mungu

  1. Mwezi Machi ni mwezi wa haki. Mungu ibariki Machi na watu wake

    Mwezi wa March ni mwezi wa haki kwa taifa la Tanzania. Mwezi March Mungu amekuwa akiwapa kicheko Watanzania wanaoonewa na kukandamizwa na udhalimu wa watawala dhalimu. Mwezi March mwaka jana taifa lilijawa na milango wazi ya haki, usawa, na furaha kwa watu wengi. Waliofungwa kwa kusingiziwa...
  2. Kuhusu Mungu na chanzo cha Ulimwengu, kuna mahali hatuna taarifa kamili/sahihi?

    Mungu wa Israel, Mungu Allah, Mungu wa wabudha, Miungu ya kale pale misri, Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo hai. Ukweli mchungu ni huu,pamoja na ufahamu wetu wote tulionao lakini bado hatufahamu kuhusu Mungu ama chanzo cha ulimwengu...
  3. Philosophy of Religion: Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kwa hoja ya Ufunuo na maandiko matakatifu

    Kuna hoja ya kuthibitisha uwepo wa Mungu, hoja ambayo imeegemea zaidi katika kutumia vitabu vya dini kama uthibitisho Ni hoja ambayo ime base kwenye imani ya kusema Mungu amejidhihirisha uwepo wake kwa binadamu kupitia uumbaji au maandiko matakatifu. Watu wamekua waki experience hayo...
  4. Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

    Kuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu Kuna Historia katika Vitabu kwamba Mungu alimtoa Mwanae Ili aje Kuikomboa Dunia katika Dhambi (ambazo zipo mpaka Leo) Ukiangalia kwa Undani Historia hii ya kuzaliwa kwake inatia Shaka sana kabla ya...
  5. B

    Christmas alikuwa mahabusu, Mwaka Mpya mahabusu, Kwaresma mahabusu; ila haachi kutabasamu na kuonesha Imani thabiti kwa Mungu wake

    Tunapoanza Ibada ya Kwaresma tunapaswa kutambua ibada hii inalenga Toba. Tumesimama kizimbani kumfurahisha Mwanadamu tukamsau Mungu; tumetafsiri vibaya neno lake tukaacha kuwaeleza ukweli wanasiasa tukiamini wao Wana nguvu kuliko Mungu; tulikaa Kimya tukiamini ayatuhusu Hadi tulipobaini kwamba...
  6. Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Kwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua converted into Christian" Hii inaonesha wazi jinsi gani...
  7. Wema Sepetu amrudia Mungu

    Muigizaji wa Tanzania, Wema Sepetu amesema baada ya mapito ya muda mrefu amebadili mfumo wake wa maisha na kwamba anafanya dua na kumtegemea Mungu katika mambo yote. Hii ndiyo kauli yake: “Mimi ni binti wa Kiislamu nafanya sana dua. Watu wanamuona Wema wa mtandaoni lakini binadamu tunakuwa na...
  8. Watanzania Tunashukuru Mungu kwa kutupa Rais Samia, yule Baba angetutoa roho

    Salaam Wakuu, Pamoja na mapungufu ya mambo ya vyama vya Siasa na Malalamiko ya Demokrasia, safari hii nafuu kuliko wakati ulopita. Rais Samia anaiongoza Tanzania. Na hatoki kwani bado anautamani Urais na ziara za hapa na pale. Watu wanaojipanga kumtoa kwenye kiti chake kwa karatasi...
  9. T

    Ni ngumu kuamini haya yanatokea, why kill innocent people? Mungu awe pamoja na wote wanaoadhirika na vita hii

    Kwa kweli sijawahi kuwa mshabiki wa vita vyovyote vile kwa sababu siku zote anayeadhirika katika vita ni binadam wa chini kabisa Watawala kazi yao ni kutoa matamko tu, vitani huwezi kuwaona. Mungu awe pamoja na wote Ukraine/Russia na wengine watakaoadhirika na vita hii. Vyombo vinavyosukia pia...
  10. Mungu ni mmoja na Muumba wa viumbe vyote

    VIP
  11. Rais Samia akataa kutukuzwa, asema yeye hawezi kujilinganisha na Mungu

    Kauli inayoonyesha kuwa rais wa JMT hana makuu na hawezi kuwa kiongozi wa kupenda makuu na kujiinua kama Mungu. Rais Samia akataa tabia ya kutukuzwa. === Picha: Rais Samia Hassan Suluhu Rais Samia Suluhu Hassan amesema hana tabia ya kutukuzwa wala kulinganishwa na Mungu na kwamba atajitahidi...
  12. Askofu Niwemugizi amuomba Rais Samia asikubali kufananishwa na Mungu

