mungu

  1. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini kasisi Martin Luther aliwachukia Wayahudi na kushauri masinagogi na nyumba zichomwe moto kwa heshima ya Mungu na Ukiristo?

    Wadau hamjamboni nyote? Ni kuhusu msimamo wa mjerumani Martin Luther profesa wa theolojia , kasisi na baba wa mageuzi ya kidini duniani. Mtazamo wa kasisi huyu wa kijerumani kwa Wayahudi ulikuwa chanya akiwaonea huruma kwa shida zao lakini ulibadilika siku za mwishoni za maisha yake na kuwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mara nyingi nikilala usiku namuota Mungu. Kuna mwingine huwa inamtokea?

    Habarini, Kwa baadhi ya watu humu kama mnavonijua humu jukwaani, mimi sio mtu wa mambo ya kiroho, ni mkristo, ila ni mkristo jina, kanisani siendagi kabisa dhambi ninazo nyingi sana, sisomagi biblia Wala sio mtu wa maombi, ila kuna kitu kimeanza nitokea hivi karibuni kimeanza kama miaka 2...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Oktoba 7 na maadui 7 wakiwa vitani na Mteule wa Mungu, Israel.

    MWANZO 32:28 ... Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila ISRAEL, maana umeshindana na Mungu na Watu, nawe umeshinda. Israel yupo vitani na pande Saba hivi Sasa, Magaidi ya Hesbollah, Magaidi ya Hamas, Magaidi ya Houth, Mfadhili wa Magaidi Iran, Wanamgambo wa Iraq, na wengine wawili...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu ameumba baadhi ya watu fulani kuwa masikini?

    Wakuu kuna swali hili mara zote linanitatiza aisee je kuna watu mungu ameumba kuwa maskini? Na kuna wengine ameumba kuwa matajiri? Na kama hivyo kwanini? Nchi nyingi za kiafrika watu wengi ni masikini kulinganisha na bara la ulaya,America na Asia? Kwamba kuna watu wa rangi fulani l(afrika) na...
  5. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Muda huo kuna goli la mama, ila maisha!

    Sio huyu tu wapo wengi wenye shida zaidi ya huyu Mzee nikwamba hamjakutana nao tu ila Mungu atupe akili sisi wa Africa. Kuna post moja niliisoma inasema Tanzania ni nchi pekee ambayo unaenda kufanya kazi ukipata pesa pesa yote inaishia kwenye madeni Kila siku kwasababu pesa imekosa thamani
  6. Brojust

    JamiiForums Tanzania Watu wote hapa ambao hawaamini kama Mungu yupo someni hapa

    Shalom watu wa Mungu. Moja kwa moja kwenye mada, wanasayansi na wana imani watatusaidia. Je, Uhai wako ulianza tu pale ambapo mbegu moja ya mzee wako ilipokutana na yai la mama yako ? Je ulikuwa unajitambua kwamba tayari mimi ni binadamu na ile miezi tisa wakati uko tumboni ulikuwa unahisi...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kikao kizito sana kinaendelea muda huu, tuombe sana Mungu atuvushe salama

    Wadau hamjamboni nyote? Kikao kizito sana kinaendelea muda huu. Tuombe Mungu atuvushe salama Wajumbe: Mkuu wa shin bet Ronan Bar Mkuu wa Mossad David Barnea, Waziri wa ulinzi Yoav Galant Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Harzi Halevi Mnadhimu Mkuu Meja Jenerali Roman Gropman
  8. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Wachungaji/Wahubiri neno la Mungu ninaowakubali

    Nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo, jina lipitalo majina yote, Leo ningependa kuwashirikisha juu ya watumishi wa Mungu, Wachungaji/wahubiri injili ambao nimetokea kuwaelewa sana. Wapo wengi lakini leo nitawataja baadhi ambao aina yao ya utumishi inataka kufanana, 1. CHRISTOPHER MWAKASEGE...
  9. God is Dead

    JamiiForums Tanzania God as noble language

    Kwa msaada wa AI That’s an intriguing perspective. The idea of seeing "God" or religious belief systems as a "noble language" to preserve the life-preservation instincts of societies is one way to understand the role of spirituality and religion in human culture. Let’s break it down: 1...
  10. Nakimbizwa

