mungu

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mungu ni mwema

    tusivchoke kuomba tutasikilizwa musa si mrefu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Anayeshambuliwa siyo Tundu Lisu bali kinashambuliwa “ Kibali” kilicho ndani yake, ilifanyika kwa Yusuf na Daudi pia!

    Chawa ndio watahangaika na ama ule wanaoita Uropokaji wa Tundu Lisu ama u much know wake lakini katika dunia ya Leadership hivyo ni vitu vidogo sana Wanaomshambulia Tundu Lisu wanapiga Vita Kibali alichonacho kwa sababu Werevu wa dunia hii huiangalia zaidi kesho yao na siyo Jana Ninajua Lisu...
  3. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mungu: Nimeiombea "graphics card" mbovu - imepona!

    Heshima zenu wakuu. Mada hii ni habari ya kweli kabisa. Kila mara huwa nasisitiza hapa kwamba uongo nauchukia kama ukoma. Hivyo unaposoma mada hii usifikiri ni chit chat au chai. Ni kweli kweli tupu. Haya, twende kwenye mada sasa. Kwanza namshukuru Mungu mambo ya IT hayajanipita kando. I can...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanazuoni wa Kiislam kutoka Palestine: "Mwenyezi Mungu anawaruhusu wanaume Waislamu kuwabaka wanawake wasio Waislamu ili kuwadhalilisha"

  5. JamiiForums Tanzania Mafanikio yanatoka kwa Mungu

    Njia sahihi ni kukaa kimya kwenye utulivu bila kelele wala sauti zozote. Sehemu ya utulivu.... Mwili Nafsi Roho Akili Mawazo Fikra Vyote kimya angalau nusu saa kwa siku.....ukiweza ongeza muda wa utulivu kwa kadiri utakavyo fanikiwa.....hapo ndio nguvu ya asili iliyomo ndani mwako itakapo...
  6. JamiiForums Tanzania Kuleni vyote, acheni kubagua bagua vyakula alivyoumba Mungu!

    Naamini umeishakutana na watu wasemao: “Mimi sipendi ndizi, sipendi dagaa, mimi sipendi parachichi, sitaki mboga fulani, sitaki kula chakula hiki wala kile, chakula changu ni chips mayai na soda.” Tabia hii ya kubagua bagua vyakula inapingana na hekima ya Mungu aliyeumba vyakula. Mungu sio...
  7. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hii Ndio Maana Halisi ya Usishindane na aliyebarikiwa na kupewa Kibali na Mungu

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza ukashindana na yeyote yule hapa Duniani katika jambo lolote lile. lakini kamwe huwezi kushindana na kumshinda Mtu aliyepewa kibali na Mungu katika Jambo fulani. Huwezi kushindana na Mbarikiwa wa Mungu.Huwezi kushindana na kusudi la Mungu. Huwezi kuuzuia wakati wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kiwango cha juu ya kumuamini Mungu ni kuishi kama Shetani hayupo kabisa Wala hakuhusu

    Vitabu vya kiroho Biko wazi, mamlaka yote yako chini ya Yesu. Hakuna kiumbe chochote mbinguni na duniani au kihai chochote popote kilicho juu ya mamlaka hii. Watu wengi wanaishi katika double power mindset. Yaani Wanaamini ziko NGUVU mbili zinashindana zenye uwezo unaokaribiana. Moja ya Mungu...
  9. JamiiForums Tanzania Polepole tumekuchoka na kelele zako. Kila siku kifo cha Magufuli, kifo cha Magufuli

    Abadani sijawahi kuendeshwa kwa mikumbo au mihemko. Am so smart physical and spiritual. Kila jambo lazima nilitafakari kijamii na kiroho. Magufuli alikufa kwa kisasi cha Mungu. Aliua watu wasio na hatia damu zao zikalia mbele za Mungu. Mungu akatuma mapepo ya COVID-19 ardhi ya Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Mungu akitujalia uzima, mwakani tutawajua dhahiri manabii wa uongo!

