mungu

  1. JamiiForums Tanzania Mungu anampa kila mtu kwa namna yake

    MUNGU ANAMPA KILA MTU KWA NAMNA YAKE. Mungu wetu ni mwaminifu sana na anampa kila mtu kwa namna yake na si kwa jinsi tunavyotaka sisi binadamu. Mungu umpa kila mtu kulingana na hekima yake, wakati wake, na mpango wake maalum kwa maisha ya kila mmoja wetu. Kama ilivyoelezwa katika Biblia 1...
  2. JamiiForums Tanzania Atheist anayeamini uwepo wa Mungu

    Yule Dogo ambaye Baba yake aliwai kuwa Mkuu wa 3 kwenye Taifa la Mcharo aliwai jisahau kuwa huwa anajitambulisha kama Atheist, akajikuta kaandika kitu kama hiki. Baada kuwa confronted na Umma wa JF, kumtuliza ilikuwa ni kipengere
  3. JamiiForums Tanzania Mliokosea kuoa na kuolewa njoeni mjifariji hapa. Mungu atawakumbuka

  4. JamiiForums Tanzania Je unajua binadamu ana level ya ufahamu au dimension kuusu Mungu, upo level gani ? soma hapa

    Dimension nini, ni uwezo au ufahamu wa binadamu kuusu Mungu.Binadamu tuna level fulani ya ufahamu kuusu Mungu.Ufahamu wa juu wa binadamu mara nyingi unatokea pale mtu anapopitia greater loss(Kupoteza au Changamoto ngumu za kimaisha) Dimension hizo ni -3D -4D -5D 3D(dimension) Hii ni level...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini naamini Mbingu ipo , Mungu na Pia Shetani

    Hapo kale, Jamii nyingi walipenda mno Pombe, mpaka ikafikia mahali vitabu vya dini vikatamka wazi ahadi ya uwepo wa mito ya mvinyo huko Mbunguni. Yesu pia aliwahi tengeneza divai katika harusi huko kana ya galilaya. Kizazi cha sasa watu wanapenda mno kudinyana. Ahadi inayotrend ni ya mabikra...
  6. JamiiForums Tanzania Watu wakuu(greatness) wanakuwa na baraka hizi kutoka kwa Mungu

    Mambo ambayo Mungu akitaka kukuinua na kuwa mtu mkubwa(born for greatness) anakubariki 1.Mungu anakupa heshima ambayo watu watakupenda na kukuamini 2.Upako(power), Mungu atapokuinua atakupa uwezo wa kutenda miujiza au kubadilisha tabia za watu na kuwa bora 3.ushawishi(influence), Mungu...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kujiuliza Mwenyezi Mungu ametokea wapi?

    Hivi ulishakaa na kujiuliza Mwenyezi Mungu ametokea wapi? Na ilikuwaje kuwaje akawaza kuumba . Je maisha ya upweke aliishi kwa muda gani kabla hajaumba malaika ,wanadamu na majini na viumbe wengine. Hiyo infinity past unaichukuliaje? Nini kitatokea hao aliowaamini nao wakakengeuka? Hapa...
  8. JamiiForums Tanzania Ukiona unapitia dalili hizi katika maisha, jua kuwa Mungu anakupeleka next level ya maisha yako

    Next level nini, ni kiwango ambacho Mungu anakuinua kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyengine yenye ukubwa na mamlaka. Je ni watu gani Mungu uwainua kuwapeleka next level ya maisha? Wanaitwa choosen one au black sheep wa family, Mungu uwainua watu hao hili kuvunja generation curse au...
  9. JamiiForums Tanzania Huu ndio wakati muafaka wa MUNGU kuonyesha uwepo na uwezo wake kwa watu wake. Lakini Hayupo kusaidia lolote, Watu wanauwawa tu. Hasa watoto wadogo

    Kuna shule moja huko Iran ilipigwa na kombora na kusababisha vifo vya mamia ya wanafunzi. Watoto wadogo wasio na hatia yeyote wanauwawa kinyama na kikatili kabisa. Halafu hapohapo unaambiwa kuna Mungu mwenye upendo na huruma. Huyo Mungu mwenye upendo na huruma miaka nenda rudi, anaaminiwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Shuhudia Mungu

    Ulishawahi kukutana na jaribu gani mpaka ukaamini kuwa kweli MUNGU yupo!🙏📌
  11. JamiiForums Tanzania Wayahudi Hawakuogopa Kumuua Yesu Kristo Mtoto wa Mungu Wataogopa Kumuua Khamenei?

