muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Vifaa Muhimu vya kuanzia Biashara ya ufundi simu

    Habari za wakati huu wana jukwaa. Mimi ni kijana ninaetazamia kuanza biashara ya ufundi simu kuanzia tarehe 1.4.2025 Nilikua naomba kwa wazoefu mchanganuo wa vifaa pekee vya kuanzia biashara upande wa hardware na software muhimu za kuwa nazo. Itapendeza kama utaweka na bei ili niangalie...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Siasa inaendesha Maisha yetu ya kila siku, ni muhimu kujiandikisha Kupiga Kura

    Ally Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga anatoa maoni yake kuhusu Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura: Wapo wanaoamini Kadi ya Kupiga Kura sio muhimu kwao na kwamba ni jambo la Kisiasa lakini ukweli ni kuwa Siasa inaendesha Maisha yetu ya kila siku, hivyo ni...
  3. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Ukishiriki tendo na mtu usiyeelewa afya yake zingatia mambo haya muhimu

    Ukishiriki tendo na mtu humwelewi afya yake zingatia haya 1. Tumia condom 2. Tumia condom 3. Tumia condom Ikiwa kwa sababu yoyote ile imeshindikana kutumia condom, basi hakikisha unaenda kituo cha afya cha hapo karibu watakupa dawa kinga za kuzuia maambukizi, dawa zinaitwa PEP. Ila lazima...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tuache utani, hivi inawezekanaje CCM na Serikali wakaupotezea msiba wa mtu muhimu sana kwa Taifa kama Profesa Sarungi?

    CV ya Profesa haihitaji kuelezewa sana. Huyu ni mtu, msomi wa mwanzoni kabisa wa nchi yetu, cream of the cream. Mtu aliyehudumia nchi yetu na wananchi, kwa moyo, vipaji na kwa nyadhifa kubwa kubwa. Mtu ambaye ni muasisi wa Kitengo cha MoI. Leo ukisikia maelfu ya vijana wanaopata ajali za...
  5. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Nukuu Muhimu za kuzingatia

    NUKUU KUTOKA KWA WATU WENYE HEKIMA 1. “Gereza kuu ambalo watu wanaishi ndani yake ni hofu ya kile ambacho wengine wanafikiria.” — David Icke 2. “Jihadharini na wale wanaoomba msamaha haraka sana; mara nyingi wanafanya hivyo ili kumaliza mazungumzo, si kwa sababu wanamaanisha kuwa wamekosea.”...
  6. Mshangazi

    JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna wanaume wanazama chumvini?

    Mimi ni mmoja wa shuhuda wa tabia zetu wanawake ambavyo zimepoteza speed governor. Hasa sie tunaoitwa single mother. Lakini leo kuna jambo nimekutana nalo na nikatamani kutaka kujua hivi bado kuna wanaume wanafagia nyumba zao kwa ulimi kabla ya kuingia ndani..? Au hata baada ya kutoka.
  7. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba haikufanya mazoezi uwanja wa Jamhuri Morogoro ikapoteza mechi muhimu

    Kuna watu wanachukulia poa utaratibu na haki iliyopewa timu ngeni kufanya mazoezi katika uwanja utakaochezewa mechi siku moja kabla ya mechi. Wachezaji wanapokuwa wamefanya mazoezi katika uwanja wa vita watakaoenda kuutumia, hili ni suala la kiufundi na linasaidia kuandaa wachezaji kimwili na...
  8. Faana

    JamiiForums Tanzania Matukio makubwa muhimu angani mwaka huu 2025

    Yafuatayo yatakuwa matukio ya kiastronomia mwaka huu 2025
  9. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Youtube Channeli inauzwa. Imekidhi vigezo muhimu

    Habari! Kuna Youtube Chaneli inauzwa. Inasubscribe 14700, ipo kwenye malipo na imetoa pesa mara 3 hadi sasa. Bei yake ni 3,300,000. Kama unahitaji basi Unaweza nicheki PM kwa mawasiliano zaidi! Asanteni!
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni muhimu Zelenskyy kuvaa suti White House ila sio viongozi wengine?

