mungu

  1. Setfree

    JF-Expert members - mnaujua ukweli huu? Maneno yote tunayosema na kuandika, Mungu anayarekodi. This is serious!

    Mada hii ni maalum kwa ajili ya JF-Expert members. Kuanzia leo, tambua kuwa maneno unayo-post humu, licha ya kuhifadhiwa na servers za JF, yanatunzwa pia kwenye "servers" za mbinguni. Yesu mwenyewe alisema, “Lakini nawaambia, katika siku ya hukumu watu watatoa maelezo kuhusu kila neno walilonena...
  2. Victor Mlaki

    Diamond Platnum, Nasib Abdallah: Kuna watu wanafanyakazi kulikowewe, ukiona umefanikiwa mshukuru Mungu

    Katika hali inayokera na kufedhehesha ni tabia ya mtu kujiona amefanikiwa kwa sababu anafanya kazi kuliko wengine wote, au wengine hawafanyi kazi kuliko yeye. Kufanikiwa hakupo hivyo hata kidogo na kama ingekuwa hivyo basi kanuni ya mafanikio ingekuwa rahisi sana. Mafanikio hayahitaji kelele...
  3. Setfree

    Naendelea kuamini kuwa Mungu hasemi uongo. Alisema ukiibariki Israeli, utabarikiwa. Ukiilaani, utalaaniwa. Ushahidi huu hapa

    Mungu alimwahidi Ibrahimu akisema: “Nitawabariki wakubarikio, na atakayekulaani nitamlaani” (Mwanzo 12:3). Kauli hii haikubaki historia tu, inajidhihirisha mpaka leo kwa mataifa na watu binafsi. Marekani ni mfano wa taifa la watu waliobarikiwa kwa sababu wanaiunga mkono Israeli. Tangu...
  4. fimboyaukwaju

    Rostam Mungu akulinde na akuzidishie utajiri

    Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako. Utajiri wa kiasi aliokuachia baba yako umeuendeleza kufikia hatua ya sasa una viwanda afrika,uarabuni na...
  5. S

    Nimeamua kumuamini Mungu lakini, sijaambulia chochote kwenye imani hii

    Habari zenu Ndugu zangu. Niliamua sasa nianze kumwomba Mungu ili nione kama maisha yangu yatapata ahueni lakini wapi. NB: Kazi nafanya na wala sitegemei miujiza , ila nilichofanikiwa ni kushika makalio ya hawa dada zetu na kupiga show, ambayo ni kawaida ya kila kiumbe hai wala si kitu cha...
  6. C

    Mungu ni mwema

    tusivchoke kuomba tutasikilizwa musa si mrefu
  7. J

    Anayeshambuliwa siyo Tundu Lisu bali kinashambuliwa “ Kibali” kilicho ndani yake, ilifanyika kwa Yusuf na Daudi pia!

    Chawa ndio watahangaika na ama ule wanaoita Uropokaji wa Tundu Lisu ama u much know wake lakini katika dunia ya Leadership hivyo ni vitu vidogo sana Wanaomshambulia Tundu Lisu wanapiga Vita Kibali alichonacho kwa sababu Werevu wa dunia hii huiangalia zaidi kesho yao na siyo Jana Ninajua Lisu...
  8. Setfree

    Maajabu ya Mungu: Nimeiombea "graphics card" mbovu - imepona!

    Heshima zenu wakuu. Mada hii ni habari ya kweli kabisa. Kila mara huwa nasisitiza hapa kwamba uongo nauchukia kama ukoma. Hivyo unaposoma mada hii usifikiri ni chit chat au chai. Ni kweli kweli tupu. Haya, twende kwenye mada sasa. Kwanza namshukuru Mungu mambo ya IT hayajanipita kando. I can...
  9. nzalendo

    Mafanikio yanatoka kwa Mungu

    Njia sahihi ni kukaa kimya kwenye utulivu bila kelele wala sauti zozote. Sehemu ya utulivu.... Mwili Nafsi Roho Akili Mawazo Fikra Vyote kimya angalau nusu saa kwa siku.....ukiweza ongeza muda wa utulivu kwa kadiri utakavyo fanikiwa.....hapo ndio nguvu ya asili iliyomo ndani mwako itakapo...
  10. Setfree

    Kuleni vyote, acheni kubagua bagua vyakula alivyoumba Mungu!

