milioni 18 wakiwa wapiga kura waliyojisajili, na kama wote wangepiga...
  13. Just Pray

    President Samia Sends Congratulations to President-Elect Museveni

    President Samia Suluhu Hassan has congratulated President-elect Yoweri Museveni on his re-election as President of the Republic of Uganda. In a message posted on X, President Samia said the victory reflects the confidence and trust Ugandans have in his leadership and vision. She reaffirmed...
  14. The Father of All

    Japo 'kashinda' kuna siku Museveni atashindwa urais

    Kwa afya na umri wake, hata afanyeje, kuna siku ataitwa rais wa zamani au aliyekuwa rais wa Uganda YAK. Jitu binafsi, choyo, king'ang'anizi, na hovyo sina mfano. Kwanini mijitu mingine haina utu na inapenda madaraka kuliko utu? Hata likifia madarakani, so what? May Museveni perish!
  15. Allen Kilewella

    Kumbe CCM waoga kuliko Museveni?

    Pamoja na mauzauza yote yanayofanywa na Yoweri Museveni kwenye uchaguzi unaoendelea huko Uganda, angalau kuna mambo anayafanya kiungwana. Nimefuatalia vituo kadhaa vya kupigia na kuhesabu kura, nimependa staili yao ya kuhesabu kura hadharani mbele ya wapiga kura kadhaa. Mambo ya kuhesabu kura...
  16. W

    Bobi Wine: Nitaitisha Maandamano Museveni akiiba kura

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, ametangaza kuwa ataitisha maandamano ya nchi nzima ikiwa Rais Yoweri Museveni ataiba kura katika uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Alhamisi ya wiki hii. Akizungumza na shirika la habari la AFP nyumbani kwake jijini...
  17. and 998 others

    Museveni anajua pa kummalizia Bobi Wine

    Museveni anacheza smart kwa kumuachia mpinzani wa mchongo (sio Besigye) apige kampeni ila kwenye kutangaza mshindi atatajwa Yoweri Museveni kwa 62.9% tofauti na Malawi ambao mpaka damu imwagike Kwanza halafu uunde Tume baadae maridhiano (Feki). NB: Game Ile Ile ila inachezwa kwa level 2 tofauti.
  18. Just Pray

    Museveni calls for Africa to unite militarily, saying the continent has an advantage in ground warfare

    Ugandan President Yoweri Museveni has called on African nations to unite militarily and strategically to safeguard the continent’s security, arguing that while major powers such as the United States possess overwhelming superiority in air and naval forces, Africa could hold a significant...
  19. H

    Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama wa Mkataba wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na eneo la...
  20. Mkalukungone Mwamba

    Museveni kwa wanaopanga kuandamana: "Tuna risasi za kutosha

    Kauli ya Rais wa Uganda Yoweri Museveni kuhusu kuwapa askari risasi 120 kabla ya uchaguzi mkuu imezua hofu na ukosoaji mkubwa. Upinzani na wananchi waonya vitisho hivyo vinaweza kudhoofisha amani, demokrasia na haki. Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amekosolewa vikali kufuatia kauli yake kuhusu...
Back
Top Bottom