muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    Rais Samia Mulika DAWASA, CEO wao hana uwezo, Wakandarasi na Wazabuni muda mrefu hatujalipwa

    Moja ya shirika linalohitaji reshufle kubwa sana ni DAWASA. watendaji wamezoea kufanya kazi kwa mazoea. CEO wao ndio usiseme. Hana uwezo, anaishi kwa mazoea ya awamu ya tano.... kisa he was favorite Zaidi ya wakandarasi 20. Wazabuni 14 wanaidai shirika hilo toka December mwaka Jana. na wengne...
  2. Hatimaye Mahasimu wa Muda Mrefu Jay Z na Nas wamekutana tena kwenye Album ya Dj Khaleed

    Wimbo unaitwa SORRY NOT SORRY. Mpaka sasa nimeskiliza kipande cha Nas tu, navuta pumzi nimsikilize Jay. Licha ya bifu lao au mgongano kuisha toka miaka ya 2006 lakini hadi leo hii, wapenzi wa utamaduni na muziki wa Hip Hop hawaishi kuongelea msuguano huu uliotokea kwenye Album ya Nas...
  3. Muda wa Hersi Saidi na GSM kuulizwa uko wapi ubingwa,bado?!!!

    Kwa mwenendo wa ligi ulivyo ni dhahiri Simba Sc imeshakuwa bingwa wa VPL,tena amekuwa bingwa mara 4 mfululu. Ili Yanga awe bingwa inabidi Yanga afunge mechi zake zote 7 zilizobaki na Simba Sc apoteze mechi 4. Ni never ever. Sasa basi, wakati ligi inaanza Eng.Hersi aliwaaminisha wana Yanga...
  4. Ni muda muafaka sasa Rais Samia kuanza safari za Ulaya na Marekani

    Wakati wa kupigania Uhuru Nyerere ilibidi asafiri kwenda ulaya na Marekani kuhutubia umoja wa mataifa ili aaminiwe apewe uhuru. Kwenye njaa ya mwaka 1984 nyerere pia alipanda ndege kwenda kuomba msaada wa chakula na akapewa mahindi ya yanga. Uku nchini kwake akiendelea kuwaimbisha watu siasa...
  5. Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

    Kwanza kabisa ni wanachama wenzake ambao walishazoea kupiga madili makubwa. Hawa walishazoea kukwapua mabil ya shilingi na wao huona kama wamekwapua shilingi elfu moja. Hawa walishamchukia sana kwa kuziba mianya yao ya upigaji. Pili ni wanasiasa wa upinzani ambao baada ya kusambaratisha vyama...
  6. Muda umefika sasa Tanzania na Zanzibar kuungana

    Habari wadau..! Msema kweli ni mpenzi wa Mungu licha ya ka degree kangu nilichonacho na kukalili vizuri Civics na History na kupata A bado Muungano sija uelewa. Binafsi naona kama Tanganyika na Zanzibar hazijaungana bali zina mashirikiano katika baadhi ya mambo. Nashauri sasa Tanzania (sio...
  7. Kimbunga Katrina kilikuwa na speed ya 174MPH, Kimbunga Jobo kitapiga kwa speed ya 30MPH, je , kuna haja ya kupoteza muda kukijadili?

    Ni ukosefu wa kazi za kufanya au ni nini? Picha ni kama zinavyojieleza hapo chini.. Update: https://www.jamiiforums.com/threads/updates-kimbunga-jobo-chafikia-kilometa-76-mashariki-mwa-mafia-chasafiri-kwa-kilometa-20-kwa-saa.1863353/...
  8. M

    Kuna muda huwa nashindwa kabisa kuwaelewa Waafrika dhidi ya Marais wao waliowaumiza na kuwaongezea Umasikini mkubwa walionao sasa (leo)

    Hivi Rais kama Idriss Deby wa Chad ( sasa Marehemu ) Kwanza amedumu Madarakani kwa miaka 30, Katesa na Kuua sana Watu, Kaharibu Demokrasia nzima ya Chad, kazaa na Wake za Wateule wake, alikuwa Mkabila na Mdini, kapendelea mno Kwao, wala hakujali Wafanyakazi wake kwa Kuwaongezea Mishahara yao...
  9. Chadema mlishapigwa bao la mkono waacheni akina Halima wale bata, kelele zenu ni kupoteza muda

    Kichwa cha hanari chajieleza. Maana kwa chama makini kabisa baada ya kuona katiba ikisiginwa basi ilikuwa ni muda muafaka wa kwenda mahakamani na kupinga kuapishwa kwao na wao kuwa wabunge. Mbowe na Mnyika walichukulia poa na kuliona hilo tukio kama la kawaida. Na kwa sababu walishazoea...
  10. H

    Kuvuka muda wa kuchoma dozi ya pili ya chanjo ya homa ya ini (hepatitis B)