    JamiiForums Tanzania Mungu ni mmoja, lakini ni kwasababu hakuna kitu kingine

    Wasalaam allaykum na Bwana Yesu asifiwe ndugu zangu watanzania wenzangu wa dini zote. Twende moja kwa moja kwenye mada. Dini zote mbili za Tanzania wanaamini kuwa Mungu ni mmoja. Hii ni kweli kwasababu tunatakiwa tujue hizi sheria za ulimwengu kuwa 1. kila kitu kwenye huu ulimwengu ni kitu...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zungu: Dini zikijiingiza kwenye Siasa zinaweza kuwachanganya Waumini

    Mussa Azzan Zungu Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu ametoa wito kwa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya kuendelea kushirikiana na Jamii katika kudumisha amani Nchini na kutozingatia watu ambao wana chuki binafsi wana nia ya...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Maana ya Hezbollah ni Chama Cha Mungu. Hivi ni Mungu yupi huyo?

    Muda mwingine huwa tukiwa critical na mambo ya hawa jamaa wengine wanadhani ni kwa sababu tuna chuki binafsi ya Dini fulani. HEZBOLLAH ni KIBOKO YA WACHAWI aliechangamka. Hawa jamaa ni matapeli tu kama wengine wanaotumia kivuli cha jina la Mungu ku-pursuade watu waungane nao kwa ajili ya ili...
  13. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Walimu waheshimiwe sana; si kila mtu anaweza kuelekeza na kufundisha

    Nilichojifunza hapa kuna muda ni shida sana kumuelekeza mtu na ku control hasira. Waalimu wapewe maua yao.
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Teruso, yaani aliyeokoka kuuawa kwa upanga wa miungu

    TERUSO YAANI ALIYEOKOKA KUUAWA KWA UPANGA WA MIUNGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Tena siku zile nikasema acha nifuate njia zangu mwenyewe. Nimechoka kuwa chini ya MUNGU. Nitatumia nguvu zangu mwenyewe. Akili zangu mwenyewe. Wala sitaki Tena kuongozwa na huyo...
  15. 2v1

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini watu wanaojitolea katika jambo fulani ndiyo wanaumia zaidi, hivi siku moja Mungu atatukumbuka kweli?

    Habari wana jf, husika na kichwa cha habari hapo juu. Binafsi nasikia uchungu kweli, kuna mdada mmoja nimempenda kweli sasa nilimwelekeza nikaona kama kakubali lakini roho ilikataa kabisa sijui hata kwanini, lakini moyo ukalazimisha. Sasa leo mchana, msichana kaja kununua mafuta kidogo...
  16. David King 51

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Mungu yupo?

    H.
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Najuta kwa nini sikumsikiliza baba yangu lakini namshukuru Mungu sikuchelewa kuanza kumuelewa and my life was never the same.

    Nilimtii, sikumsumbua hata kidogo ila sikumsikiliza na nilimuogopa kuliko kumuheshimu. Kama baba typical wa kanda ya ziwa ushajua nyumbani ni mwendo wa kwata. Ila alikuwa ananiandaa. Nilijua ana agenda ya chuki dhidi ya mama, sikujua saikolojia ya mwanamke inamfanya mwanaume anakuwa paranoid...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

    Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu

    Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu Source: WASAFI media My take; Chadema wawe Waelewa Mlale Unono 😃😃🌹🌹
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania MH MWIGULU KIPUNGUN MNAWALIPA LINI??MBONA TU NATESEKA HIVI..MH BONNA WAMBIE MUNGU ANAJIBU DINIAN

    N jambo la kusikitisha sana sana 2017 Serikali ilikuja ikafanya uchambuzi wake wakitarajia kuchukua eneo la kipungun kwa utanuzi wa airport Watu wakasimamishwa kuendelea kujenga Wakasimamishwa kuendelea kupangisha Hakuna kilichotokea wala watu kulipwa hela waondoke 2022 Serikali ile ile...
Back
Top Bottom