    Mojawapo ya maswali aliyoulizwa Zelenskyy leo na watu wa Trump katika mkutano wa hovyo wa waandishi wa habari wa Trump na timu yake ni kwa nini havai suti Oval Office/Ikulu ya Marekani! Aliyemuuliza swali alisema Wamarekani wengi sana wanatatizwa na kitendo cha Zelenskyy kutokuvaa suti akiwa...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anapooa ni lazima ni lazima kuzingatia uwezo wa kiuchumi, kielemu na kidini kwa familia ya mwanamke anayemuoa???

    Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???. Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu. Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana...
  12. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Tips muhimu kwa online dating

    Haya ni baadhi ya mambo muhimu kuzingatia kwa wadau wa online dating au utafuta wa marafiki na wachumba mitandaoni. - Hakikisha unapata picha kamili ya huyo baby unayewasiliana nae huko mtandaoni, picha ile ya utosi hadi unyayo. Ukiona huyo baby wako wa online hataki umuone yukoje, hapo tayari...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wanachopitia Chadema ni muhimu kwa taifa nzima

    Wanachopitia Chadema ni muhimu kwa taifa nzima 1. Kutaa kununuliwa kwa pesa kupitishwa kwa baadhi ya viongozi na wame wa Covid 19 2. Kuanza kutafuta utaratibu wa kujiendesha bila kutegemea serikali 3. Kufikiria sheria na taasisi na sio chaguzi pekee. No reform no election hata kama uchaguzi huu...
  14. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Kipi kilichokufanya ukashtuka kujua kumbe ulikuwa unafanyiwa ushirikina na hatua gani ulichukua?

    Karibuni wakuu, Watu wamefanyiwa ndumba sana hadi kufanya mambo yao yaharibike, wengine walishtuka ila wengine ndio hivyo mazima walipotea katika giza waliloletewa
  15. snipa

    JamiiForums Tanzania Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

    Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho. McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo wa kutengeneza pesa nyingi kuliko Mungu, akiwa na Lockheed Martin kwasabu ya kutengeneza black...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Singida yaanza bila nyota wake muhimu dhidi ya Yanga, Marouf Chakei hayupo Kikosini kabisa

    Wakuu Singida Black Stars imefanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake kinachoanza dhidi ya Wananchi, Young Africans Sc katika dimba la KMC Complex. Wachezaji wazawa 7 wamepewa nafasi ya kuanza huku wakali kama Ande Cyrille, Arthur Bada, beki kitasa Anthony Tra Bi Tra, kiungo Morris Chukwu...
  17. majam19

    JamiiForums Tanzania Kijana jifunze kutambua nyakati 4 muhimu katka mahusiano

    Leo nimeona valentine isiwe kinyonge sana Kwa sisi vijana nmekuja na kitu kinaitwa timing Kijana jua neno timing ambalo uhusiano wake na time Timing ya jambo Fulani ili ulifanikishe ni lazma ulifanye ndani mda sahihi hapa namaanisha (time) Kwahyo majaribu kuhusianisha maneno haya jinsi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania IDM ni software muhimu, kwanini watu wengi hata wenye uwezo kiuchumi hawataki kuinunua wapo tayari kuteseka na matoleo ya kuchakachua yanayosumbua

    Unaweza kuwaelewa watumiaji kama wanafunzi kutumia matoleo ya kuchakachua ila inakuwa too much mtu anaitumia idm miaka zaidi ya 10 na uwezo anao bado hataki kuinunua anakomaa na matoleo ya crack yenye changamoto nyingi kuanzia virus, ujumbe kutokea mara kwa mara wa kuinunua, ku expire, n.k.
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri Wenu ni Muhimu nimechanganyikiwa

    Daah nimepoteza kazi.. akiba nina 1.3 million kodi nimeshalipa miezi sita naishi na ndugu zangu wawili mimi ni mjuzi wa Computer software.. Nssf nina 22million wameniambia nikae miezi 18 ndo watanipa hela tangu yote kwa sasa wanipa asilimia 33% ya mshara wangu kigezo kuwa nina Elimu...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zaituni Shabani Salum wa ZAMHSO: Elimu ya Afya ya Akili ni nguzo muhimu kwa kizazi chetu

    Katika kuendeleza mradi wa kutoa Elimu ya Afya ya Akili Shuleni Zanzibar, Taasisi ya Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO) inaendelea kufanya juhudi kuhakikisha inafikia shule zaidi ya 50 Kisiwani Unguja kama ilivyo sema hapo awali pia kufikia zaidi ya Wanafunzi 5,000. Wahusika...
Back
Top Bottom