mungu

  1. Mambo 10 ya binadamu wasio na imani kumuhusu Mungu

    1. MAFANIKIO Hapa mtu anaeza sema amelogwa au ameibiwa nyota. Kama ni kazi anapata lakini haidumu na kama itadumu basi atachukiwa kazini na viongozi basi atapendwa na wafanyakazi wenzake. Watampenda kwa sababu ataonekana mjuaji na kweli watu wasio na imani mungu huwapa kipawa cha kua na akili...
  2. Kuna mambo watu hawayaelewi kuhusu Mungu

    Kwema Wakuu! Mods naomba Uzi huu msiupeleke jukwaa la dini, huu ni mjadala mfupi kuhusu MUNGU. Kwanza kabisa neno "Mungu" ni Cheo na wala sio personal Name Kama wengi wadhaniavyo. Ni Kama vile useme, Rais, Mama, Baba, Mfalme N.k. hivyo watu wanapotaja Mungu wasidhani wamemtaja mhusika Fulani...
  3. P

    Mama SSH yuko madarakani kwa mpango wa Mungu kama ilivyokuwa kwa Ester wa Biblia.

    Wapendwa nawasalimu kwa jina la Jamhuri, kazi iendelee Binafsi nimekuwa nawaza sana kuhusu utawala wa huyu Mama yetu SSH namna anavyopiga makasia kuirudisha Tz ktk utawala wa kisheria, haki na usawa tofauti na mtangulizi wake. Wote tunatambua kuwa mtangulizi wake (mwendazake) alikuwa...
  4. Kiufupi vijana tufanye kazi na tumuombe Mungu hakuna Mwanasiasa was kubadilisha Maisha yetu ni Juhudi zetu na Mungu tu.

    Kiufupi nimejionea Mengi Sana hapa Tz kuhusu siasa zetu . Ni takribani mwongo Mmoja tangu Kupata ufahamu wa siasa . Wanaofadika Ni wao tu kila mwaka Hivyo kuwasikiliza Ccm na Vyama vingine nikupoteza Muda wetu they work on their families benefits na sio sisi ambao hatuna connections...
  5. Naomba tushiriki kuwatakia heri Makomandoo wetu Adamoo na wenzake Mungu awape afya njema na nuru uraiani

    Jamani sina mengi nimewiwa kushiriki kuwatakia heri hawa makomandoo walimu na wazalendo, wawe na heri ya afya na nuru njema ya Maisha uraiani. Karibuni Sana Mungu awabariki note.
  6. Ukiacha jina la Mungu, ni jina gani linaongoza kutajwa sana humu JF?

    Habari wakuu Nimeijua JF mwaka 2008, nikawa nasoma kimya kimya. Mwaka 2014 nikaona nijiunge rasmi . Na kwa kuwa binafsi ni mpenzi wa kusoma makala na vitabu mnooo,maana nilifundishwa kusoma na kaka zangu kabla sijaanza darasa la kwanza!!! Hivyo nimesoma makala nyingi sana humu na kujifunza...
  7. Maisha ya Mwanadamu na hisia za Mwanadamu Duniani ni mfano wa Mungu (Kiungu)

    Soma kwa Makini uhusiano huu..hadi mwisho. ******************* Yohana 1:1-5 [1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. [3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. NENO Maneno yalitumika Kuumba ulimwengu...
  8. Dunia tambala bovu! Mungu Baba nipe uvumilivu nitimize Ushuhuda

    Happy Sunday My Friends Mada yangu Kipindi hiki ambacho nataka kutimiza Ushuhuda ndo nashangaa Yule Mtoto kutoka Pwani Namba D akinitumia sms ambazo zinanipa huzuni na huku akinipigia sm kila muda. Honestly nampenda Japo na mm nataka kuupiga Mwingi ili Angalau huu mwaka nione Mwanga katika...
  9. Ushuhuda: Ni mambo gani makuu Mungu amekutendea

    Karibuni
  10. Raisi Samia sio mfalme na sio mungu wa kuombwa kufanya kila kitu katika nchi yetu

