mungu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Contradiction, yaani Mungu anawaumba masikini ili matajiri watoe sadaka/wafuturishe ili Matajiri/wafuturishaji wapate thawabu kwa Mungu?

    Mungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu. Ili matajiri waende mbinguni, wanawafuturisha/wanawasaidia masikini na kupata thawabu kwa Mungu ili waingie mbinguni! Kwanini Mungu...
  2. JamiiForums Tanzania Israeli - Imekuwa Taifa lenye nguvu kubwa sawasawa na jinsi Mungu alivyoahidi

    Watu wameduwaa! Watu wamebaki midomo wazi kwa jinsi wanavyoona Taifa la Israeli likiinuliwa na kuwa na nguvu kubwa. Nawaonea huruma wanaoamini uongo wa Ibilisi eti Biblia ni maneno ya watu. Biblia ingekuwa ni maneno tu ya watu, basi ahadi alizozitoa Mungu kwa Israeli zisingetimia kwa usahihi wa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mnyukano ligi kuu ya TRA sio wa kitoto !! kama huna connection hakikisha nje ya uwezo wako umshikilie sana Mungu wako ama urudi kwa babu kujiongeza

    LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791 Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356 Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241 Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania CCM mtajibu nini kwa Mungu?

  5. JamiiForums Tanzania Mungu Anayeishi Ndani ya Mtu: Ukweli wa Kipekee wa Wakristo Unaowatofautisha na Imani Nyingine

    Katika historia yote ya falsafa, dini, na tafakari za kiroho, dhana ya uhusiano kati ya mwanadamu na Mungu imekuwa ikiibua maswali magumu. Mwanadamu anahisi hitaji la maana, mwelekeo, na mwongozo wa kimungu katika maisha yake. Hili ndilo linalomfanya atafute dini, mifumo ya kiimani, na hata...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza awajia juu Mwijaku, Makalla asema 'Mnaiunga mkono No Reform, No Election bila kujua'

    Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) JUZI KUFURU; Leo HIJJA au Utalii…halafu JINAI. Wanyambo na Wajaluo wana msemo usemao, “Give me a Break”. Wakisema hivyo wanamaanisha vituko vyako vimezidi, wape muda wapumzike kidogo. 1. Akatoka mmoja juzi. Kamlinganisha rais wetu na Mitume...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi upitapo kwenye magumu na Mungu akakupa Option hizi mbili uchague moja utaenda na ipi?

    Option 1: Akuache uwe hai ila uteseke? Option 2; Achukue uhai ukapumzike? Mimi ntaenda na option ya pili, wewe je?
  8. JamiiForums Tanzania Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo. Nabii Mkuu ametanabahisha hilo baada ya kukerwa na watu wanaomuandama kila kukicha kuwa hatumii...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Marekani hawajali maadili (Porno Industry) ila Mungu anawapa hela nyingi tofauti na Tanzania inayozingatia sana maadili??

    Marekani ndio kiwanda kikuu cha picha za X ila Mungu anaendelea kuwajaza mihela kila siku. Tanzania wamefungia websites zote za picha hizo za X lakini bado wanaenda kuwaomba msaada wa hela Marekani waliokosa maadili na kuamua kuwaacha raia wake wacheze picha za utupu. Huyo dada hapo chini ni...
  10. JamiiForums Tanzania Mungu wa upendo aliwaumba kunguni, nzi na mbu waje kuwatesa kwa magonjwa watoto wake wapendwa

    Nzi wanasababisha magonjwa ya tumbo, ikiwemo kipindupindu. Mbu wanasababisha homa ya dengue, chikungunya na malaria Kunguni watakutesa hadi uikimbie nyumba Yako pendwa. Hawa ni wadudu walioumbwa na Mungu wa upendo kwa watoto wake ambao ni binadamu. Malaria ndio ugonjwa unaoongoza kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mungu yupo kwa wanaomuamini tu

    Ushawahi kujiuliza nini hutokea unapomuamini Mungu kwa asilimia mia moja? Ngoja nikupe stori moja hivi. Tunarudi katika karne ya 19 huko Bristol nchini Uingereza kulikuwa na mwanaume aliyeitwa kwa jina la George Muller. Huyu mwanaume aliamua kuanzisha kituo cha watoto yatima na tangu...
  12. JamiiForums Tanzania Umeme wa Bwawa la Nyumba ya Mungu

    Hivi lile Bwawa la Nyumba ya Mungu halizalishi tena umeme? Kama linazalisha kwa nini umeme wake usitumike huko Kaskazini kujazia huo unao pungua? Naona kama TANESCO wanakuja na miradi mipya miingi kuliko kipindi kile tukiwa na tatizo kubwa la umeme kama vile wana justify matumizi ya hela...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini mungu alimpenda sana Daudi kuliko Sauli?