    Ameyasema hayo leo katika Jubilee inayofanyika Mkoani Kagera, ambayo pia imehudhuriwa na Mh Rais === skofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutokubali kulinganishwa na Mungu kwa namna yoyote ile. Amesema hayo leo Jumanne Februari 22...
  13. Hata tukitoa kodi na tozo zote kwenye Petroli na Dieseli bei ya mafuta kwenye Soko la Dunia ni pasua kichwa

    Kwa nini bei ya mafuta ni muhimu kwa uchumi wa dunia? Mtaalamu anaeleza Mahitaji ya mafuta yalipungua mnamo 2020 wakati wa janga la Covid-19 (lockdown) kulisababisha bei kushuka chini ya sifuri mara ya kwanza katika historia kutokana na kuzorota kwa shughuli za kiuchumi. Bei ya mafuta tangu...
  14. Hii ndio Sababu ya Mungu Kutoonekana

    Mwenye Enzi Mungu haonekani kwa Sababu yeye hayupo pamoja na Viumbe wake. Yeye yupo alipo na Viumbe wake wapo walipo hana Upendeleo na Kiumbe Yeyote yule bali ana Enzi na Viumbe wake Yeye hausiani na Viumbe wake na Wala hakai na Viumbe wake aliwaumba na Kuwaweka Katika Sayari zake na Kila...
  15. B

    Mwenyekiti yupo Mahabusu, Makamu Mwenyekiti anaugulia risasi 16, viongozi wakaunga juhudi mkono lakini bado chama kipo imara. MUNGU ana makusudi

    Chama cha CUF kimekufa bila mwenyekiti wala kiongozi wao kunyanyaswa waziwazi, walishughulika na matumbo ya viongoz chama kikafa. NCCR ilisambaratishwa bila viongozi kupitia magumu ya Chadema. ACT inajijenga kwa kujimomonyoa kwasababu Toka mwanzo ilianzishwa kupambana na Chama alichotoka...
  16. K

    Kumsujudia Jaji au Hakimu Mahakamani ni kumchukiza Mwenyenzi MUNGU; hakuna sheria inayolazimisha kusujudu

    Mahakamani pamekuwa kama kwenye nyumba za Ibada; watu wakifika mahakamani lazima wasujudu Sijui huu utamaduni wa kimiungu ulitokana na Nani. Mahakimu na Majaji siyo watu wa kuabudiwa ni Watumishi wa Umma. Mahakama siyo nyumba ya ibada NDIYO maana kila mtu uapa Kwa Imani yake. Mfano kwa Wakristo...
  17. M

    Uganga na uchawi uliotumika miaka ya nyuma kudhibidi dhuluma na uonevu umeondoka tuombe Mungu urudi ili tudhibiti uonevu.

    Miaka ya nyuma huko Zamani za miaka ya kupata uhuru mpaka miaka tisini ukiua mtu hana hatia ilikuwa lazima uwe chizi au ufe kifo kibaya sana. Polisi alikuwa akibambikia mtu kesi lazima afukuzwe kazi au kupata ajali. Ilikuwa ukidhulumu mali ya mtu lazima ufirisike na kuwa masikini. Leo hii...
  18. Mbowe ukituongopea sisi wanadamu Mungu anayajua matendo yako unayoyapata kwa sasa ni Karma ya kuwadanganya watu kwa muda mrefu toka hadharani utubu ut

    Freeman Alkael Mbowe wewe ni binadamu na binadamu tumeumbwa kukosea ukweli ndio utakutesa kuliko uongo Moyo wako unajua Nia yako uliyodhamiria kuitendea hii nchi Kuna mengi mazuri umeyafanya yakaonekana kwa macho lkn Kuna mengi mabaya zaidi umeyafanya nyuma ya pazia na hili la kutenda ugaidi...
  19. Stori ya binti: Usikate tamaa kwani Mungu hakati tamaa katika kukutetea

    Binti mmoja alikuwa akiendesha gari akiwa na baba yake. Wakiwa njiani ghafla mvua kubwa ikaanza kunyesha na kuleta tufani, yule binti akamuuliza baba yake, "Nifanyeje?" Baba yake akamwambia "endelea kuendesha" Magari yakaanza kusimama na kuegesha pembeni kwa kuhofia tufani ambayo ilikuwa kubwa...
  20. Huyu ni Mungu wa aina gani anaacha niteseke kiasi hiki?

    Wakuu Najitahidi sana kufanya kazi kwa bidii kwa miaka kadhaa hapo nyuma mpaka leo mwaka wa tano huu bila kutetereka. Kama ni kuumia nimeumia sana. Kuna muda nafikia stage najiuliza ya kwamba hivi kama yupo MUNGU wetu tunayemuabudu, kumuimba na kumsifu kila uchao, je anaweza niacha naendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…