muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Jambo muhimu ambalo sehemu kubwa ya jamaa haifahamu kuhusu ugonjwa wa MPOX

    Ugonjwa wa MPOX unaenezwa kwa njia ya ngono. Hii siyo njia pekee isipokuwa kwa kiasi kikubwa watu wazima wanapata ugonjwa huu katika mchakato wa ngono au tendo la ngono lenyewe. Vimelea hukaa katika majimaji ya mwili (ute wa mwanamke, mbegu za mwanaume, damu, mate n.k) wa binadamu au mnyama...
  2. youngkato

    JamiiForums Tanzania Kwanini (Matangazo ya kulipia) Paid Ads Ni Muhimu kwa Biashara Yako?

    Kama unategemea tu kupost status au content bila kulipia matangazo, basi upo kwenye hatari kubwa. Organic reach ya leo ni ndogo sana! Unahitaji nguvu ya PAID ADS kama unataka kufikia watu wengi haraka. Kwanini (Matangazo ya kulipia) Paid Ads Ni Muhimu kwa Biashara Yako? 1. Unawafikia watu...
  3. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwenye Injili ya Utoto ya Thomas (Infancy Gospel of Thomas), hadithi hii isiyo kanoni inasimulia matukio matatu muhimu

    Laana na kifo cha rafiki Yesu akiwa na miaka mitano alicheza kando ya mto, akakusanya maji kwenye dimbwi na kutengeneza ndege za udongo. Mvulana mwingine alipougia dimbwi lake, Yesu alimlaani na mara moja mwili wa mvulana huyo ukaanguka na kwenda maji – alikuwa amekufa kwa papo hapo. Wikipedia...
  4. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo waliodhalilishana wameudhihirishia umma kuwa elimu ya VETA ni muhimu kuliko elimu ya Chuo Kikuu.

    Ukweli mchungu! Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko. Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa. Wakirudi majumbani...
  5. UHURUWANGU

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana Watanzania waelewe kuwa: MADARAKA HAYANA KINGA YA MILELE, NA MADHARA YA MFUMO MBOVU HUMRUDIA KILA MMOJA — HATA HAO 'CHAWA' WANAUTETEA.

    UJINGA UNAOPEWA JINA: PROPAGANDA YA KISIASA MTANDAONI Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuzwa kuwa uwanja wa vita vya fikra. Lakini vita hivi si vya kuikomboa nchi bali vya kuilinda dhulma na kuzuia hoja za msingi kwa kutumia matusi, kejeli, na uongo. Kila siku...
  6. PamojaTz

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa vitabu muhimu.

    Ukihitaji kununua softcopy ya vitabu hivi tafadhali wasiliana nasi kwa WhatsApp 0737317870 au jambojambo633@gmail.com Personal Finance Books. The Total Money Makeover – Dave Ramsey → Kinaeleza mfumo wa hatua kwa hatua wa kudhibiti madeni, kuokoa pesa, na kujenga utajiri kwa nidhamu kali ya...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Bodaboda ni Nguzo Muhimu ya Uchumi, Si Chombo cha Maandamano

    Bodaboda ni Nguzo Muhimu ya Uchumi, Si Chombo cha Maandamano Katika jamii yetu ya sasa, waendesha bodaboda wamekuwa mhimili mkubwa wa usafirishaji, ajira, na ustawi wa kiuchumi kwa mamilioni ya Watanzania. Wakiwa na mchango mkubwa katika kutoa huduma ya usafiri mijini na vijijini, sekta hii...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati muhimu Tanzania toka uhuru

    Huu ni wakati muhimu Tanzania toka uhuru. Kwana wengine wanaweka utani lakini waelewa wanajua huu ndiyo wakati hasa mashujaa wa karne hii watatokea. Si punde watu wataamka usingizini na kuona haya
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Naona kama ni fedheha kwa msomi kukaa bungeni muhula mzima bila kuteuliwa waziri japo sio lazima wala muhimu na jimboni pakiwa pakavu tu hakuna kitu

    Yaani watu wa kawaida tu bungeni wanafanya kazi nzuri kwenye majimbo yao, wanafanya kazi nzuri wanapopewa dhamani serikali kuu, wanahamishwa kutoka wizara moja kwenda nyingine, huku wasomi na ubobevu wao wakishindwa hata kua na ushawishi wa kua wenyevikiti wa kamati za bunge, na jimboni pake...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana kuitambua na kuiogopa Dola, Serikali sio Dola. Dola ni dubwana la kuogopa

    Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali ) Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...
  11. adriz

    JamiiForums Tanzania Mahojiano na Sky News : Msemaji mkuu wa serikali ya Israel kujibu maswali muhimu aliyoulizwa

    Moja kwa moja. Juzi juzi nilikuja na mada chini hapo kuhusiana na tukio la IDF kuua watu wanaotoa Huduma za kitabibu Gaza wakiwa kwenye ambulance na kueleza uongo wao katika taarifa ya awali waliyotoa kuhusiana na tukio hilo amabalo sasa hivi limezidi kuchafua taswira mbaya ya IDF baada ya...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure Chadema: Moja shika sii Kumi nenda rudi! Hoja ya Reforms japo ni hoja ya msingi sana kufanya maandalizi ya Uchaguzi ni busara muhimu!

    Wanabodi, Declaration of Interest Mimi Pascal Mayalla,ni Mtanzania, mwana jf na ni mwanachama wa chama cha siasa na sio Chadema, ila kwa vile Chadema inagharimiwa kwa fedha zangu,paid by taxpayers money,hivyo the taxpayers have all the rights and powers kujadili jambo lolote la Chadema over...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini ni muhimu sana kufanya Meditation.!

    Shalom Wapendwa. Katika kutafuta utulivu wowote wa kile ambacho unacho na kile ambacho hauna unashauriwa kufanya kitu inaitwa Meditation. Binadamu wengi wanasumbuliwa na Attachment katika mambo mbali mbali , hivyo kupelekea kuumia ndani kwa ndani . Attachment - ni kushikiria Vitu au WATU...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

    Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
  15. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Huyu mdau muhimu yupo wapi? Isije ikawa amepotezwa

    Yu wapi huyu mwamba kwenye hili jukwaa la siasa? Isije ikawa amepotezwa au amepatwa na janga si kawaida yake hata kidogo. Ni mtu pekee anayependwa na CHADEMA NA CCM leo ni muda sasa haonekani akipost na matukio makubwa yanatokea yupo kimya. johnthebaptist upo wapi chifu?
  16. baggio23

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ubunifu Bora ni Muhimu kwa Biashara Yako ! Wasiliana nasi leo GraphixPro Wakali wa Graphic designing Tanzania

    📢 Kwa Nini Ubunifu Bora Ni Muhimu kwa Biashara Yako? Ubunifu mzuri si anasa—ni silaha ya mafanikio kwa biashara yako! 🎯 ✅ Unakutofautisha na washindani ✅ Inavutia wateja zaidi ✅ Inajenga uaminifu ✅ Inasaidia kuuza zaidi 🚀 GraphixPro tunakusaidia kuboresha chapa yako kwa ubunifu wa hali ya juu...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uhuru ni muhimu lakini Uhuru wenye Mipaka

    UHURU NI MUHIMU LAKINI UHURU WENYE MIPAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kila kiumbe kinahitaji UHURU. Zaidi viumbe wenye utashi Uhuru kwao ni Moja ya mambo MUHIMU na ya lazima katika maisha yao. Kwa Sisi Watibeli, Uhuru ni Jambo Pana ambalo ndani yake lazima lisimamiwe na lifafanuliwe...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Muhimu kila mtumiaji wa kompyuta anapaswa kujua

    Mambo 10 Muhimu Kila Mtumiaji wa Kompyuta Anapaswa Kujua Teknolojia inakuwa kwa kasi, na kompyuta imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu—iwe kwa kazi, elimu, au burudani. Hata hivyo, ili kuhakikisha kompyuta yako inafanya kazi vizuri kwa muda mrefu na unakuwa salama mtandaoni, kuna mambo muhimu...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nasikia Gari la 'Actress' sasa yoyote mwenye Leseni anaweza Kuliendesha kwa wakati huu muhimu asiligonge tu

    Yuko busy sana kutengeneza Scenes mbalimbali za Movies zake zijazo ikiwemo ile Kubwa atakayoizindua Oktoba au Novemba.
  20. N

    JamiiForums Tanzania Ushaur muhimu unahitajika wakuu,

    Kuna jamaa,yuko kwenye mahusiano na binti mmoja wamezaa na mtoto wanaishi pa1. Mwanamke wake waliyezaa nae ana mtoto mwingne tayar alizaa kitambo huko kabla hajakutana na mwana ,hata baba hajulikani enewei Huyu dada ana mapungufu meng according to jamaa,controling,ukali,wivu na mambo meeng...
Back
Top Bottom