mungu

  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nadharia yangu namba sita kwanini Mungu kamuumba binadamu juu ya uso wa dunia

    Nasisitiza kwa Mara nyingine tena, sikubaliani na fundisho la kwenye Bible na Qur'aan kwamba Mungu alimuumba mwanadamu ili amuabudu. Sababu zangu kuu ni mbili: 1. Hakuna uthibitisho wala dalili yoyote ile kwenye nature inayo suggest kwamba Mungu ametuumba ili tumuabudu. Ingekuwa huo ndio...
  2. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Njia 5 zinazotumiwa na Mungu kumtegemeza mtu anapoteleza/kuanguka

    Zab 94:18 SUV [18] Niliposema, Mguu wangu unateleza; Ee BWANA, fadhili zako zilinitegemeza. Fadhili za Mungu ni kubwa sana katika maisha ya mwanadamu, tunapozungumza fadhili za Mungu, ujue tunazungumza upendo wake kwetu na huruma zake, hatukustahili kabisa, lakini kwa upendo wake alimtoa...
  3. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Ewe Mtanganyika, ukimsikia Mtawanyika akisema hakuna Mungu, wala sala hazisaidii, mtizame usoni kisha utabasamu na uondoke zako.

    Wanajukwaa Kuna changamoto moja ya kiafya ilinipiga - yaani ilikuwa mwili nauhisi kabisa upo na shida ila nilivyoenda hospitali kama mara tatu kwa vipimo nikaambiwa sina shida yoyote. Ile hali ikawa inapelekea mimi kuwa mtu wa kulala lala tu, kazi zangu nazifanya kivivu, na kibaya zaidi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume wa kunioa

    Namuomba MUNGU Anipe mchumba na mimi ,Mimi mkristo mkatoliki mwanamke mvumilivu umri ni 29+, Libra, Sio mnene sana/Chaga Ni wa kawaida Sina Ugonjwa wowote Naomba kama kuna mwenye hitaji la mchumba tuchumbiane Akiwa Chaga inapendeza zaidi na hata wengine inaruhusiwa (hii ni kwa sabbu wengi...
  5. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Mama Samia, Mungu Akubariki Sana...

    Wakuu Leo Sipo Kisiasa Hata Kidogo, Japo Bado Ntamzungumzia Samia Kama Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania. Kwanza Mama, Mungu Akubariki Sana. Katika Vitu Hua Napenda Kuona Kwenye Maisha Yetu Ya Kawaida Basi Ni Hawa Viongozi Wetu Wa Juu Kujichanganya Na Sisi Hata Mara Chache Na Kupata...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mungu awatie Nguvu Jumapili ya leo

    Katika Jina la Yesu na wote tuseme, Amen.
  7. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Biblia imeandika Yakobo alipigana na Mungu usiku kucha na akashinda pambano hilo. Inakuwaje Mungu anapigana na anapigwa na kiumbe chake ?

    Ukisoma biblia katika kitabu cha Mwanzo 32 kuanzia mstari wa 22 mpaka mstari wa 32 Utaona mistari ikielezea jinsi ambavyo Yakobo Alipambana na Mungu 22 Usiku huo, Yakobo akaamka, akawachukua wake zake wawili, wake wake wawili wa kufanywa wake wa mitala, na wanawe kumi na mmoja, akavuka kivuko...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu wa Saudi Arabia: Tulichokiona leo huko Gaza ni fedheha kwa Uislamu, kitendo cha kumkufuru Mwenyezi Mungu

    Ila wanywa gahawa wa bongo wanawa brand kama mashujaa. SHAME ON YOU!!
  9. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Kuna mistari ya Biblia ukiisoma unakataa sio maneno ya Mungu

    Mfano : Matthew ( Mathayo) 10:34 imeandika "Msidhani ya kuwa nalikuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga." Inashangaza Mungu mwenye upendo anasema hajaja kuleta amani bali chaos Na Mathayo 10:35 imeandika "Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na baba yake, na binti na...
  10. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Namshukuru Mungu mno, hatimaye nina afya njema

    Salaam jamiiforum Mungu ni mwema kila wakati naweza kusema hivyo. Tarehe 13 mwezi wa kumi mwaka Jana 2024 nilipata ajali mbaya sana,tena mbaya mno. Hakika sikujua kama nitapona haswa baada ya daktari mmoja kuniambia nimeumia ndani Kwa ndani na X ray inaonesha upande wa mbavu ya kulia haipo...
  11. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Kama unapenda mwenyezi Mungu usipite hapa bila kulike hii thread na kucomment

    Kama unapenda mwenyezi Mungu usipite hapa bila kulike hii thread na kucomment "Asante Mungu"
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mungu yupo wapi?

