MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Ndugu zangu Watanzania,
Nafikiri polisi wangemkamata pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa akiishi Humphrey Polepole ili aweze kulisaidia jeshi la polisi katika uchunguzi wake.
Aeleze ni lini alimpokea na mkataba wake ulianza lini na amekaa kwa muda gani na walionana lini na kama walikuwa na...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),. Tundu Lissu, inaendelea leo, Jumatatu Oktoba 06.2025 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam ambapo kwa mara ya kwanza Mahakama inatarajiwa kuanza kusikiliza ushahidi kutoka upande wa...
Hii kampuni Haina hata miaka SITA sokoni lakini imefanikiwa kuwapoteza wakongwe kama kina sport na embassy na kina safari chap kwa haraka..sawa inawezekana bei ikawa rafiki kwa wengi lakini hata marafiki zangu maboss TU wame switch kutoka sport OG mpaka Winston.
Kuna magari mengi sana yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Haijafahamika mara moja kama ni viongozi wa kiserikali ama ni wanajeshi.
Sasa wewe lala upitwe!
Mwenyekiti wa Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania (TAS), Godson Mollel, amemsifu mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa namna alivyowajali watu wenye ulemavu katika kipindi cha karibu miaka mitano akiwa madarakani...
Hawa wahuni na Genge lao , Suala la Maandamano limewatikisa sana .
Wamekaa kikao na kukubaliana kua, Wawakamate Top Officials wote wa CHADEMA wawekwe Ndani ,wake nao mpaka Huu Uchaguzi wao waloupanga Oktoba 29 upite, Kisha wawaachie .
Hofu ya Wapuuzi Hawa ni kudhani kwamba Viongozi Hawa wa...
Habari za muda hope mko poa
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ,nauliza kozi ya uaskari ni muda gani wakuu msaada isije ikawa napangwa maana kuna raia (ke) tulipanga kuoana this year ila ananiambia anataka akapige kozi ya uaskari miezi 6 ila swala la kuoana tutasogeza mbele vipi wakuu hapo
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amekutana na vijana wa jimbo hilo na kujadili nao changamoto mbalimbali zinazowakabili.
Katika mkutano huo, vijana wengi waliotoka katika timu tofauti za mpira wa miguu wamesema kwa mara ya kwanza watashiriki...
Habari wakuu wote nawasalimu
Kumekua na changamoto kwenye swala upatikanaji wa hati miliki kutoka wizarani, Kwa utaratibu uliopo ni hivi
Mtu anapotaka kumilikishwa ardhi inabidi awe na
1) Mkataba wa mauziano + Mkataba wa asili
Hii mfano kama umenunua kiwanja kutoka kwa kampuni ama mtu...
1. Atawatumia wachezaji waliopo bila shida. Kama alimtumia chasambi na balua hawa atawapeleka
2. Takwimu zinambeba kuwa na matokeo makubwa mno kila akiachiwa timu kuliko kocha yeyote wa nje.
3. Anaijua vizuri Simba kwa sasa.
4. Try Again hayupo. Ambaye kila Ajira ni dili kwake simba.
Naomba...
Iwe mahusiano, uchumi utawala, sayansi na teknolojia nk.
Funzo bora katika maisha ni lile linalokupata ukahangaika nalo mwisho wa siku ukavuka "tunajifunza Kutokana na makosa etc." sasa je wewe umepata funzo gani hapa duniani?
Tizama hii video na karibu utushirikishe kwa chochote kile
Kwenye mahusiano ni ngumu kumpata mtu aliyenyooka kila mtu anavipengele vyake , utajikuta kila siku unabadilisha mtu , inatakiwa upime, kuna tabia zinazoweza kuvumilika na zisizoweza kuvumilika unaangalia ni nani ana unafuu
Mtoto anapokua mchanga ananyonya sana na kukesha usiku, inafikia hatua mama anaumwa hadi kiuno. Kama wanaume wangekua na maziwa, wangesaidiana katika kulea na kunyonyesha mtoto. Mambo yangekua mepesi kidodo.
Sikosoi mpango wa Bwana, am just thinking.
Kuna kitu kilichokuwa kimekosekana nchini..
Furaha ya kweli, Furaha ya asili
Furaha halisi
Furaha at free will..! Furaha ya hiari
Watu Leo wamerindima na kufefea vibe kama lote toka moyoni
Makusanyiko ya hivi karibuni pamoja na kuwa na rangi yenye kumaanisha uhai.. Lakini yalikuwa...
Habarini wakuu
Husika na kichwa cha habari hapo juu hiyo thread naimani wengi mna ikumbuka.
Guys hiyo siyo chai kwanza sina hizo tabia za kuleta vitu vya uongo watu wapoteze nguvu zao kunishauri.
Nilivyoleta hiyo thread wengi mlinishauri kwa namna mlivyoona inafaa kwa namna mimi nilivyokuwa...
https://www.youtube.com/watch?v=gO-dZiTtIVQ
Updates....
Polepole: Mtu fulani ofisi binafsi ya rais anamkosea sana mama Samia, anamchomekea maneno fulani ya uongo na kuchukiza kwa watu
1: THE GOOD SHEPHERD
Mwamba anachukuliwq kutoka chuo ili kuwa sehemu ya CIA, anaanzia kazi nyumbani kugundua maspy wa kinazi marekani hadi kupelekwa ujerumani kupambana na maspy wa kirusi. Jamaa ni mtiifu kwa CIA hadi ilifikiwa wakati alimuua mchumba wa mtoto wake baada ya kugundua ni spy...