    Katika Biblia, Daudi anajulikana kama "mtu wa moyo wa Mungu" (1 Samweli 13:14, Matendo 13:22). Hii ni ajabu kwa sababu maisha yake yalikuwa na makosa mengi, ikiwa ni pamoja na uzinzi, mauaji, na kuchukua wake za watu. Hata hivyo, Mungu alimpenda na hata akamjengea heshima mbinguni kwa kumpa mtaa...
  14. JamiiForums Tanzania Atheists, leo mtajua hamjui. Jibuni haya maswali—mkishindwa, msilete tena hapa nyuzi za kuhoji uwepo wa Mungu

    You atheists claim there is no God, that the universe is a product of chance, and that morality and purpose need no Creator. You trust science and reason—but have you truly tested your beliefs? Let’s put it to the test—answer these 25 questions. If your atheism is as solid as you claim, these...
  15. JamiiForums Tanzania Paul Kagame aionya Ubelgiji "Nyinyi sio Mungu, tutawakabili"

    Wakuu, Rais wa Rwanda Paul Kagame Paul Kagame amelionya taifa la Ubelgiji kuwa watawakabili kwa kuwa wamekuwa wakitoa maagizo kwa Rwanda kama wao ndiyo wenye haki ya kuwasimamia. Akizungumza jana kwenye mkutano wa Kwegera Abaturage Kagame amesema “Wabelgiji wameiharibu Rwanda, katika historia...
  16. JamiiForums Tanzania Nimeamua kumtengenezea yule njiwa kabox ili akaemo. Maana hata jana mchana alienda kupiga masafa akarudi tena kwangu. All in All nimeamuachia Mungu!

    Ngoja nimpe hifadhi tu jamani. Soma pia: https://www.jamiiforums.com/threads/njiwa-kaingia-nyumbani-na-wala-haoneshi-dalali-ya-machachari-na-wala-hataki-kuondoka.2318538/ https://www.jamiiforums.com/threads/jamani-yule-njiwa-alieingia-nyumbani-nikamtoa-nje-leo-tena-amerudi.2318795/post-53177554
  17. JamiiForums Tanzania Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli

    Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli. Maana watu walilalamika juu ya utawala mbovu Ila baadae Mungu aliamua kujibu Ahsante Mungu
  18. JamiiForums Tanzania Nataka Mungu anipe Mume ambae hapendi kunyonywa, sijui yupo?

    Ni swali nimeulizwa na mtoto wa mdofowangu wa mwisho kuzaliwa Yeye ni wa mwisho wa kike ana miaka 27, akaniuliza Aunty Penny, "Nataka Mungu anipe Mume ambae hapendi kunyonywa dyu dyu yake, (uume wake) sijui yupo? Sijui nitampata wapi?" Nikamwambia Aunty muombe Mungu sana, funga kwa wiki mara...
  19. JamiiForums Tanzania Je Mungu wa wakristo, Budha, waafrika, Waislamu na wahindu ni yule yule mmoja?

    Nimetafakari na kugundua kuwa mafarakano ya kidini duniani hutokea kwa kila dini kumtetea "Mungu" asinajisiwe. Lakini ninajiuliza je sifa za Mungu Kwa dini zote zilizoko duniani ambazo ni maarufu, sifa zake zinafanana? Jee waumini wa hizi dini wanamuabudu Mungu yule yule mmoja ama miungu yao...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo ibada iliyo njema yenye kumpendeza Mungu.

    Habari za wakati huu wana jukwaa, poleni kwa mfungo wa Ramadhani na Kwaresma. Naomba kushare nanyi hili swala siku kadhaa zilizopita kuna mahali nilienda kuna mzee nilimsikia anazungumza kuhusu hili. Alikuwa anasema yeye ameshasafiri nchi mbalimbali hususani Japan, alisema wajapan wao hawana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…