mungu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona kinachoendelea uchaguzi Kenya, thinking ya UCHAWA CCM nilitegemea ibadilike, kuondoa mawazo ya utwana na utumwa wa kumuona Rais Mungu

    Tuna mengi sana ya kujifunza Kenya na uchaguzi wao. 1. Uwazi 2. Uhuru wa media zao 3. Incumbent president Uhuru hana kauli yoyote kuhusu uchaguzi 4. Katiba yao inaruhusu haya yanayotokea 5. etc etc etc Summary nzuri ameifanya Askofu Bagonza kama ilivyo hapa chini! UCHAGUZI MKUU KENYA...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Ni sawa umenizaa, lakini umefupisha maisha yangu

    Jioni ya jana nikiwa natoka katika harakati zangu za kila siku niliamua kufaya mazoezi kwa kutembea kwa miguu tokea kazini hadi nyumbani tofauti na nilivyozoea malanyingi huwa napanda usafiri wa umma asubuhi na jioni kwasababu sina chombo binafsi cha usafiri. Nikiwa nakatiza katika mitaa karibu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Je, Mama ni Mungu?

    Habari wadau! Nadhani watu mtashangaa kuona bandiko hilo lakini kumbuka nimeweka alama ya kuuliza kule mwisho tena mara nne ili hata wale wazee wa fasta fasta waelewe hilo ni SWALI NA SI SENTENSI. Aisee kwenye dunia hii kama umezaliwa eneo ambalo mama yako ni mstaarabu basi shukuru ila kama...
  4. JamiiForums Tanzania TFF wanasheria za mkoloni ni mungu watu. Bodi ya Ligi ni kama mzinga wa nyuki. Yanga awamu hii msikubali na kinachoenda kutokea

    TFF na bodi ya ligi wanajificha kwenye kanuni na vijisheria kandamizi. kutisha na kufungia fungia watu hovyo., Hawajui demokrasia na uhuru wa maoni. Siraha Yao ipo kwenye kanuni na fungia fungia. Nenda pale epl, bundersliga, hutaona michezo ya kitoto kama ya viongozi wa bodi sijui kamati ya...
  5. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Mungu wanachanganya

    Watumishi wengi wa Mungu wanapenda kusema wameoteshwa au amekuona kwenye ndoto na ameona nyota yako imechukuliwa. Mimi huwa siamini kitu kama hicho je kunakuwaga na ukweli wowote? Na pia mimi siamini kwenye kuombewa napenda zaidi mtumishi anifundishe jinsi ya kusali kisha aniache niongee na...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hakika Mungu akishakupangia hakuna wa kupangua! Hongera Jakaya Kikwete

    Ni nadra kupita siku bila kutukanwa huyu mzee, kama sio thread basi comments za wadau.....lkn lazima atukanwe! Ni nadra kupita siku bila familia ya huyu mzee kutukanwa. Ni nadra kupita siku bila utawala wake uliopita kudhihakiwa...dhihaka zenye kukera kabisa zingine. Aliyotafanya au kuyaasisi...
  7. JamiiForums Tanzania Ewe Mwenyezi Mungu naomba atakayetangazwa na Simba SC Saa 9 hii awe ni Ceaser Lobi Manzoki na siyo Mzungu Mserbia

    Haya wale Team Manzoki Wenzangu baneni sasa 'P' zenu Ili huyo Mchezaji atakayetangazwa na Simba SC dakika Moja tu kutoka sasa ( yaani Saa 9 Alasiri ) hii awe ni Manzoki. Kila la Kheri.
  8. JamiiForums Tanzania Wazazi wa watoto teenagers Mungu atupe ufunuo wa kulea hawa viumbe

    Malezi ya kizazi hiki ni magumu nyie!!! Nimewaza mimba za utotoni, nikawaza vile wengine wa watoto wetu tumewazaa na maambukizi ya vvu nikachoka kabisa. Utu uzima dawa. Kila hatua ya malezi imekua na changamoto zake mnooo Sijui tunafanyaje😓😓😓😓😓
  9. JamiiForums Tanzania Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

    Ukiwa kama mzazi naomba usome na kuelewa nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike. Nilipokuwa chuonI UDSM, niliishi Mabibo hostel kabla sijapata mwanaume aliyenipangia nyumba. Pale hostel nilijifunza mambo mengi mabaya, machafu na ya hovyo. Nikiwa pale nilijifunza usagaji...
  10. JamiiForums Tanzania Mungu kanionesha mbaya wangu nimebaki nacheka tu

