mungu

  1. M

    Biblia inasema ni ruksa kumpiga mtumwa wako. Mungu mwenye upendo ananichanganya

    Habari wadau. Kuna mistari ya biblia inanichanganya. Mungu mwenye upendo anatoa maagizo kupitia biblia yasiyoendana na upendo wake.
  2. GENTAMYCINE

    Mwanamke au Mkeo huyo akiwa Mtukufu, yule aliyemuumba huyo Mkeo ambaye ni Mungu Yeye ataitwa nani?

    "Kwa Sisi baadhi ya Wanaume wa kiafrika tunadhani kumpa heshma Mkeo kama hii ni ufala au uzuzu,,kumbe hata Dini zetu na mafundisho yake yanatutaka tufanye hvyo!! Mke anahitaji utukufu", amesema Haji Sunday Manara Mhamasishaji Klabu ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala. Sasa Mwanamke au Mkeo huyo...
  3. N

    Kweli Mungu anatenda, nimepata elfu kumi niliyoisahau kwenye begi siku nyingi

    Nilikuwa katika shida kubwa ya kiuchumi kazi hakuna sikuwa na chochote siku moja nimeamka sijui hata familia itakula Nini ndanii nilikuwa na mkaa tu wa buku, basi Ili kupoteza mawazo nikaona nikusanye nguo chafu pamoja na begi la mgongoni nikafue basi nikatoa vilivyokuwemo kwenye lile begi na...
  4. GENTAMYCINE

    Watendaji wa Serikalini na Madereva wa Wakubwa huko Serikalini tafadhali acheni 'Kurogana' kwa 'Uchawi wa Ajali' mnakosea Mungu pakubwa sana

    Unaacha Kufanya Kazi kwa bidii huku ukimshirikisha Mwenyezi Mungu Wewe unachowaza ni Kumroga fulani ili Afe Ajalini ili uchukue nafasi yake. Na ninachofurahi Warogaji wengi wa Wenzao ili Wafe ( hasa Ajalini ) ikitokea kweli waliowalenga Wamekufa huko Ajalini baadae wala hawazipati hizo Nafasi...
  5. GENTAMYCINE

    Wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) nimewamisi sana tokea mwaka 2009, ila Mungu akipenda 2024 hii nakuja Kuwa nanyi na Kutambika pia

    Haya Ndugu zangu wa Kizanaki ninaomba kuanzia sasa anzeni kuniandalia Kichuri, Pombe Jani na Totooz za maana. ONYO Ukijijua fika Wewe ni Mhaya kutoka Mkoa wa Kagera, Mrangi kutoka Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, Mnyaturu na Mnyiramba kutoka Mkoani Singida, Muha kutoka Mkoani Kigoma, Mkara...
  6. Pascal Mayalla

    Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

    Wanabodi, Leo ni sikukuu ya Eid El Haji, Iddi ya Kuchinja. Leo ni siku ya Sikukuu ya Idd El Haj, ni iddi ya kuchinja, asubuhi nilikuwa naangalia matangazo ya mubashara ya Baraza la Iddi kupitia TBC, kutoka Msikiti wa Mfalme Mohammed VI wa Morroco, Bwakwata, Kinondoni jijini Dar es Salaam...
  7. N

    Mungu awasaidie wapanda daladala

    Nina muda mrefu sijapanda daladala. Leo nimepqnda nilichokiona umo khaaa! Daladala imejaa hakuna sehemu ya kueka mguu. Kuna wale wanaonukia pafyumu za sh 200 zinaumiza pua na kichwa mtu unaweza ukazimia kwa harufu, halafu kuna wale wanaonuka jasho. Harufu hizi zinachanganyika kunatokea harufu...
  8. GENTAMYCINE

    Ukiwa pia ni Mkatoliki mwenzangu na Mcha Mungu mzuri nakukubali sana CDF Mstaafu. Jenerali Mabeyo na hapa umemaliza kila kitu hongera mno

    DAR ES SALAAM - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo amesema vijana wengi kwa sasa wanahangaika kupata ajira licha ya kuwa ni wasomi wazuri akishauri wenyeviti wa bodi za...
  9. Tlaatlaah

    Mpaka sasa unamshukuru Mungu kwa jambo gani kuu alilokutendea maishani mwako?

    Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote.... Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na huenda ukiulizwa kuyasema, kwasababu ya muda na ufinyu wa platforms, usimalize kuyaorodhesha...
  10. Kaka yake shetani

    Mungu ni maji

    Kauli kwamba "Mungu ni maji" ina maana tofauti kulingana na muktadha na imani ya mtu. Kwa kawaida, hii si kauli ya moja kwa moja kutoka kwa maandiko ya kidini, lakini inaweza kueleweka kwa njia mbalimbali za kiroho na kifalsafa. Katika dini na falsafa nyingi, maji hutumiwa kama mfano wa Mungu...
  11. M

    Wahuni Mungu hutubariki na wachumba wazuri ila sisi ndo tunazingua

    Wazee kwema! Kuna shemeji/wifi yenu ukiachana na huyo bikra anayebana kutoa uroda ila yeye anataka kuhudumiwa. Huyu mchumba bhana anamalizia chuo mwaka huu nafikiri mwezi wa 8 au wa 7. Huyu mtoto ananipenda na mimi nampenda ila sijawa tayari kwa kuoa. Mtoto ni kind, honest pia ni loyal sana...
  12. Shuku_

    Je, Mungu wa waislamu na Mungu wa Wakristo ni sawa?

    Habari zenu wasaka tonge. Nimefungua uzi huu ili tujuzane ukweli juu ya jambo hili. Je! Mungu anayeabudiwa kati ya WAISLAMU na WAKRISTO ni mmoja? Yehova vs Allah = 1 ?
  13. Bullshit

    Kwanini niliamua kuwa mkristo

    Sababu zilifanya mimi kuwa mkristo ni Wakristo kuamini watu wote ni wa Mungu bila kujali DINI, KABILA, UTAJIRI nk..... Wakristo wanaamini njoo kama ulivyo Yesu bado anakupenda. Hii ni kwamba, wenye dhambi, Waislam, wenye shida, yesu bado anawapokea. Kumpenda jirani yako kama wewe...
  14. D

    Kwanini Mungu aliita kwamba "Adamu uko wapi?"". Hii ina maanisha kwamba ukijificha Mungu hawezi kukuona?

    Kwa nini Mungu aliita kwamba "Adamu uko wapi?"". Hii ina maanisha kwamba ukijificha mungu hawezi kukuona? Naombeni jibu
  15. Superbug

    Kama Mungu angekupa nafasi ya kuamua uishi miaka uipendayo je ungechagua mingapi? (Sharti muda lazima)

    Toa sababu pia kwanini umechagua miaka hiyo. Mimi 1000 sababu ningependa kuona tabia ya nchi inavyobadilikabadilika.
  16. D

    Korea kaskazini: Rais kim jong Un asema Africa itaendelea kunyonywa na ulayakupitia dini mpaka hapo watakapomtambua Mungu wao

    Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo. Ikumbukwe korea kaskazini wamezuia na kupiga marufuku biblia na quran kwa kusema na culture ya wazungu na waarabu tu...
  17. Poppy Hatonn

    Mungu anatosha

    Watu wanataka hela, wanataka gari, wanataka nyumba, wanataka kuwa milionea. Lakini Mungu tu anatosha. Ukimpata Mungu umepata kila kitu. Vita kubwa wanapigana Kongo kugombea changarawe na kokoto zinazochimbwa ardhini. Watu wanajali fedha kuliko utu. Ndugu wanagombana kwa ajili ya mali...
  18. J

    Sala ili ipokelewe na Mwenyezi Mungu inapaswa iwaje?

    Najua Nyinyi Wakristo huwa Mnaswali kwa Mungu mkipitisha sala hiyo kwa Yesu Kiristo kwa kuwa yeye anatekeleza jukumu la kuwa mpatanishi kati yenu na Mungu Mwenyezi; Je ni hivyo kweli mnavyotakiwa kuswali? Mlipata kujiuliza? Haitakuwa mbaya mkajifunza pia kutoka kwa wenzenu. Kwa maana hiyo hebu...
  19. GoldDhahabu

    It's never too late maadam pumzi ya Mungu ingali ndani yako

    Hata kama ulishajaribu mara nyingi bila mafanikio usikate tamaa! Thubutu kuota tena! Wanandoa wawili walifanya jitihada kumpata mtoto kwa zaidi ya miaka ya ishirini bila mafanikio. Lakini mwaka wa ishirini na nane wa ndoa yao walifanikiwa kumpata mtoto wao wa kwanza. Kama wangekata tamaa mwaka...
  20. Mkurya mweupe

    Matukio yaliyowahi kutokea katika Maisha halisi ukaamini uwepo wa Mungu

    Ndugu Wana JF, Nataka tushirikishane kuhusu matukio ambayo yaliwahi kutokea yakafanya niamini uwepo wa Mwenyezi Mungu. Mimi binafsi, kama muumini wa dini ya RC, kuna kipindi mdogo wangu aliwahi kusumbuliwa sana na ushirikina. Kwa kuwa imani yangu ilikuwa 50 kwa 50, nilikuwa nampeleka mpaka kwa...
Back
Top Bottom