Wakuu,
Si hata Mungu mwenyewe anaona vile wanatusogezea sabufa na wali wa hitima!
Yaani yeye na genge lake wakiendelea kuanguka mmoja baada ya mwingine mabosi huo msiwe na hiyana, Boss usitubanie siku hiyo, tujipatie siku zetu mbili za kusherekea kwa kichwa😌😌
Siku hiyo ntapiga maji hadi...
Warumi 8:31
Basi, tuseme nini juu ya hayo? Mungu akiwapo upande wetu, ni nani aliye juu yetu?
Katika bibilia tunaona kwamba Mungu akiwa upande wako akuna kitu kitakacho kudhuru kwenye maisha yako.
Mungu akiwa upande wako maadui wanaweza tumia njia zote kuweza kukumaliza lakini wakashindwa na...
Katika jina la Mungu wajinga wengi walibatizwa au kusilimishwa.
Walipewa majina ya kigeni.
Walifundishwa lugha za kigeni.
Walifundishwa kuabudia kila upuuzi wa kigeni
Waliacha kufikiri na kuacha dini zifikiri kwa ajili yao.
Walidhalilishwa, kudharauliwa, na kunyonywa.
Walivisha kongwa...
Mafanikio YOYOTE AMBAYO yanakukuta KATIKA muda AMBAO HUWEZI kuyafurahia hayafai kabisa Bora ubaki HIVYo.
Mfano MTU anajifungua mtoto akiwa na umri WA MIAKA 60 na hakuwahi Kupata mtoto KATIKA maisha yake yote.
Ukiwa broke huyo mtoto WA kazi gani labda ukiwa tajiri au umefanikiwa afadhali hapo...
Jamani kuna jambo linahitaji majibu ya wazi.
Mwaka jana TCRA waliifungia JamiiForums kwa takriban siku 90, wakisema ni adhabu. Sawa, adhabu ikaisha. Lakini mpaka leo, ili kuingia kwenye hii platform bado watu wengi wanalazimika kutumia VPN.
Swali langu ni hili: kama adhabu iliisha rasmi...
Mara baada ya kumaliza elimu ya chuo kikuu(shahada) nilirudi nyumbani nikiwa mikono mitupu,
Harakati za kutafuta mia mia mbili zilianza nikapata sehemu ya kufanya KAZI na kuingiza 350k kwa mwezi.
Maisha yalienda, baada ya hapo nikakutana na rafiki yangu ambae kwasasa ni mtumishi wa TANAPA...
Kwa nini Mungu aliwapeleka wana wa Israeli katika nchi ya Kanaani ambayo ililaaniwa?
Hebu turejee maandiko katika kitabu cha Mwanzo 9:
20 “Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;
21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
22 Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake...
Kati ya story za Mungu wa Biblia zenye utata ni ya kuikataa sadaka ya Kaini ya mazao kisha akaikubali sadaka ya wanyama wa Abeli/Habili. Huwa zinasemwa tu nadharia mbalimbali kuhusu sadaka yake kukataliwa lakini bado haziwi bayana kulingana na bibla sababu hasa ilikuwa ni nini.
Kwa wajuzi, ni...
Kuna jamaa namjua ameugua wakampeleka hospitali wakagundua ini na figo zina shida.
Ndugu wamehusisha tu nyumbani. Sio kwamba ni masikini kihivoo amerudishwa akiwa mzima anaongea amekaa tu wiki tatu mwili ukavimba na leo kafariki.😥
Kuleni kunyweni lakini pombe hasa bila kula ni hatari kwakweli.
Tumekuwa tukifundishwa neno la Mungu na watumishi mbalimbali wengine ni wanazuoni na wengine ni wale waliojifunza kutoka kwa wanazuoni lakini wapo pia wale waliozaliwa na uwezo huo.
Ukweli ni kuwa ipo mikabala mkubwa miwili ya kiufundishaji kithiolojia na hapa ndipo tunapoona mambo mengi ambayo...
Kuna dini zina mambo ya ajabu sana aisee yaani kila mwaka tunasikia Mungu wa wakristo Yesu anafufuka huu ni usanii aisee kwahiyo Mungu anayewezakana vp kila mwaka anakufa na kufufuka tu kwahiyo hizi siku zingine wakati amekufa nani ana control ulimwengu?
Mathayo 12:18
Tazama, mtumishi wangu niliyemteua; Mpendwa wangu, moyo wangu uliyependezwa naye; Nitatia roho yangu juu yake, Naye atawatangazia Mataifa hukumu.
Mungu akikuchagua kuhubiri neno lake au kusaidia jamii(nation/world) anakupa roho wa bwana(holy spirit).
kazi ya roho wa bwani nin...
Nyumbani papo ila siwez kukanyaga… Kila nifanyacho home wanaona sijafanya kitu, napambana kadri ya uwezo wangu ila maneno ni mengi sana kule. Mimi kama kunguni yan Nikitatua migogoro ndiyo inaongezeka
Nimeamua kujitenga niwe alone. Na hivi am zodiac Cancer bas naenjoy sana kua alone. Kama sina...
Ninaamini katika Mungu wa chanzo na balance ya uwepo huu duniani na beyond ila siamini katika idea ya Mungu iliotangazwa karne na karne maana imekuwa twisted na mis-interpreted
Idea ya Mungu inayoeleweka sawa sawa na wanadamu inatembea sambamba na mambo ya kufikirika, yasioeleweka na yasio na...
Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu (atheists) kunahitaji hekima, subira, na hoja zenye mashiko ya kimantiki badala ya kunukuu maandiko pekee. Katika mazingira ya Kiislamu, mjadala huu mara nyingi hujikita kwenye kutumia akili (Aql) na mazingira yanayotuzunguka (Fitra).
Hapa kuna...
Kama ulikuwa hujui, basi habari ndio hii: Mtu mwenye ngozi nyeusi kama sisi, ambaye sasa amefika mbali sana katika anga za juu, hajamsahau Mungu aliyemfikisha hapo.
Huyu si mwingine ni Victor Glover, mwanaanga wa NASA, na rubani wa misheni ya Artemis II—safari ya kuzunguka Mwezi.
Huyu anakiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.