    MUNGU YUKO WAPI? Mungu yuko kila mahali, mbinguni, duniani, na ndani ya waumini wake. Hii inaelezwa katika mafundisho mbalimbali ya Biblia: 1. Mungu yuko Mbinguni – Katika sala ya Bwana, Yesu anafundisha kusema: “Baba yetu uliye mbinguni…” (Mathayo 6:9), ikionyesha kuwa makao yake ya utukufu...
  13. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Kuoa wake/wanawake wengi ni baraka kwa Mungu

    Disclaimer: Haya si mawazo yangu, nimecopy na kupaste. ROHO WA NENO ANASEMA; Watumishi Wote Wanaozuia Watu Wasioe Na Kuolewa, Wanafundisha Mafundisho Ya MASHETANI... Na Hawa Hapa Pichani👇👇 Ni Baadhi Yao😠😠 #Wanawaaminisha Watu Kuoa Kwa Mwanamume Ni Mke Mmoja Tu. Na Kuwaambia Watu Ndoa Za...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Matukio ambayo nikikumbuka namshukuru Mungu naendelea kua hai mpaka sasa

    Dah Leo tumetoka kumzika rafiki yangu kipenzi Bado mdogo tu na alikua na potential kubwa tu ya kufanya mengi maishani, nimekaa nimewaza Sana nimekumbuka baadhi ya matukio ambayo nikikumbuka nabaki kumshukuru Mungu Kwa ulinzi wake mpaka muda huu, ntaleta kisa kimoja kimoja inform of episodes...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ahsante Mungu, Arab Contractors walikuja kipindi Cha JPM; Wangekuja kipindi Cha Samia hakika ingekuwa shida kubwa.

    Ni wajomba zake kutoka Oman ndo maana wamepata.........,.... Hapo amewaleta makusudi wajomba zake hao Ili wavune na wanyama wetu pia............. Nchi inauzwa hii.................... 2025 arudi kwao kizimkazi atuachie Tanganyika yetu.............. R.I.P JPM......n.k Ahsante sana Mungu, hakika...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Bwege: Samia sio Mungu / baba mkwe wa Mchengerwa atalipwa pensheni / hajajenga barabarani kodi zetu

    15 February 2025 Ikwiriri, Rufiji Tanzania BWEGE : SAMIA SIO MUNGU / BABA MKWE WA MCHENGERWA ATALIPWA PENSHENI/ HAJAJENGA BARABARA NI KODI ZETU https://m.youtube.com/watch?v=XUXq98MwL5E Kiongozi wa ACT Wazalendo mzee Selemani Saidi Ally Bungara almaarufu kwa jina, Bwege ametoa hotuba ya...
  17. Stroke

    JamiiForums Tanzania Tuombe Mungu sana watoto wetu wasijekuwa kama mwijaku maana huku alipofikia inasikitisha

    Huyu jamaa naona uchawa ndio kageuza ajira yake Rasmi. Inasikitisha namna mtu anavyojidhalilisha kusifia binadamu wengine. Naamini hata Mungu mwenyewe hapendi. Napenda kumshauri huyu ndugu atafute shughuli nyingine au anaweza fungua kampuni ya PR awe msemaji wa celebrities na watu wataohitaji...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Mnaonywesha pombe watu wa Mungu usingizini Mungu anawaona

    😭😭😭😭
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari Kwa Mtumishi wa Mungu B. Mwamposa

    Sina tatizo na siasa za nchi hii. Mimi kwangu ni sawa tu CCM wakiendelea kutawala hii nchi au CHADEMA wakapokea kijiti Sina Cha kupoteza. Ninachotaka ni maendeleo. Kwa mfano Mbeya watakuwa wendawazimu wakampa jimbo mtu mwingine yeyote wakamtema Tulia Akson Mwansasu bila kujali maendeleo makubwa...
  20. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Kila kitu ni mradi hapa duniani (project) na binadamu ni mradi wa Mungu pamoja na shetani these are making big Profits

    Yaani hapa duniani kila kitu ni mradi (project) ambayo ipo designed by God and evil. God and devil are the same Wote hawa ni kitu kimoja. Wanabariki Wanampa mtu utajiri na umasikini Wanatoa laana . N.k So usipokuwa makini you will hustle in vain forever Lazima ukae na hawa coordinator in...
Back
Top Bottom