Numerous computer and video games have been inspired by J. R. R. Tolkien's works set in Middle-earth. Titles have been produced by studios such as Electronic Arts, Vivendi Games, Melbourne House, and Warner Bros. Interactive Entertainment.
Nimekutana nayo jana hii nilipomsindikiza jamaa kumsalimia mama wa mwanamke aliyezaa naye. Jamaa lina miaka 56 halafu binti aliyemzalisha ana miaka 24 na mama wa binti ana miaka 49, Mtoto wao sasa ana miaka mitatu.
Changamoto niliyoikuta ni kwenye salamu, binti hakumpa jamaa shikamoo lakini...
Nimeshuhudia ndoa zikivunjika kwa tatizo la uzinifu baina ya mke au mume wa mtu. Na madhara makubwa huenda hasa kwa watoto ambao hawahusiki na kosa la mzazi mzinifu.
Mzinifu wa kike unatakiwa utambue ukiachika sehemu za Siri zitaenda kuumia na kuchakaa zaidi huko mtaani kuliko hapo kwa mumeo...
Mume anaoa ili atimiziwe haja za ngono na huduma nyingine za msingi za nyumbani ikiwemo kupikiwa chakula, kufuliwa nguo, kutandikiwa kitanda.
Mke anaolewa sababu ya kutafuta usalama wake na kuhudumiwa kwa mahitaji yake yote wakiwemo wazazi wake.
Kama haupo tayari USIOE wala KUOLEWA. Endelea...
Imagine unaolewa na mwanaume
1. Handsome
2. Ana elimu
3. Uchumi wa kati
4. Anabusara.
Na kubwa zaidi ni rijali hasa kunako 6*6.
Wengi wa mtaani utakua ana elimu na uchumi atleast. Ila ni mbaya wa sura na umbo, ana mitabia ya ajabu ajabu, na busara hana kabisaaaaa. Ni kama primate.
Am proud to...
Kuna rafiki yangu ameniomba ushauri nimekosa cha kumshauri
Yeye ana mtoto mmoja ni single maza.kapata mwanaume ana watoto 3 .boys
Anataka wafunge ndoa kabisa. Sasa anawaza Bora apambane na mwanae mmoja au Bora aolewe akapambane na WA nne?
Uchumi WA jamaa ni WA Kati na yeye mwanae analea...
Kwa mtazamo wa sasa juu ya ndoa na mahusiano ya kimapenzi, kuna ukweli mchungu ambao wengi hawataki kuukubali hadharani: bila mchepuko, ndoa nyingi za siku hizi hazidumu kwa amani wala furaha. Kabla hujanihukumu au kunishambulia, tafadhali nielewe vizuri. Sipromoti usaliti, bali najaribu...
Nimesikitika baada ya kusoma thread ya member humu anayeitwa Marry Diana jinsi anavyoilalamikia jamii forum na member wake kwamba watu wengi humu ni wabaya kusema ukweli nimeumia sana hivi unakuaje mwwnamke mzuri na brain woman wanamkosea hivyo? Ila ninachomuambia huyu member Marry Diana ya...
Mabinti wawili walikua wanapiga story ndani ya daladala:
Binti 1: je ungependa mume wa aina gani ?
Binti 2: Awe bilionea ..! 🙄
Binti 1: Je ukimkosa ? 🤔
Binti 2: Awe milionea ..! 🙄
Binti 1: Je asipopatikana ? 🤔
Binti 2: Awe japo na laki tano ..! 🙄
Ghafla mvuta bangi mmoja akiwa kajilaza...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, akimbusu mke wake Mariamu, wakiagana naye kabla ya kuingia bungeni kuwasilisha hotuba ya taarifa ya makadirio, mapato na matumizi ya wizara hiyo, jijini Dodoma, leo Mei 16, 2025.
Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa..
Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade).
Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema...
Ktk swala la wao kuvumilia muda mrefu bila kushiriki tendo wanetuzidi wanaume.lakini pale wanaposema mume hata akisafiri muda mrefu si tatizo ni uongo hawawezi hao. Ieleweke wazi hapa sisemi kwamba huyo mwanamke atachit hapana.Ila kiakili na ile kumic kuwa karibu humfanya asikubali mwezake awe...
Mume wangu tajiri wa kusini nakupenda sana jamoni yaani bila wewe siwezi kuishi japo wewe ni tajiri ila umeamua kujishusha,kunihudumia,kunilinda na kunijali jamoni wewe ndiyo umenifanya nione thamani ya Maisha tena baada ya kutendwa mume wangu Tajiri wa kusini hivi nimpende nani zaidi yako...
Naomba kufahamu, kama kesi ilienda mahakama ya kadhi na TALAKA ikatoka kupatiwa mke, Je wakiridhiana wanaweza rudiana, au nini hatma yake!?
Nawasilisha
Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu.
Tunaenda kwa maandiko hakuna...
Mume na mke wakazi wa Kijiji cha Gidimadoy, Kata ya Maga, Tarafa ya Haydom, Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, wamehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano jela na kulipa faini ya Shilingi milioni tatu kila mmoja kwa kosa la kuwakeketa watoto watatu yatima wa familia moja.
Watoto hao walikuwa...
Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu.
Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi yake nikajua huyu hana heshima kuanzia nyumbani kwao, hanifai.
Alinipigha alivyotoka mpirani amelewa...
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan Abdallah, nahitaji mume miaka 40-70 ambaye anajua wajibu na majukumu yake kwa mwanamke wake, familia yake.
Nicheki WhatsApp kwa ajili ya maongezi zaidi. 0711297086.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.