mungu

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mungu wa upendo aliwaumba kunguni, nzi na mbu waje kuwatesa kwa magonjwa watoto wake wapendwa

    Nzi wanasababisha magonjwa ya tumbo, ikiwemo kipindupindu. Mbu wanasababisha homa ya dengue, chikungunya na malaria Kunguni watakutesa hadi uikimbie nyumba Yako pendwa. Hawa ni wadudu walioumbwa na Mungu wa upendo kwa watoto wake ambao ni binadamu. Malaria ndio ugonjwa unaoongoza kwa...
  2. hamis77

    JamiiForums Tanzania Mungu yupo kwa wanaomuamini tu

    Ushawahi kujiuliza nini hutokea unapomuamini Mungu kwa asilimia mia moja? Ngoja nikupe stori moja hivi. Tunarudi katika karne ya 19 huko Bristol nchini Uingereza kulikuwa na mwanaume aliyeitwa kwa jina la George Muller. Huyu mwanaume aliamua kuanzisha kituo cha watoto yatima na tangu...
  3. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Umeme wa Bwawa la Nyumba ya Mungu

    Hivi lile Bwawa la Nyumba ya Mungu halizalishi tena umeme? Kama linazalisha kwa nini umeme wake usitumike huko Kaskazini kujazia huo unao pungua? Naona kama TANESCO wanakuja na miradi mipya miingi kuliko kipindi kile tukiwa na tatizo kubwa la umeme kama vile wana justify matumizi ya hela...
  4. hamis77

    JamiiForums Tanzania Kwanini mungu alimpenda sana Daudi kuliko Sauli?

    Katika Biblia, Daudi anajulikana kama "mtu wa moyo wa Mungu" (1 Samweli 13:14, Matendo 13:22). Hii ni ajabu kwa sababu maisha yake yalikuwa na makosa mengi, ikiwa ni pamoja na uzinzi, mauaji, na kuchukua wake za watu. Hata hivyo, Mungu alimpenda na hata akamjengea heshima mbinguni kwa kumpa mtaa...
  5. Setfree

    JamiiForums Tanzania Atheists, leo mtajua hamjui. Jibuni haya maswali—mkishindwa, msilete tena hapa nyuzi za kuhoji uwepo wa Mungu

    You atheists claim there is no God, that the universe is a product of chance, and that morality and purpose need no Creator. You trust science and reason—but have you truly tested your beliefs? Let’s put it to the test—answer these 25 questions. If your atheism is as solid as you claim, these...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame aionya Ubelgiji "Nyinyi sio Mungu, tutawakabili"

    Wakuu, Rais wa Rwanda Paul Kagame Paul Kagame amelionya taifa la Ubelgiji kuwa watawakabili kwa kuwa wamekuwa wakitoa maagizo kwa Rwanda kama wao ndiyo wenye haki ya kuwasimamia. Akizungumza jana kwenye mkutano wa Kwegera Abaturage Kagame amesema “Wabelgiji wameiharibu Rwanda, katika historia...
  7. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumtengenezea yule njiwa kabox ili akaemo. Maana hata jana mchana alienda kupiga masafa akarudi tena kwangu. All in All nimeamuachia Mungu!

    Ngoja nimpe hifadhi tu jamani. Soma pia: https://www.jamiiforums.com/threads/njiwa-kaingia-nyumbani-na-wala-haoneshi-dalali-ya-machachari-na-wala-hataki-kuondoka.2318538/ https://www.jamiiforums.com/threads/jamani-yule-njiwa-alieingia-nyumbani-nikamtoa-nje-leo-tena-amerudi.2318795/post-53177554
  8. Now and then

    JamiiForums Tanzania Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli

    Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli. Maana watu walilalamika juu ya utawala mbovu Ila baadae Mungu aliamua kujibu Ahsante Mungu
  9. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Nataka Mungu anipe Mume ambae hapendi kunyonywa, sijui yupo?

    Ni swali nimeulizwa na mtoto wa mdofowangu wa mwisho kuzaliwa Yeye ni wa mwisho wa kike ana miaka 27, akaniuliza Aunty Penny, "Nataka Mungu anipe Mume ambae hapendi kunyonywa dyu dyu yake, (uume wake) sijui yupo? Sijui nitampata wapi?" Nikamwambia Aunty muombe Mungu sana, funga kwa wiki mara...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Je Mungu wa wakristo, Budha, waafrika, Waislamu na wahindu ni yule yule mmoja?

    Nimetafakari na kugundua kuwa mafarakano ya kidini duniani hutokea kwa kila dini kumtetea "Mungu" asinajisiwe. Lakini ninajiuliza je sifa za Mungu Kwa dini zote zilizoko duniani ambazo ni maarufu, sifa zake zinafanana? Jee waumini wa hizi dini wanamuabudu Mungu yule yule mmoja ama miungu yao...
  11. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo ibada iliyo njema yenye kumpendeza Mungu.

