mungu

  1. JamiiForums Tanzania Haya Mambo mawili yatakusaidia sana ukiyazingatia ikiwa unamuamini Mungu

    1: Thubutu mambo makubwa kuliko uwezo wako. Tofauti yako na wasiomuamini Mungu wewe unafaida ya zaida ta kupewa uwezo ulio nje yako (Nguvu za roho mtakatifu). Hivyo ni dhambi kuwa na fikra mgando, finyu na zembe. Fikiria makubwa, thubutu makubwa. 2: Anza kidogo kwa mtazamo mkubwa. Hata kama...
  2. JamiiForums Tanzania Fedha na Mungu ndiyo mtetezi wako, jitahidi utafute kwa bidii hivyo vitu viwili

    • Siku ukikamatwa kwa kosa la kuzurura mjini hapo mtetezi wako ni Mungu na fedha tu, vinginevyo utapewa hata kesi ya mauaji. • Siku ukishikwa na ugonjwa barabara hapo mtetezi wako ni Mungu na pesa tu. • Siku ukifukuzwa kazi ndipo utajua kuwa mtetezi wako ni pesa na Mungu tu. • Siku...
  3. JamiiForums Tanzania Neno la MUNGU linasema "MSINYIMANE"

    1 WAKORINTHO 7:3-5 "Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake. Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe. Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena...
  4. JamiiForums Tanzania Ukatili wa Kijinsia kwa watoto Kanisani: Tupinge kuita watoto wachawi mbele ya kanisa na kuwarekodi kwente tv na redio

    Tukielekea kuadhimisha wiki ya ukatili wa kijjnsia kuna mambo yanaendelea baadhi ha makanisa ya manabii mitume na makuhani hayanipendezi. Kuna mambo ukienda makanisani kwa watajwa hapo juu naumia sana. Wanaita watoto wadogo kabisa wanawambia wewe uko kikundi cha wachawi. Kwa uwoga wanajibu...
  5. JamiiForums Tanzania Hela si ya kwako! Lakini inavyokuuma kuitoa sijui kwanini? Omba Mungu akusaidie!

    Kwamfano! Hupo hapo hohehahe! Umepigika unahustle utoboe kwambinde lakini unaangukia pua! Mara gafla Mungu anaingilia kati kulipwa mojawapo ya haki yako iliyokuwa imezuiliwa kwa miaka mingi! Mungu anakusemesha kuhusu baadhi ya sadaka kama sadaka ya limbuko, zaka, zabiu, mbegu, n.k! Kuanzia...
  6. JamiiForums Tanzania Kucheza Makanisani na gospel: Ndombolo na viduku tushavichoka tuhamie kwenye mauno, Inaruhusiwa na wala sio kosa kwa kanisa

    Kucheza tutakavyo ni ruhusa, Ruhusa hii tumepewa kwa kanisa kubariki tukio la Mfalme Daudi alipocheza mpaka nguo zikamdondoka. Tuwe huru, Ukichukia mapendekezo haya labda uwe msabato, hakuna kucheza ni kusimama tu
  7. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Sagini awataka wafungwa kumuomba Mungu ili wakitoka wakute wenza wao wako salama

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili wakirudi uraiani wakaanze maisha mapya ikiwa pamoja na wapenzi wao wakiwa salama. Akizungumza na...
  8. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Sagini awataka wafungwa kumuomba Mungu ili wakitoka wakute wenza wao wako salama

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili wakirudi uraiani wakaanze maisha mapya ikiwa pamoja na wapenzi wao wakiwa salama. Akizungumza na...
  9. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Sagini awataka wafungwa kumuomba Mungu ili wakitoka wakute wenza wao wako salama

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili wakirudi uraiani wakaanze maisha mapya ikiwa pamoja na wapenzi wao wakiwa salama. Akizungumza na...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli waweza kuomba jambo kwa Mungu likatokea?

