Morogoro: Mke adaiwa kula njama za kumuua mumewe ili aolewe na mwanaume mwingine

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
424
1,044
20231102_181731.jpg

Polisi mkoani Morogoro inamshikilia mwanamke anayetuhumiwa kula njama na kushiriki kumuua mumewe ili akaolewe na mwanaume mwingine kwa madai ya kutangaza dau kwa atakayetekeleza mauaji hayo kwa nia ya kupata uhuru wa kutimiza malengo yake ya kuolewa.

Chanzo: Azam TV

JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Holo Jilia (45), mkazi wa Kijiji cha Kilolero B, Wilaya ya Malinyi , mkoani Morogoro kwa tuhuma za kula njama ya kukodisha kijana na kumlipa ujira wa Sh 50,000 ili akamuue mumewe aitwaye Charles Maghashi (55).

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama amesema hayo Novemba 3, 2023 , kuwa tukio hilo lilitokea Oktoba 29 mwaka huu, ambapo mwanamke huyo na kijana aliyetambuliwa kwa jina la Maela Athanas (33), wote wakazi wa Kijiji cha Kilolero B , wilayani Malinyi wanashikiliwa kwa tuhuma ya mauaji ya Maghashi.

Mkama alieleza sababu kubwa iliyodaiwa kusababisha mauaji ya Maghashi ni ugomvi wa kifamilia baina yao.

“ Kutokana na ugomvi huo …basi mwanamke huyo anadaiwa alikula njama na kufanya hili tukio la mauaji, “ amesema Kamanda na kuongeza kuwa kwa uchunguzi wao Athanas ilikuwa alipwe Sh 900,000, ambapo alitanguliziwa Sh 50,000..

Kwa mujibu wa Kamanda, mtuhumiwa Maela Athanas anadaiwa alikwenda nyumbani kwa marehemu na kumkuta amelala sebuleni kwake na kuanza kumkata sehemu mbalimbali za mwili wake na kumsababishia kifo chake.
 
View attachment 2801580

Polisi mkoani Morogoro inamshikilia mwanamke anayetuhumiwa kula njama na kushiriki kumuua mumewe ili akaolewe na mwanaume mwingine kwa madai ya kutangaza dau kwa atakayetekeleza mauaji hayo kwa nia ya kupata uhuru wa kutimiza malengo yake ya kuolewa.

Chanzo Azam
Huyu Eunice ni kama amekuja kujitangaza hapa kuwa ni mhariri, mbona anakimbilia kujitaja wakati habari haijakamilika? Amesoma chuo gani huyu?
 
JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Holo Jilia (45), mkazi wa Kijiji cha Kilolero B, Wilaya ya Malinyi , mkoani Morogoro kwa tuhuma za kula njama ya kukodisha kijana na kumlipa ujira wa Sh 50,000 ili akamuue mumewe aitwaye Charles Maghashi (55).

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama amesema hayo Novemba 3, 2023 , kuwa tukio hilo lilitokea Oktoba 29 mwaka huu, ambapo mwanamke huyo na kijana aliyetambuliwa kwa jina la Maela Athanas (33), wote wakazi wa Kijiji cha Kilolero B , wilayani Malinyi wanashikiliwa kwa tuhuma ya mauaji ya Maghashi.

Mkama alieleza sababu kubwa iliyodaiwa kusababisha mauaji ya Maghashi ni ugomvi wa kifamilia baina yao.

“ Kutokana na ugomvi huo …basi mwanamke huyo anadaiwa alikula njama na kufanya hili tukio la mauaji, “ amesema Kamanda na kuongeza kuwa kwa uchunguzi wao Athanas ilikuwa alipwe Sh 900,000, ambapo alitanguliziwa Sh 50,000..

Kwa mujibu wa Kamanda, mtuhumiwa Maela Athanas anadaiwa alikwenda nyumbani kwa marehemu na kumkuta amelala sebuleni kwake na kuanza kumkata sehemu mbalimbali za mwili wake na kumsababishia kifo chake.

Habarileo

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Waluguru hata kwa buku wanaondoa uhai wako, hao jamaa sio watu kabisa. Wako kama wazanaki, mzanaki kama anakudai elfu 10, yuko tayari alipe mtu elfu 15 aje kukuua usipolipa deni.

Huyo alipewa 50k alipewa hela nyingi sana. Tegemea hapo amefanya kazi yake kwa umakini mkubwa sana maana ujira ni mkubwa sana.

Waluguru, wakaguru sio watu.
 
Back
Top Bottom