Yoweri Kaguta Museveni (pronunciation ; born 15 September 1944) is a Ugandan politician who has been President of Uganda since 1986. Museveni was involved in rebellions that toppled notorious Ugandan leaders Idi Amin (1971–79) and Milton Obote (1980–85) before capturing power in the 80s. In the mid to late 1990s, Museveni was celebrated by the West as part of a new generation of African leaders. During Museveni's presidency, Uganda has experienced relative peace and significant success in battling HIV/AIDS. At the same time, Uganda remains a country suffering from high levels of corruption, unemployment and poverty. Museveni's presidency has been marred by involvement in the civil war in the Democratic Republic of the Congo and other Great Lakes region conflicts; the rebellion in Northern Uganda by the Lord's Resistance Army which caused a humanitarian emergency; and the suppression of political opposition and constitutional amendments scrapping presidential term limits (2005) and the presidential age limit (2017), thus enabling the extension of his rule.
Wakati Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akiomba msamaha Waganda kwa makossa yaliyofanywa wakati wa utawala wao wa miaka 40, Rais wa chama cha NUP, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amekataa msamaha huo, akisema bado wananchi wanaendelea kuteseka katika nchi yao.
Museveni na mkewe Janeth...
Huyu mzee atakuwa ameona siku zake za kuishi sio nyingi sana duniani. Atakuwa amejua atakapoondoka watakaobaki watakuwa kwenye hali mbaya sana. Jana kwenye ibada maalum yeye na mke wake wamesoma speech maalum ya kuwaomba radhi Waganda kwa madhira waliyowafanyia na Chama chao.
Rai yangu kwa CCM...
Waganda huwaambii kitu kuhusu Mzee Yoweri Kaguta Museveni.
Na mzee baada ya kuina hilo anataka apewe mitano tena hapo mwakani 2026 kwenye Uchaguzi Mkuu.
Mzee atakuwa na miaka 81 na hali ya afya yake inazido kudorora, huku mrithi wake akionekana ni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye Waganda...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha ujumbe Malumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Gen. Yoweri Kaguta Museveni Entebbe, Uganda. Tarehe 13 Mei...
https://x.com/HEBobiwine/status/1920087242871112128
Edward Mutwe, ambaye ni mlinzi mkuu wa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, alitekwa na mtoto wa Musebeni ( Muhoozi ) tarehe 27 Aprili 2025.
Leo hii kafikishwa mahakamani akiwa kwenye hali mbaya sana anabebwa.
Haya...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema Jumanne kuwa amefanya kikao "chenye mafanikio" na wawakilishi wa kampuni ya intaneti ya satelaiti ya Elon Musk, Starlink, ambayo inapanua huduma zake barani Afrika na sasa inalenga kuanzisha uwepo rasmi nchini Uganda.
Kupitia ujumbe alioutuma kwenye...
Tofauti ya Lisu na CHADEMA yake na Mpinzani mkuu wa Museveni, Bob Wine na chama chake
Bob wine alipohojiwa na BBC swahili kuwa uchaguzi mkuu Uganda unafanyika mwakani je atagombea pamoja na kuwa mara nyingi akigombea amekuwa akishindwa
Akajibu akasema yeye watu wanaompenda na wako tayari...
KWA KIGANDA - KWA UFUPI
Abamu ku Babaka ba Uganda okuva mu NRM, ab’ebyobufuzi abatalina kyebegattako wamu n’ab’ennyingiza yaabwe bagambibwa nti baweebwa obukadde 100 za Uganda buli omu okuva eri Pulezidenti Museveni nga ssente za mukwano n’okwebaza, era nga n’omubeezi ku bibuzo by’ensimbi...
Biblia inapotukumbusha tuishi na wanawake kwa akili, siyo bahati mbaya, humaanisha.
Wanawake ni viumbe hatari mno hapa Duniani!
Chanzo cha ugomvi wa wawili hao ni mke wa Kiza dada Winnie ambaye awali alikuwa mpenzi wa Museveni wa ujanani. Museveni, kwa hiari yake mwenyewe, aliamua kuachana na...
Museveni rais wa Uganda alikuwa mtoto wa kuasiliwa(adopted) katika familia ya Byanyima wakiishi pamoja na Winnie Byanyima mke wa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye aliyetiwa kizuizini na serikali ya Museveni kwa sasa. Amesomeshwa na kukuzwa na hiyo familia mpaka alipoweza kujitegemea.
Maisha...
MKATABA WA KUMWEKA FELIX TCHISEKEDI MADARAKANI
Mnamo Tarehe 22/11/2018, siku ya Alhamisi katika eneo la Upper Hill kwenye ofisi ya Mzee RAILA AMORO ODINGA kulifanyika mkutano, Ajenda kuu ya mkutano huo ilikuwa ni jinsi ya kuchukua madaraka ya Congo baada ya JOSEPH kumaliza muda wake;na pia...
Mkuu wa Majeshi nchini Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, amesema mtu pekee anayemzuia kumshughulikia Mwanasiasa mashuhuri wa Uganda ambaye pia ni Rais wa NUP, Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) ni Baba yake Rais Museveni ambapo...
Nyerere Alikaa madarakani zaidi ya miaka 20, hakuna ishu ya maana aliofanya kwenye kuikomboa nchi na umasikini zaidi ya kupandikiza uoga kwa raia….hakupaswa kuitwa baba wa taifa. The worst president in our history.
Museveni yupo madarakani tangu sijazaliwa… over 38 years ! Uganda ni nchi...
29 November 2024
Makao makuu ya EAC
Arusha, Tanzania
Rais Yoweri Kaguta Museveni asema mbali ya kuadhimisha miaka 25 ya kufufuliwa EAC hapo mwaka 1999
https://m.youtube.com/watch?v=V3Uim1f150s
Tunapoadhimisha miaka 25 ya EAC iliyofufuliwa, nilipendekeza katika hotuba yangu leo kwamba pia...
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda, Kizza Besigye (68), anadaiwa kukamatwa na kuwa chini ya ulinzi wa kijeshi akiwa nchini Kenya.
Mke wa Besigye, Winnie Byanyima, ambaye pia ni mtetezi wa haki za binadamu, alieleza kuwa mumewe alikamatwa mjini...
Wakuu habari zenu.
Its no longer news kuwa siku ya jana kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine alipigwa risasi ya mguu na vikosi vya usalama vya Uganda.
Soma pia: Boby Wine apigwa risasi ya mguu katika vuta n'kuvute na polisi
We also know kwamba kwa miaka ya hivi karibuni, mahusiano ya...
Ukistaajab ya Musa utayaona ya firauni.
Ndio!! Rais wa Uganda Yoweri Museveni kupitia ukurasa wake wa twitter, amekemea shambulio la risasi alilofanyiwa Donald Trump na kumpa pole.
Rais Museveni amedai vurugu za kisiasa zinaweza kusababisha demokrasia isichukue nafasi yake🤣
Yapi maoni yako...
Tulipokua msituni, tulisema tunapambana kwenda kulinda kila kitu cha nchi yetu,
Maneno ya Rais museven akiongea na vijana wa NRM, katika karamu ya jioni iliyoandaliwa ikulu,
Utajiri wa waganda ni rasilimali na ndio maana nimeweka sheria kali kwenye copper, dhahabu hakuna kuja kujichotea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.