    Ilinichukua muda sana kugundua yafuatayo katika maombi: 1. Yesu ametupatia mamlaka kufunga chochote hapa duniani, au kufungua chochote hapa duniani, na kitafungwa au kufunguliwa na mbinguni. maana yake ni kwamba kitatimia hivyo hivyo kama ulivyotamka. Unaweza kuamuru chochote ambacho maadui...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hivi huwa tunamchukuliaje Mungu?

    Yaani umwombe Mungu na kweli akufanikishe kutenda uzinzi? Kajalaaa....
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa dini wamejikita kushirikiana na viongozi wa chama tawala pekee? Mungu alikataza kushirikiana na wapinzani?

    Viongozi wa dini dua na sala zao zimeambatana zaidi na wana chama tawala. Na hata hao chama tawala siyo wote isipokuwa wale tu wenye madaraka. Ukishirikiana nao kisha ukapokonywa madaraka na wao wanakuacha na kuambatana na mteule mpya. Maeneo mengi viongozi wa dini wanapokwekwenda kutoa huduma...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa haya maagizo ya Mungu juu ya Taifa la Israel (1 Samweli 15: 2-3) Kanisa halina budi kuomba

    Ndugu watu wa Jf amani ya Bwana ikae nanyi. Awali ya yote naomba ninukuu 1Samweli 15: 2 - 3 iwe ndio msingi wa mada yangu. 2 - Bwana wa majeshi asema hivi "Nimeyatia moyoni mwangu mambo hayo Amaleki waliyowatendea Israeli, jinsi walivyowapinga njiani, hapo walipopanda kutoka Misri." 3 - "Basi...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kweli imani katika Neno la Mungu inafanya kazi? Tupe ushuhuda wako!

    Hakikisha una uhakika na ushuhuda wenyewe, kwamba: 1. Umekutokea wewe binafsi, Au 2. Umeushuhudia kwa mtu mwingine, Au 3. Umesimuliwa na mtu ambaye unaamini hakukuongopea. Karibu🙏🙏🙏
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu Tanzania wanafanya kazi nzuri sana wapongezwe, waombewe kwa Mungu

    Ni dhahiri na ukweli usiopingika, Dr.Samia Suluhu Hassan, Rais na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalamaTZ, na safu yake nzima ya viongozi serikalini. Wanaiongoza nchi kwa umahiri mkubwa, uwazi sana, weledi wa viwango, upendo, bidii na mapenzi ya dhati sana. Mipango yao inachochea...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba Mungu sana niache pombe

    Pombe pombe pombe. Mimi sio mnywaji sana. Ila kuna utumwa wa pombe siupendi. Kila bada ya siku 3 nahitaji bia. Inakuwa ngumu sana kuimaliza wiki https://youtu.be/W46HKkXzX0A?si=iaS7E3n394FnuaFg
  17. JamiiForums Tanzania Mkristo ni Mungu. Bila kuamini hivyo huwezi kuwashinda miungu watu na miungu yao

    Sio mara ya Kwanza Mungu kuwafanya wanaomufuata Mungu. Ili Musa amvae Farao ambaye kwa kimisri alikuwa anahadhi ya muungu alimfanya kuwa mungu kwa farao. Kuna watu ni miungu, kuna miungu mingi, ukiwaface kama binadamu watakushinda, lazima uvae cheo chako cha umungu ili uwe juu yao. Biblia...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

    Salaam shalom. INTRODUCTON. Imeandikwa, Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na haki, hata atuondolee dhambi zetu na kutusafisha na udhalimu wote.( 1 Yoh 1:9). Dhambi ni kutotii, kwenda kinyume na maelekezo ya Mungu. Na Roho mtakatifu yupo kutukumbusha dhambi zetu Ili tuzitibie Ili...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu akusimamie, akulinde na akubariki

    Unapoelekea kwenye kazi, majukumu na mahangaiko ya kujitafutia kipato. Namshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai na afya alizotujalia mimi na wewe, hata tumeamka salama na akatukutanisha humu jukwaani kwa wasaa huu. Mungu wa Rehema akusimamie na akulinde utekeleze wajibu wako kwa maarifa, nguvu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…