muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa

    Wakuu, Hayawi hayawi sasa yamekuwa CPA Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa. Ajenda bado haijajulikana ila pengine anatangaza majina ya walioteuliwa rasmi kwenye mchakato wa wagombea wa CCM Kaa karibu na uzi huu kujua nini kitajiri
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rushwa aliitoa mbunge wa jimbo la Mbulu Mjini aliyemaliza muda wake Zakaria Isaay inatisha; wakati TAKUKURU wapo, vyombo vingine vipo; nchi imetekwa!

    Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay rushwa alizotoa kuongoza kura za maoni inatisha. Mwenyekiti wa kitongoji moja alipewa mpaka Sh. Milioni...
  3. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ni muda mrefu sana Sumaye hajaonekana hadharani wala kusikika, kulikoni?

    Sio kwenye matukio ya kijamii, kisiasa wala kidini, Sumaye hajaonekana wala kusikika. Hatukuwahi kuzoea hivyo kwake. Kulikoni?
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole amjibu Rostam: Ulitaka nikae muda gani CCM ili ndio niwe na uhalali wa kuongea?

    Wakuu, Baada ya kuambiwa kuwa hana uhalali wa kuzungumzia masuala ya CCM maana hana muda mrefu katika chama hicho, Pole pole leo amejotokeza kuhoji kuwa walitaka akae muda gani katika chama hicho ili ndio aweze kukosoa Polepole anasema kuwa kuna wanataka wambague kwa sababu ya hoja ya kutokaa...
  5. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Mitandao wa FACEBOOK na YOUTUBE ina shida muda huu. Hii ni sababu ya SIASA au ni nini?

    Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi. Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi. Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole amjibu Rostam Aziz na kuongelea kuvuliwa kwake Ubalozi

    https://www.youtube.com/live/dn9GFRy874c?si=sThD_It5uyI8Jnm-
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tazama moja ya kati ya magoli bora kuwahi kufungwa na mchezaji bora wa muda wote (G.O.A.T).

    https://youtube.com/shorts/Nn26KMIKlQ8?si=9zurt8sqvi8j87R1
  8. Adharusi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Upinzani ni muda wa kuungana na kuunda UKAWA Part II, tofauti zenu wekeni kando

    Vyama vya upinzani niwaombe turejee kwenye UKAWA I ule wa mwaka 2015 ulitusaidia kuleta wabunge wengi bungeni,na kiasi fulani watanzania waliona tija ya upinzani kwa sababu muda umekwenda mnaweza kukubaliana baadhi ya maeneo mkaachiana majimbo,na nafasi ya Urais,kama kweli mna nia ya dhati...
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo wamteua Luhaga Mpina kama mgombea Urais wa chama hicho

    Wakuu, ACT Wazalendo wana jambo lao leo. Kaa karibu na uzi huu kupata updates mbili tatu https://youtube.com/live/eLJsZyyV4DU?feature=share Hali ilivyo kwenye Ukumbi wa Mkutano Mkuu wa ACT Wazalendo unaofanyika leo Agosti 6, 2025, Mliman City Jijini Dar es Salaam, katika Mkutano huo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Termination on fixed contract/ kufungua shauri CMA kwa mwajiriwa mwenye mkataba wa muda maalum

    Habari za leo wadau na wajuzi wa sheria Naomba msaada wako wa kisheria Ikiwa nimeachichwa kazi isivyo halali nilikua na mkataba wa mwaka moja Ambapo ulianza mwaka jana, Nimeachishwa kazi mwaka huu kabla ya miezi 4 ya mkataba wangu kuisha na sababu zilizotolewa sio sahihi na procedures...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ni muda sahihi Kwa waliokosa nafasi za ubunge na udiwani waende veta

    Baada ya kura za wajumbe kufanyika waliokosa nafasi za kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi wa 10.29.2024 katika ngazi za ubunge na udiwani Kwa Sasa ni muda muafaka wa wao kwenda Veta
  12. McLaren

