Mtoto anapokua mchanga ananyonya sana na kukesha usiku, inafikia hatua mama anaumwa hadi kiuno. Kama wanaume wangekua na maziwa, wangesaidiana katika kulea na kunyonyesha mtoto. Mambo yangekua mepesi kidodo.
Sikosoi mpango wa Bwana, am just thinking.