    ✳️RAISI WA NCHI SAMIA SULUHU HASSAN SIO MFALME NA SIO MUNGU WA KUOMBWA KUFANYA KILA KITU KATIKA NCHI YETU‼️ 🔵Na:Shujaa©️®️Ⓜ️ Ni kawaida katika jamii zetu za kiafrika kusikia wananchi wakikimbilia kwa maraisi wao kueleza shida, kuomba misaada kutoka kwao, kuwaomba wawafanyie maendeleo haya...
  11. L

    Panya road hatari maarufu Mungu Moshi waibuka halmashauri ya Mlimba-Morogoro

    Maisha na mali ya wananchi wa halmashauri ya Mlimba kata ya Mngeta na Mchombe yako hatarini kutokana na kuimbuka kwa kundi hatari la panya road maarufu kwa jina la Mungu moshi yaani bangi ndiyo Mungu wao. Vijana hawa kati ya miaka 15 mpaka 25 wanajihusisha na uporaji kwa kutumia mapanga, visu na...
  12. K

    Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

    Ni halali kuwepo masanamu katika nyumba za ibada,ambayo hayasikii wala hayana msaada wowote ule katika kumuomba Mwenyezi Mungu?
  13. N

    Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

    Kudadadeeeki walahi ayaaaaa ukisikia kulamba asali ni huko zenji aiseeeee ina maana vita vya ukraine effects zake hazifiki zenji? hivi kule wamachinga walitimuliwa? Sitashangaa kusikia hata mfumuko wa bei haujaathiriwa na vita vya ukraine au nchi mbili tofauti hizi?
  14. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mungu akubariki kwa kuwaambia watanzania ukweli

    🤝🤝🤝
  15. Tofauti ya Dini(Imani) ni ushahidi wa uhakika wa uwepo wa Mungu

    Kuna maada mbalimbali zimeanzisha humu kuhusu Ushaidi wa uwepo wa Mungu, Mimi leo natoa ushahidi wa uwepo wa Mungu kwa kujenga hoja kutokana na Tofauti ya dini. Swali la Musingi ni ‘kwa nini kuna dini ama imani tofautitofauti na zingine zinapingana juu ya namna ya njia sahihi ya kumuelekea...
  16. Kabla hatuja wafundisha "Wasiomini Mungu" juu ya uwepo wake, basi inafaa sisi "Tunaoamini Mungu" tumalize tofauti zetu

    Scenario Naomba ni declare interest "Mimi ni mkristo Tena Mlutheri". Hivi lipokuja swala la kuwaaminisha hawa wasio amini Mungu yupo "Kwanini sisi Tunaoamini Mungu yupo TUSIWE NA SAUTI MOJA?" Flash back Nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi tu juu ya wasio amini Mungu yupo wakitoa madini yao. Lakini...
  17. Mama Salma Kikwete, kutaka wake wa viongozi wakuu wapewe pension ni kumkufuru Mungu!

    Kwa kweli nilishtushwa Sana niliposikia mama Salma Kikwete, akilitumia Bunge la Jamhuri ya Tanzania, badala ya kuongelea Shida za watu wa Jimbo lake la Mchinga, anaongelea mambo yake binafsi. Eti anataka yeye kama mke wa Rais mstaafu, naye alipwe pension! Hivi hawa viongozi wa CCM wanatuonaje...
  18. Karejea, mwenyezi Mungu atuepushe na kikombe hicho....

    Wajanja wa kutafuta connection wameanza kumtumia mwamba wa mitikasi huku wakiamini unganiko lao na yeye ndiyo njia sahihi ya kupata chochote kitu kwa kipindi hiki. Mwamba alizimwa lakini sasa kaamka! Mikutano na warsha nyingi zinamhitaji.Mialiko zaidi ya 20+ kwa siku imekuwa ikimngoja na kwalo...
  19. Kiranga anatoa sadaka na anaamini stori za majini lakini haamini uwepo wa Mungu

    Msome hapa chini cc Kiranga
  20. M

    Waimba kwaya wanaokata miuno na kunengua kanisani wanamsifu Mungu kweli?

    Ibada za pasaka zinaendelea; kwaya mbalimbali zinatumbuiza. Nimeenda kwenye kanisa mojawapo kusali naomba nisilitaje jina. Waimbaji wananengua na kucheza mithili ya ngoma za kienyeji na kidunia. Wengine wananengua miuno kabisa. Sasa huku ni kumsifu Mungu kweli?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…