    Ndugu wapendwa, kama ilivyoandikwa katika Mt 24:11, hizi ni siku za mwisho; manabii wengi wa uongo wametokea na kuanza kuwadanganya wengi. Fuatilia Youtube na mitandao mingine utaona video nyingi za manabii wanaoeleza kwamba wameambiwa na Mungu waseme waliyoyasema. Miongoni mwa manabii hao ni...
  11. JamiiForums Tanzania Haya maisha! Kuna watu tunadhani wako bize na maisha, kumbe walishafariki kitambo. Mungu atulinde

    Jana kuna jamaa yangu mmoja tulisoma naye o level nilikutana naye ghafla maeneo ya SOWETO MBEYA tukawa yunajaribu kukumbushana mambo ya shuleni Maana ni muda hatujaonana tangu tumalize shule katika kukumbushana ndo tukawa tunajaribu kuwakumbuka baadhi ya wanafunzi Ile nimemta jamaa mmoja kwamba...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mungu anazungumza na Taifa Mungu anazungumza na watawala usiku huu

    Mungu ana zungumza na Taifa, Mungu ana zungumza na watawala hasa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Taifa la Tanzania. Mungu anasema tangu kuumbwa kwa dunia mpaka leo roho yake haijawahi shinda na mwanadam na kamwe hatoshindana na mwanadam. Palikuwepo na watawala wenye kiburi mpaka wakashindana na...
  13. JamiiForums Tanzania Hatimaye yule aliyekuwa akihubiri kwamba Yesu sio Mungu amenena wazi leo kuwa Yesu ni BWANA!

    Kwa muda mrefu, amekuwa akipaza sauti mtandaoni, akidai eti Yesu sio Mungu, hakufa msalabani, hakufufuka, na hata kudai kuwa kitabu cha Mathayo kimejaa upotoshaji. Amekuwa akijulikana kama mkosoaji wa Ukristo. Lakini leo ameushangaza ulimwengu! Ameandika mada mtandaoni yenye maneno yanayoonesha...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mungu ni neno la kiswahili

    Mungu ni neno...nikimaanisha ni muunganiko wa herufi M, irabu U , herufi N, herufi G na Mwisho Tena irabu U, ...neno hili ni ishara, ishara hii Ina maana...maana hii Mara nyingi huwa Ina taswira Fulani au mtazamo Fulani.... Mtazamo au taswira hii, huundwa kwenye akili...Na Mungu Mmoja yupo...
  15. 4

    JamiiForums Tanzania Rasmi katika mfungo wangu Mungu kanipa code ambayo inapatikana kileleni mwa mlima Kilimanjaro

    Amani ya Bwana ikawe juu yenu wana jf kila mmoja kwa imani yake . Nimekua kwenye maombi mazito sana juu ya taifa langu ,kuamukia leo Mungu wangu kanipa codes flani hivi ambapo itanibidi mimi mwenyewe kufika juu na kileleni mwa mlima Kilimanjaro. Naomba kujuzwa taratibu zote za kufuata ili...
  16. JamiiForums Tanzania Mungu akituchoma moto waafrika itakua double punishment hapa kwenyewe tunaishi jahanamu tayari

    Je MUNGU atakubali kutuchoma moto tena sisi waafrika? Hiyo sio double punishment? Toka mwanzo tunaiishi jahanam hapahapa duniani kutuchoma tena moto si utakua uonevu? Naomba MUNGU atusamehe sisi waafrika kama huo moto upo sisi tupewe msamaha kama special group au ww unasemaje? Eeh Mungu...
  17. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Mwisho itakua kwaajili ya Wachawi, Wazinzi na Wote Wanaofanya dhambi za machukizo mbele za Mungu

    Ndugu zangu, msidanganyike! Dhambi si mchezo, na kila dhambi inaleta madhara makubwa kwa mtu binafsi, kwa jamii, na kwa taifa. Wacha tuchambue kwa mwanga wa Neno la Mungu. 1. Wachawi Biblia inasema wazi, “Wala msijihusishe na wachawi.” (Walawi 19:31). Uchawi unaharibu kizazi kizima, unavunja...
  18. JamiiForums Tanzania Lissu aliwahi kusema ukiona watu wanasema wanamuachia Mungu ujue , Something is wrong

    Wajinga ambao hutumia fake I'd , key body warriors , Wamekaa, wakisuburi Polepole, Gwajima na Lissu wawapambinie. Ni ujinga mkubwa Sana huu. Lissu aliwahi kusema hakuna kumuachia Mungu.
  19. JamiiForums Tanzania Polepole: Mungu akituvusha, turekebishe viongozi wastaafu washtakiwe

    Humphrey Polepole amesema "Mungu akituvusha, turekebishe sheria ya viongozi wastaafu washtakiwe iondoke, hawa watu waanze kujibu tuhuma na matumizi mabaya ya madaraka wakati wako madarani"
  20. JamiiForums Tanzania Mnara wa babeli uliangushwa na kukosekana fizikia wala msimuweke Mungu

    Leo waafrika dini zimewapumbaza mfano mtu unajua siasa unajibiwa na mtengeneza muvi.Hapa ndio utambue kuwa hata mnara wa babeli uliangushwa na wachambuzi ambao akili zao zilikuwa ndogo kwenye ujenzi. Leo chawa ndio washauri wa kila jambo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…