    Salamu waheshimiwa. Nilipata chanjo ya homa ya ini (hepatitis B) dozi ya kwanza tarehe 26/3/2021, nikaambiwa nirudi kupata dozi ya pili baada mwezi mmoja yaani dozi ya pili natakiwa nipewe tarehe 26/4/2021 Kwa bahati mbaya sana nipo mbali na hospitali kwa sasa, ninauliza je nikichelewa wiki...
  11. Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

    Jeshi la Chad limetangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi. Deby alienda mwishoni mwa wiki kuvitembelea vikosi vya nchi hiyo ambavyo vinapambana na waasi kaskazini mwa nchi hiyo. Waasi hao wamevuka mpaka wakitokea Libya. Kifo...
  12. Mwendazake alitumia muda mwingi kuwatukana wengine, sasa ni malipo yake

    Heshima yenu wakuu Kinachotokea kwa sasa mitandaoni, bungeni na mitaani ni matokeo yaliyopandwa na mwendazake. Bungeni kuna mmyukano mkali, mitandaoni ndio hakufai. Wapo wanaomponda mwendazake na wapo wanaomsifia. Jambo moja la kuweka kichwani ni kuwa mwendazake alipokuwa hai wasifiaji na...
  13. Kuna muda unakata tamaa mpaka mwisho ila baadae unakuja kupata njia

    Natumaini ni wazima wa afya ndugu zangu, Apr 2016 zinatangazwa nafasi za jtk kwa kujitolea mjomba anauza ng'ombe mmoja kwa 600k anahonga unapata nafasi, unapangwa kikosi flan cha jkt. Unafika kikosini mnaambiwa as you where mrudi nyumbani mpaka pale itakapotangazwa tena. Unarudi nyumbani...
  14. Sioni faida ya Bunge hili kwa Wananchi, sio kwa uwakilishi wa kero zao wala kuisimamia Serikali, livunjwe tusipoteze muda

    Ni dhahiri hili bunge linaweza kuwa Bunge lisilo na tija kwa wananchi tangu nchi yetu imepata uhuru. Hata bunge la Chama kimoja enzi hizo wala halikuwa kama hili la sasa Kitendo cha kufanyia 'figisu' wapinzani na kuwabeba wagombe wa Chama kimeleta madhara makubwa sana kwa Taifa letu ...
  15. B

    Narudi nyumbani, Kama mtakuwa na muda mji organize tukutane airport

    Niliondoka kidogo nikaenda Sweden, Canada, USA, UK, Egypt, Dubai na South Africa. Nikarudi tena Canada kwenye moja ya nyumba zetu. Nilipata habari za msiba kabla haujatangazwa sababu Ubalozi uliona ni vyema kuwaambia Raia zake kinachoendelea. Hivyo tukaondoka kuepuka matatizo kama yangetokea...
  16. Baada ya muhula huu, Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kuchaguliwa kushika kiti hicho mara moja

    Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na marekebisho yake yote, baada ya mhula huu mfupi wa urais wake wa kurithi kwa mujibu wa masharti ya Ibara ya 37(5), Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kuchaguliwa tena kwa mhula mwingine mmoja. Ibara ya 40(4) ambayo ndiyo inahusika...
  17. Ukichelewa kuoa unapunguza Muda

    Naam! Ukichelewa kuoa unapunguza muda wa maumivu na mateso ya kujitakia bila sababu! Kama ni watoto utawapata kwa single mother! Nikifikisha miaka 45 ndio nitaanza kujifikiria kama kutakuwa na ulazima wa kuoa ama hapana! Kama waliooa wake zao kila siku wanapishana maghetto ya wajuba mimi ni...
  18. Nina milioni 25, naweza kuwekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi?

    Nina milioni 25, naweza wekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi? Wadau mawazo yenu Tafadhali. Mchango wa mdau Pia soma: Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?
  19. Watanzania tukubaliane na Zitto Kabwe, kumpa muda Rais Samia

    Ni ukweli usiopingika kuwa mfumo uliopo sasa hivi unaoongoza nchi yetu ni mfumo uliosukwa na hayati Magufuli, hivyo siyo rahisi kwa rais aliyepo kuoneasha mabadiliko makubwa na ya kushangaza yanayoweza kuwa tofauti na mtangulizi wake. Hivyo baada ya muda fulani ambapo atakua kafanya mabadiliko...
  20. Kama Mtanzania namshauri Spika Ndugai kuwa huu si muda wa vijembe na utani kwa kina Mbowe. Tujibu hoja chafu za awamu iliyopita

    Nimemsikia Spika wetu akibeza baadhi ya viongozi wa Upinzani na wengineo kuwa hawakufanya lolote wakiwa wabunge akiwemo Mh. Mbowe na wengine. Ati Hai sasa ndo imepata Mbunge wa kuisemea! Nimejiuliza mengi kama Mtanzania kuwa tunataka kujenga nchi ya aina gani? Tutaendelea kuudanganya Ulimwengu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…