MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
HALI HIYO IMEPELEKEA BAADHI YA WALIMU KUKOSA FEDHA ZA KUJIKIMU NA KUPELEKEA KULALA MADARASANI KUTOKANA NA KUKOSA FEDHA ZA KODI.
PIA WALIMU WENGI TUNANAISHI MBALI NA FAMILIA ZETU KWANI TULIKOSA FEDHA ZA KUSAFIRISHA FAMILIA NA MIZIGO YETU.
Anonymous
Thread
fedha
jana
kagera
katika
mkoani
mpaka
muda
mwaka
mwezi
ngara
walimu
wilaya
wilaya ya ngara
zaidi ya
Wakuu tusubiri madini kutokea Kanda ya Nyasa hapo saa 7
https://www.youtube.com/watch?v=uKYw8JinUVc
===
Sugu anabainisha kuwa hadi hakuna hatua zozote zilizochukuliwa licha ya watu kupotea akiwemo Deus Soka na wenzake. Aidha ameeleza kuwa dola imeendelea kuonesha ubabe kwa kufanya mambo...
Kwanini ukiwa unamfikiria mtu na yeye muda huo huo anakuwa anakufikiria .
Kabla haujampigia anakupigia au vise versa yake , unajua inasabaishwa na nini hali hii !?
Usiondoke hapa ! Namaliza kula nakuja.
Hapa ndo utajua umuhimu wa kuwa na positive thinking .
Ndugu zangu Watanzania,
Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana.
Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na sentensi kwa sentensi. Nimeona ni kama Askofu Gwajima kavurugwa akili yake au kachanganyikiwa au...
Kila Muhula wa Rais mpya wananchi wanasiasa huponda kwakila jambo linalowagusa,
Lakini Rais amalizapo tu miaka yake ya uongozi watu umkumbuka nakusema Bora yake kuliko huyu wa Sasa😁
Hata huyu wa Sasa ngoja amalize miaka yake utasikia milio namapambio yawale wale waliombeza
Umegombea ubunge Kigamboni Chama kikakupiga chini, ukachangia mil.100 Kwa jina la Yanga kelele zikatoka Kila mahali kukshambulia. Katikati ya kelele hizo bila kupima madhara yake ghafla unajikeza kuchukua fomu upigiwe Kura na bado wamefyeka jina. Hii siyo speed ya kawaida brother. Binadamu ana...
Mimi sio nabii ila kama Ronaldo hajamsainisha babe mama wake Georgina mkataba wa prenup kulinda assets zake kabla ya kufunga ndoa na mrembo huyo.
Yatamkuta yale ya Birdman kwa mshangazi Toni Braxton au ya mastaa wengine wa kiume.
Birdman alijaa kwenye mfumo. Baada ya kuwa kwenye mahusiano na...
https://vm.tiktok.com/ZMAetPYNh/
https://www.youtube.com/live/WhVsx0zxeh0
Updates;
CCM kufanya harambee kama hizi kuna faida na hasara lakini hasara inakuwa kubwa sana. Kwamaana chama kinatekwa.
Kuna watu wanapenda kusifu tu hata rais afanyi kazi wao ni kusifu tu muda wote, kwahiyo mimi...
Ni zaidi ya miaka 2 sasa mbolea za YARA ukiulizia kwa wauzaji hawataki kuuza kwa Ruzuku, wanadai hawalipwi kwa wakati na wananunua “cash” na wao wakiuza kwa ruzuku pesa yao inachelewa sana kulipwa. Ukiwapigia YARA sio rahisi kuwapata hata simu zao ni changamoto kupokelewa na wakipokea kwa...
Wajomba na Mamshangazi habari zenu.
Mahusiano yanachangamoto nyingi sana, ukiona mahusiano yako yamesimama imara na hujawahi pitia changamoto kama hizi siku ikikukuta utatamani kuzimia.
Baadhi ya mahusiano yanapitia changamoto hizi.
1. Kunyamaziwa kimya kwa siku 2 hadi 3
2. Kujibiwa majibu...
Bwana Zitto tangu akiwa chadema amekuwa akipata ufadhili wa kifedha wa Rostam. Uswahiba wao umeendelea zaidi hata wakati wa sakata la fedha za ESCROW ambapo zitto alikuwa upande wa Standard Chartered Hongkon yenye uhusiano na Rostam.
JPM hakumpenda zitto maana alimjua ipasavyo vile vile...
https://www.facebook.com/share/v/1GoS18PVZh/
Updates Polepole
Wale mnanitafuta acheni tu mimi ninaongea kama Mtanzania na kama mwana CCM
Hekima ingewaongoza viongozi wetu kuleta Tanzania pamoja katika kuelekea uchaguzi. Wagombea wa CCM kiti cha urais wamejilazimisha kuwa wa gombea wa CCM.
Ndugu Byabato usiendelee na hizo dharau za kusema unaweza kuwachagulia wananchi wa Bukoba mjini Mbunge .
Kuwa makini Sana wala usithubutu kuingia katika huo mtego wa kushindana na Mwenyekiti wa chama na kamati kuu waliokukata.
Wakuu,
Hayawi hayawi sasa yamekuwa CPA Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa.
Ajenda bado haijajulikana ila pengine anatangaza majina ya walioteuliwa rasmi kwenye mchakato wa wagombea wa CCM
Kaa karibu na uzi huu kujua nini kitajiri
Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay rushwa alizotoa kuongoza kura za maoni inatisha. Mwenyekiti wa kitongoji moja alipewa mpaka Sh. Milioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.