    https://youtu.be/II2yPs0OKOs?si=-69y8t4mAwPS6JVN
  12. JamiiForums Tanzania Maombi naalum kwa viongozi wafanyakazi wa JF na members Mungu akafanye kuwa mbaraka kwenye nchi yetu mkawe juu mkabarikiwe mpaka

    Prayer for YOU! Father God, Tonight I lift up my Jf family to You. Every mother, every father, every business owner, every leader, every person carrying silent battles that nobody else sees. Lord, Your Word says You give sweet sleep. So I declare sweet sleep over their homes tonight. For the...
  13. JamiiForums Tanzania 7 mistakes to avoid when God starts blessing you

    7 MISTAKES TO AVOID WHEN GOD STARTS BLESSING YOU 👇👇👇👇👇👇👇 When God begins to bless a person, the real test is not poverty anymore… the real test becomes how you handle abundance. Many people prayed for elevation, but few are prepared for what comes after it. Because blessings can open doors —...
  14. JamiiForums Tanzania Pengo na Nkwera wote wamekufa. Mungu atatoa jibu ni nani alikuwa sawa kwenye mgogoro wa 1992-95

    Mgogoro dhidi ya Fr Nkwera ulianza mara tu Pengo alipokuwa Askofu Mkuu (1992) 1.Matatizo yalianza baada ya Polycarp Pengo kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Dar es Salaam. Alimuita “padre mtoro” na kuanza mchakato wa kumdhibiti. Fr. Nkwera alitajwa kama padre asiye chini ya jimbo rasmi, jambo...
  15. JamiiForums Tanzania Mungu ndiye aliyetulazimisha waafrika tuachane na majina yetu ya Asili?

    Hivi mtu hawezi kuwa Muislamu safi bila ya kuitwa Hassan, Abdallah au Amour? Hivi kuwa Mkristo kuna uhusiano gani na mtu kuitwa John, Julius au stephano? Au Mungu wa wakristo na waislamu hapendi majina ya kiafrika hivyo akalazimisha kuwa ni lazima tutumie majina ya mataifa mengine? Siku hizi...
  16. JamiiForums Tanzania Mungu wangu ana nguvu sana, muulizeni Jiwe, mkinipa sababu za maana kwanini hamumtaki Samuya nitamsihi Mungu aamue kama alivyofanya kwa Jiwe.

    Sababu nambari 1 kwanini nimeamua kuwa upande wa Samia hata kama ana ubaya ni Watanzania kumwabudu Jiwe. Jiwe mtu mwovu sana . Yote kwa yote katika kipindi cha utawala wake wananchi waliishi maisha magumu mno ila wananchi wenyewe wapo kama kuku, dk mbili mbele wameshasahau.. Sababu ya pili...
  17. JamiiForums Tanzania Thibitisha kwamba HAKUNA MUNGU

    Nawaandikia Infropreneur na Kiranga makuhani wakuu wa Atheists wa JF, salaam. Kwenye mada hii nataka mtuthibitishie kuwa hakuna Mungu. Kwenye kuthibitisha kwenu, msiishie tu kusema hayupo kwa kuwa hayupo, tupeni hoja zenye mantiki ni kwa nini hayupo. Na msikwepe hoja kwa kusema hayupo kwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Je Mungu anaweza kuwa Mungu; Je mtu anaweza kuwa Mungu?

    A: JIBU LA KILOGIC (MANTIKI) Je, Mungu anaweza kuwa mtu? Ndiyo au Hapana hutegemea ufafanuzi wa “Mungu”. Ikiwa Mungu ni: 1. Asiyekuwa na mwanzo wala mwisho 2. Asiyepungukiwa na chochote 3. Asiyefungwa na muda, nafasi, njaa, usingizi, maumivu, au kifo Basi kwa logic safi: Mungu hawezi kuwa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati sitaki kuamini uwepo wa Mungu lakini maswali haya yananichanganya sana

    Kuna wakati nataka kuamini Mungu hayupo lakini kuna maswali ambayo najiulizaga mpaka leo sijawahi kupata majibu yake 1 Sayansi inasema ulimwengu ulianza (Big Bang) Kabla ya hapo hakukuwa na dunia, jua wala muda kama tunavyoujua. Swali ni hili kama ulimwengu ulianza, nani au nini kilianzisha...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Mungu yupo au hayupo?

    Njoo hapa unithibitishie kuwa mungu hayupo kwa hoja zako nami nitazijibu kishupavu. Ila kwanza pitia haya maelezo machacge hapa chini. Soma ikiwa tu una uelewa kidogo kuhusu quantum physics, ikiwa Huna uelewa basi pita huu uzi uache, kasome kwanza quantum physics, kisha rudi siku nyingine, maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…