    Habari. Kijana wangu mmoja nimemkuta akinipiga majungu kwa tajiri nimebaki nacheka huku nasikitika Eti anamwambia boss asinipe kazi mimi bali awe anampa yeye eti mimi Nina bei kubwa yeye atamfanyia kwa bei ya chini Kijana wangu huyu nataka nimtimue lakini namuonea huruma
  11. JamiiForums Tanzania Mungu yupo, na anatenda kazi

    Habari marafiki, naomba ku-share nanyi kuhusu huu mkasa wangu namna gani niliteswa na nguvu za giza pasipo Mimi kufahamu. Mwaka 2010 wakati namaliza elimu yangu ya secondari pale Mugabe Sinza madukani nilikuwa napitia wakati mgumu Ila sikuwa najua kwamba kilichonisumbua ni ushirikina. Kwanza...
  12. JamiiForums Tanzania Suguye ni mchawi au ni Mtumishi wa Mungu?

  13. M

    JamiiForums Tanzania Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

    Kwa nini miaka 40+? Kwa sababu kwa umri huo hata ukiupata ukipiga dawa unaweza kutoboa miaka 60 ambao ni life expectancy ya mtanzania. Tumepitia kipindi kigumu sana, nakumbuka nikiwa O level dispensary ya shule sindano zinachemshwa kama Mayai, hakukuwa na disposable syringe, nesi akipitiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Machache yanayonifanya niamini uwepo wa Mungu: Hatari ya kuamini hakuna Mungu

    Dunia imebadilikia, utandawazi unatukutanisha na watu mbalimbali duniani. Fikra mpya, filosofia na elimu inatujuza mitazamo ya watu mbalimbali katika Historia na hata ulimwengu tulio nao. Moja kwa moja niende kuelezea kwanini naamini uwepo wa Mungu kwa kutumia hoja za kisayansi zenye kufikirika...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu mwalimu amemsujudu huyu kijana kuliko anavyomsujudu Mungu wake

    Huyu dogo badae utasikia anapewa Ukuu wa Wilaya au Mkuu wa Mkoa, au Kamanda wa Polisi kisha IGP, unajua hii nchi ina us****** mwingi sana sijui tutakomeshaje haya mambo. Huyu Mwl nina uhakika hata Mungu hamsujudiii hivi kama alivyosujudu hapa INATIA HASIRA SANA
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wakati Hitler na wengine wanaua watu na kutesa Mungu alikuwa wapi? Wema wa Mungu unakuwaga kwenye nini?

    Kuna mambo ya ajabu sana. Ni ama tunadanganywa au hatumjui vizuri huyo anayeitwa Mungu. Kuna wakati niliwahi kusema Shetani na Mungu ni marafjki sana. Kinachotokea sisi ndio tunataka kuwatofautisha na kuwagombanisha tu. Fikiria mtu mwovu kama Hitler na waovu wengine hasa watawala wa Afrika...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Mungu aliwaumba wanawake wawili tofauti

    Kutokana na Biblia, "Mwz: 1:27 ....... Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba". Kwa maana aliwafinyanga. Vilevile "Mwz: 2:21, Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito nae akalala, kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahali pake. 22 na ule ubavu alioutoa kwa Adamu Bwana...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi kunusurika janga lolote au umekwepa kutapeliwa au kuibiwa kwa bahati au uwezo wa Mungu? Toa simulizi yako hapa

    Kuna siku nilipigiwa simu na mwanamke simfahamu na namba ngeni, akaniita jina fulani (Sio langu) nikamwambia umekosea namba, akakata simu. Wiki chache baadaye akapiga tena, mara hii akataja jina langu kabisa, ninapoishi na hata ninapofanyia kazi, akaniomba nikutane naye mahali kwa mazungumzo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kiasi gani kikubwa cha pesa umewahi poteza, au kuokota?

    Fungua huu uzi usome komenti unaweza kumpata aliyeokota pesa yako humu humu Mimi kiasi kikubwa nimewahi okota ni 15,000 na kupoteza ni 10,000
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani ulimpenda Mungu kwa kukiweka kifo?

    Mimi nilimpenda baada ya mtesi wa watu kufa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…