    Habari za wakati huu wana jukwaa, poleni kwa mfungo wa Ramadhani na Kwaresma. Naomba kushare nanyi hili swala siku kadhaa zilizopita kuna mahali nilienda kuna mzee nilimsikia anazungumza kuhusu hili. Alikuwa anasema yeye ameshasafiri nchi mbalimbali hususani Japan, alisema wajapan wao hawana...
  12. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kumekucha salama! Karibuni kwa sala ya asubuhi, tumshukuru Mungu

    Mungu Baba, umetuagiza katika 1 Thes 5:18 kwamba tushukuru kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi yako kwetu katika Kristo Yesu. Tunakushukuru sasa Baba kwa kutulinda usiku kucha. Tumelala usingizi mnono na kuamka tukiwa na nguvu na uzima. Asante sana Baba kwa neema yako. Endelea kutulinda...
  13. Setfree

    JamiiForums Tanzania Karibuni wote tuombe sala ya usiku - Mungu atulinde

    Mchana umetoweka, usiku umeingia! Wakati wa usiku, tunapokwenda kulala na kufumba macho yetu, hatuna uwezo wa kujua yanayotokea katika ulimwengu wa roho au hata kimwili. Ndiyo maana ni muhimu kumkabidhi Mungu maisha yetu kila usiku kabla ya kulala, ili atulinde na kutuepusha na mabaya. Yesu...
  14. Setfree

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa nyimbo za Injili acheni kumpigia Mungu kelele

    Naongea na nyinyi mnaojiita wasanii wa nyimbo za Injili (Gospel Artists), vikundi vya kwaya na bendi. Nyinyi mnaotunga na kuimba nyimbo za Injili, nyimbo za sifa na kuabudu lakini maisha yenu ni ya mchanganyo! Maisha ya uvuguvugu. Nyinyi mnaopenda kumwimbia Mungu lakini dhambi hamtaki kuziacha...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwatishia matajiri na wafanyabiashara ijaanza leo wakiwa upande wa vyama pinzani

    Kama mnakumbuka:Hiki kisa cha Katika miaka ya 1990, kulikuwa na tukio ambapo serikali ya Tanzania ilimwaga shehena ya ngano na unga wa ngano wa mfanyabiashara maarufu, Said Salim Bakhresa, ikidai kuwa bidhaa hizo hazikukidhi viwango vya ubora vinavyohitajika kuingizwa nchini. Kutokana na hatua...
  16. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Mungu ulikuwa wapi wakati wa biashara ya utumwa?

    Habari wana JF Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu uwepo wa Mungu lakini kuhusu masimulizi yanayo elezea matendo yake mazuri na huruma kuu Kwa viumbe wake. Mungu kupitia wajumbe wake hapa duniani na maandiko yanadai Mungu ni mwema na mwenye huruma sana lakini ukitafakari...
  17. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Wakristo wengi wanadanganywa kuwa kupeleka pesa na mali kanisani ndio kumtolea Mungu sadaka!

    Kama kuna jambo ambalo wakristo wengi wanadanganywa na kuibiwa basi ni kwenye kitu kinaitwa Sadaka. Kila ujanja ujanja wa viongozi wa kikristo kutaka kuwatapeli waumini pesa na mali zao basi sadaka ndio kichaka cha kwanza na haraka sana kinatumika. Na jambo hili lipo kwenye madhehebu yote ya...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Mungu na shetani kushirikiana kumtesa Ayubu ni ushahidi tosha kama Mungu na Shetani ni Marafiki. ndio maana Mungu hamuui shetani mpaka leo

    Mungu aliruhusu Shetani kumjaribu Ayubu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Ayubu katika Biblia. Hadithi inaanza na Ayubu, mtu mwema na tajiri, ambaye anamcha Mungu kwa uaminifu. Shetani anapinga uaminifu wa Ayubu, na kumwambia Mungu kwamba Ayubu anamcha Mungu kwa sababy ya mali tu ila sio...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hili ni umbo la Malaika wa Mungu akionekana Kwa macho ya Damu na nyama

    Salaam, shalom!! Lengo la mada hii ni kuwasaidia wote waombao Kwa Mungu ulinzi wa kimwili na kiroho. Lengo lingine pia ni kuwaondoa HOFU wale waombao Kwa mashaka, ulinzi atoao Mungu Kwa mwanadamu ni mkubwa kuliko ulinzi apewao Mfalme wa tawala za WANADAMU. Turudi kwenye mada. ( 1 Mambo...
  20. Desierto

    JamiiForums Tanzania Tunatumia nguvu nyingi kumtafuta mungu ambazo hata hazihitajiki

    Katika Siku 7 je? Dhambi zinaweza kuondolewa kwa sasaa matatu? Ukisema ufuate sheria zote za katoliki ufakufa masikini maana itakulazimu kila siku uhuhudhurie kabisani. Je? Kwanini walitunga sheria ambazo kabisa walijua watu hawatazitimiza? Kuna watu wanatembea na bibilia au vitabu vya Quran...
Back
Top Bottom