Kwa mujibu wa katiba yetu ambayo ina halalisha uwepo wa muhimili uliojichimbia zaidi, mahakama ni sehemu ya chombo cha dola.
Ni kwa sababu hiyo japo mahakamani kulipaswa kuwa ni sehemu huru na kimbilio ambako haki ingetegemewa kupatikana si nadra kwa polisi au mamlaka kutishia kuwapeleka watu...