mungu

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Hayati Magufuli angekubali huu ujinga wa kugawa Bandari?

    Kwenye magumu marehemu wanakumbukwa. Hivi pamoja na akili zake Magufuli naamini asingeingia ujinga wa kugawa gateway ya nchi kizembe namna hiyo. Na bado naamini mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kugawa bandari ya nchi kizembe kiasi hicho haiwezekani. Tuanze kugawa bandari ya Zanzibar kwanza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu amemshindwa kabisa shetani? Mbona shetani inasadikika ni kiumbe wake?

    Kumbe inawezakana kabisa Mungu anawaogopa viumbe wake aliowaumba mwenyewe? Tunaambiwa shetani aliumbwa na Mungu Sasa iweje amemshindwa kumuangamiza mpaka watunishiane misuri na mostly shetani huyu anaonekana ana nguvu kumzidi huyu Mungu. Does it come to our ears as true logic kwamba shetani ni...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni chaguo la Mungu na aliandaliwa na Mungu kuongoza Taifa letu

    Ndugu zangu watanzania, Huo ndio ukweli, ndio uhalisia,ndio jibu kwa wale wote wanaojiuliza ujasiri mkubwa alio nao na alio uonyesha Rais samia katika kuongoza Taifa letu pamoja na mafanikio makubwa aliyoyapata ndani ya muda mfupi. Ni dhahiri katika ulimwengu wa kiroho Mwenyezi Mungu alikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Watanzania Mungu wetu ni mmoja, tena mwenye nguvu na wa kweli, ila wenyewe hatujui tu

    Habari za asubuhi wanaJF wenzangu? Ndugu zangu.. binafsi nimekuwa msikilizaji, mfuatiliaji, mtafiti na mchunguzaji wa kila kilichopo au kinachotokea katika nchi yetu. Katika kusikiliza, kufuatilia, kutafiti na kuchunguza huko, nimeweza kugundua kwamba Tanzania tuna Mungu mmoja, mwenye nguvu na...
  5. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Nilishinda njaa siku 3, nikaanza kuokota vyakula barabarani, nikashikwa kwa uzururaji

    Hello habari za asubuhi! Hii story nimewahi kuwasimulia wachache sana. Ni rahisi kumtia moyo mtu kuwa magumu yatapita, Mungu atakusaidia kipindi uko vizuri na umeshiba. Ila ukipitia kipindi kigumu hata ushauri na courage utasikia kama kelele tu unapigiwa. Nilihitilafiana na wazazi pamoja na...
  6. JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu aliufanya Moyo wa PHARAOH kuwa mgumu mvua ya mapigo ikamiminika

    The Bible says, wakati Mungu anataka kuwatoa Wana wa israel Misri,Kwanza aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu..means sio Kwa mapenzi yake farao alifanya ili kuwachelewesha Wana wa Israeli, Bali Mungu mwenyewe aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu ili utukifu na historia visemwe kama ilivyo Leo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Sauti ya wengi sio sauti ya Mungu. Huu msemo ni kuchanganya dini na siasa

    kuna msemo wa kirumi Vox Populi Vox dei ( Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu). Huu msemo ni sahihi kisiasa sio kidini au kiimani. Wanasiasa walitumia huu msemo kujihalalishia mambo yao hata kinyume cha Mungu na wengine ilikula kwao. Sasa ni aibu kwa kauli hii kusikika kwa watu wa dini. Ibaki...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Kila siku wako Misikitini na Makanisani wakihubiri siasa lakini wa kwanza kusema tusichanganye dini na siasa

    Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda...
  10. JamiiForums Tanzania Askofu Profesa Victor Chisanga kaambiwa na Mwenyezi Mungu asitii mamlaka kwenye swala na bandari bali ampinge Rais

    https://youtu.be/CsfIiDj5LQY Askofu profesa Victor Chisanga kwenye mahojiano yake na Jambo TV kadai ana maelekezo ya Mwenyezi Mungu lazima apinge mamlaka kwenye uwekezaji wa bandari na asipofanya hivyo atakwenda motoni.
  11. JamiiForums Tanzania Mama Samia Mungu yu Pamoja nawe adui yako unaye ndani kwako piga kazi