    JamiiForums Tanzania Nashauri China itengwe! Ugonjwa wa Chikungunya walipuka nchini humo, visa 7,000 vyaripotiwa. Marekani yatoa onyo

    Wakuu, Kwanini China kila ugonjwa mbaya unaanziaga huko? Baada ya COVID sasa umekuja huu mwingine unaitwa Chikungunya na kuna watu 7,000 tayari wameathirika. Mnaonaje China ikatengwa ili mambo yasiwe mengi? ============================================== Zaidi ya kesi 7,000 za virusi...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Aisee kongole sana kwa AI, kuna vitu imenipa solution wmbavyo labda ninge gharamika pesa na muda kuvipata

    Kuanzia tiba, marekebisho, mpangilio, garden yangu, etc Mimi natumia GROK a.i, wewe mwenzangu unatumia a.i ipi?
  14. Determinantor

    JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole aendelea kuibomoa CCM. Asema 'Huwezi kuridhiana na mwizi'

    Najua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole.... https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
  15. 26 Life

    JamiiForums Tanzania Code za kugundua mdada anayejiharibia mwenyewe halafu anaamini wahuni wanampotezea muda

    Anakataa kila mwanaume wa kawaida kwa maneno ya “Siwezi date mtu asiye na gari.” - Wewe mwenyewe una miguu ya bure, lakini unataka gari ya mtu mwingine? Utasikia anasema “Mimi siwezi teseka na mwanaume. Nimejitambua.” -Toka huko, ulijitambua kwenye TikTok au? Wanaulizaga “What can you do for...
  16. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mbona kama wamekanyaga moto, hawatulii muda wote ni mwendo tu shida nini wakuu?

    Mbona watu wa Dar muda wote wako mbiombio? Shida nini hasa? Ni kama wamekanyaga kaa la moto! Kifupi imenishangaza sana. Yaani muda wote watu wa Dar wapo resi. Kila mtu ni fulu mwendo. Utaona watu hawa wanaingia kwenye madaladala wengine wanaingia shop almradi muda wote watu wapo kwenye...
  17. HIMARS

    JamiiForums Tanzania China kuivamia Taiwan muda wowote - Makamu Wizara NJE Taiwan

    Makamu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Taiwan asema kuwa China iko karibu kuivamia, hii inatokana na mitikasi ya China kuizunguka Taiwan hivi karibuni. Je Taiwan itaweza mzuia China asifanye jambo lake? China atakubali aibishwa na Taiwan? Je washirika wa Taiwan watamsaidia?
  18. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa nguruwe unalipa: Huu ndio muda sahihi wa kuanza! 🐖💰

    Katika harakati zetu Rubaba Media kuelimisha na kushauri wakulima na wafugaji kote nchini, tukishitikiana na Koudijs safari yetu ya hivi karibuni ilitufikisha mkoani Mara — hasa maeneo ya Tarime, Nyamongo, na vitongoji vyake. Tulikutana na wafugaji wapya na waliopo tayari waliodhamiria kwa dhati...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hela cash ukiificha sehemu unakuwa na hofu muda wote unahisi umeonekana ukiwa unaificha

    Kuna zile moment unakuwa na hela nyingi ghafla halafu ulizimiss kushika mkwanja mrefu sasa kuziacha Katika account NI kama roho hairidhiki unatamani uzishike shike uzioneone yaani uwe nazo karibu cash Tu mambo ya tozo na makato na miamala kwa muda uyasahau. Sasa kimbembe kinakuja pale sehemu...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Old version ya checker ni muda tu unahesabika katika stopwatch

    Taifa huru linaundw na katiba iliyo bora Muda wa installation ya new version ya checker unahesabika,hakuna mtu atakaye amini tukio la ajabu toka nia kuundwa na waasisi wenye assigning number one,ambao kete zao zenye assigning number zimeshapigwa,hakuna atakaye amini awe rice promax one ,au...
Back
Top Bottom