    Naamini umeishakutana na watu wasemao: “Mimi sipendi ndizi, sipendi dagaa, mimi sipendi parachichi, sitaki mboga fulani, sitaki kula chakula hiki wala kile, chakula changu ni chips mayai na soda.” Tabia hii ya kubagua bagua vyakula inapingana na hekima ya Mungu aliyeumba vyakula. Mungu sio...
  11. L

    GE2025 Hii Ndio Maana Halisi ya Usishindane na aliyebarikiwa na kupewa Kibali na Mungu

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza ukashindana na yeyote yule hapa Duniani katika jambo lolote lile. lakini kamwe huwezi kushindana na kumshinda Mtu aliyepewa kibali na Mungu katika Jambo fulani. Huwezi kushindana na Mbarikiwa wa Mungu.Huwezi kushindana na kusudi la Mungu. Huwezi kuuzuia wakati wa...
  12. matunduizi

    Kiwango cha juu ya kumuamini Mungu ni kuishi kama Shetani hayupo kabisa Wala hakuhusu

    Vitabu vya kiroho Biko wazi, mamlaka yote yako chini ya Yesu. Hakuna kiumbe chochote mbinguni na duniani au kihai chochote popote kilicho juu ya mamlaka hii. Watu wengi wanaishi katika double power mindset. Yaani Wanaamini ziko NGUVU mbili zinashindana zenye uwezo unaokaribiana. Moja ya Mungu...
  13. Samia atosha tukutane2030

    Polepole tumekuchoka na kelele zako. Kila siku kifo cha Magufuli, kifo cha Magufuli

    Abadani sijawahi kuendeshwa kwa mikumbo au mihemko. Am so smart physical and spiritual. Kila jambo lazima nilitafakari kijamii na kiroho. Magufuli alikufa kwa kisasi cha Mungu. Aliua watu wasio na hatia damu zao zikalia mbele za Mungu. Mungu akatuma mapepo ya COVID-19 ardhi ya Tanzania...
  14. Setfree

    Mungu akitujalia uzima, mwakani tutawajua dhahiri manabii wa uongo!

    Ndugu wapendwa, kama ilivyoandikwa katika Mt 24:11, hizi ni siku za mwisho; manabii wengi wa uongo wametokea na kuanza kuwadanganya wengi. Fuatilia Youtube na mitandao mingine utaona video nyingi za manabii wanaoeleza kwamba wameambiwa na Mungu waseme waliyoyasema. Miongoni mwa manabii hao ni...
  15. Hidden Diamond

    Haya maisha! Kuna watu tunadhani wako bize na maisha, kumbe walishafariki kitambo. Mungu atulinde

    Jana kuna jamaa yangu mmoja tulisoma naye o level nilikutana naye ghafla maeneo ya SOWETO MBEYA tukawa yunajaribu kukumbushana mambo ya shuleni Maana ni muda hatujaonana tangu tumalize shule katika kukumbushana ndo tukawa tunajaribu kuwakumbuka baadhi ya wanafunzi Ile nimemta jamaa mmoja kwamba...
  16. T

    Mungu anazungumza na Taifa Mungu anazungumza na watawala usiku huu

    Mungu ana zungumza na Taifa, Mungu ana zungumza na watawala hasa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Taifa la Tanzania. Mungu anasema tangu kuumbwa kwa dunia mpaka leo roho yake haijawahi shinda na mwanadam na kamwe hatoshindana na mwanadam. Palikuwepo na watawala wenye kiburi mpaka wakashindana na...
  17. Setfree

    Hatimaye yule aliyekuwa akihubiri kwamba Yesu sio Mungu amenena wazi leo kuwa Yesu ni BWANA!

    Kwa muda mrefu, amekuwa akipaza sauti mtandaoni, akidai eti Yesu sio Mungu, hakufa msalabani, hakufufuka, na hata kudai kuwa kitabu cha Mathayo kimejaa upotoshaji. Amekuwa akijulikana kama mkosoaji wa Ukristo. Lakini leo ameushangaza ulimwengu! Ameandika mada mtandaoni yenye maneno yanayoonesha...
  18. D

    Mungu ni neno la kiswahili

    Mungu ni neno...nikimaanisha ni muunganiko wa herufi M, irabu U , herufi N, herufi G na Mwisho Tena irabu U, ...neno hili ni ishara, ishara hii Ina maana...maana hii Mara nyingi huwa Ina taswira Fulani au mtazamo Fulani.... Mtazamo au taswira hii, huundwa kwenye akili...Na Mungu Mmoja yupo...
  19. 4

    Rasmi katika mfungo wangu Mungu kanipa code ambayo inapatikana kileleni mwa mlima Kilimanjaro

    Amani ya Bwana ikawe juu yenu wana jf kila mmoja kwa imani yake . Nimekua kwenye maombi mazito sana juu ya taifa langu ,kuamukia leo Mungu wangu kanipa codes flani hivi ambapo itanibidi mimi mwenyewe kufika juu na kileleni mwa mlima Kilimanjaro. Naomba kujuzwa taratibu zote za kufuata ili...
Back
Top Bottom