    Angalizo Mods naomba huu uzi usiunganishwe na uzi mwingine tafadhali. Juzi walikusifia Jana walikuchoka Leo wanakuzomea kesho watakufukuza lakini hao hao kesho kutwa watarudi tena kwako hivyo wazoee endelea kupiga kazi. Walianza wanaojiita wanaojiita wanaharakati kupinga baadhi ya vipengele...
  12. JamiiForums Tanzania Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

    Wanabodi, Declaration of Interest Mimi ni Mkristo Mkatoliki, tena sio Mkatoliki mlei tuu wa kawaida, ni miongoni mwa wale walei Wakatoliki wacheche tuliobahatika kwenda kuhiji Israel, na waliofika St. Peter's Basilica, kule Rome, Italy. Enzi nikiwa mdogo nimehudumu utumishi kanisani pale St...
  13. JamiiForums Tanzania Mzungu akisaidiwa, humtaja aliyemsaidia na kumshukuru hadharani. Mswahili huishia kusema Mungu umenisaidia

    Najiuliza hivi kwanini mtu akiwa shidani, wa ngozi nyeupe, ukimkwamua shidani mwake, atakushukuru sana na hatoona aibu kusema hadharani, fulani kanisaidia. Lakini sasa sisi kina Mtokambali, ukisaidia na fulani, humtaji, hata ukiulizwa ile shida yako umeitatuaje? Unaishia kusema ni Mungu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mungu amemuumba mwanamke vile alivyo, je inakuwaje tena amkataze kusimama madhabahuni akiwa period?

    Sijui vizuri neno la Mungu yaani biblia lakini jumapili iliyopita nilishangazwa kidogo na mchungaji alivyokemea na kuwa mkali kwa wanawake kutosimama mbele ya kanisa pale wanapokuwa period. Mchungaji alisisitiza 'unaanzaje kusimama hapa madhabahuni ukiwa siku zako'? "Kama huko siku zako tulia'...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kila mtu aliyekusudia kumjua Mungu na mambo yake kwa dhati, Mungu humfanyia hiki...

    Atafanya juu chini kuhakikisha hiyo nia yako njema inatimia. Watu wengi wanateseka kwa sababu wameingia katika nyumba za sala lakini hawako siriasi na Mungu kama anavyotarajia. Hivyo wengi wameachwa wajiendee wanavyotaka. Mifano ya watu waliokuwa na usiriasi na Mungu hata kama hawana uhakika...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba tufunge kuwaombea wanaoteswa wakipambania haki zetu wasikate tamaa

    Habari ndugu zanguni, Tafadhari nawaomba sana tufunge na kuwaombea wanaoteswa wakipambania haki zetu sote kwa namna yoyote ile pasipo kutaja majina yao bayana kila mmoja awaandike kwenye karatasi au hata kuwatamka Kwa kinywa tuwaombee Mungu wa kweli asimamie mioyo yao ya kweli na ya haki...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Uhaini unaweza fanywa na muomba Mungu?

    Uhaini( treason)the offense of attempting by overt acts to overthrow the government of the state to which the offender owes allegiance or to kill or personally injure the sovereign or the sovereign's family. Nimejaribu kufikiri kidogo, na nimekumbuka baadhi ya vitabu nilivyosoma vile mwl. J.k...
  18. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Mungu wamekuwa wakame rohoni sasa makanisani wanafundisha falsafa za kidunia, Falsafa ambazo unaweza kuzipata popote

    Injili ya kale ya akina Petro ilikuwa rhema. Rhema ni neno la Mungu kwa wakati husika. Yaani Mungu anasema kwa kinywa cha mtu. Anaweza kutumia neno hili la kila siku (logos) ila anaposema Mungu mwenyewe hulitia uzima na kutimiza kusudi lake kwa haraka kama umeme. Ndio maana ukisoma kitabu cha...
  19. JamiiForums Tanzania Mungu na Binadamu tumegawanyika mara tatu

    Katika maisha ya duniani Binadamu toka kuzaliwa kwake anaishi maisha ya kujifunza. Vyanzo vya maarifa vinajulikana, na milango ya kupokea ni milango yote ya fahamu. The more you know the more you function. Twende kwenye mada, short and clear bila kutoa reference. Binadamu au Mtu kagawanyika...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Bashe ni Kiongozi mzuri atafika mbali, lakini ulichofanya Nanenane Mbeya Mungu anakuona

    Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima Watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wakulima tuuze mazao kokote tunakoweza kupata faida Hilo tunakushukuru. Lakini hebu fikiria wananchi wa Sae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…