mtu

  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu aliepo Morogoro, Ifakara anipe ABC za mchele sasa hivi?

    Natumai wote mko sawa humu ndani. Naombeni msaada mtu yeyote au mfanyabiashara yeyote aliyepo Dar anipe maelekezo vizuri kuhusu mchele. 1. Bei zipoje sasa mashineni 2. Je ni kweli muda si mrefu bei zitashuka na zikishuka huwa zinafikia bei gani 3. Usafiri mpka dar kwa kilo mia bei gani na...
  2. JamiiForums Tanzania Cha mtu ni cha mtu tu, jirani yangu kahama na mke wake jana

    Nimesikitika sana kweli mtegemea cha jirani hufa masikini. Niliwazoea sana hasa huyo mke wake ilikuwa lazima atamtuma beki tatu aniletee msosi kwenye hotpot.
  3. JamiiForums Tanzania Ukiachana na UKIMWI, ni ugonjwa gani wa maambukizi Mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote??

    Wakuu Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus. Magonjwa yasiyoambukiza -magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure magonjwa ya moyo. Swali je ni ugonjwa gan wa vimelea mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote?
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigullu Nchemba: Hatuwezi kumuacha mtu awe tajiri kwa kukusanya pesa za Watanzania

    Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu ameshawahi kupona vipele vya ndevu?

    Habari zenu wajuvi, naombeni msaada kama kuna mtu (watu) amesha wahikupona vipele vya ndevu vile vinavyo otaga maeneo ya shingo anisaidie yeye alitumia dawa gani kuvimaliza. Kwasababu vimenitesa kwa muda mrefu yaani kuna muda nakosa amani kwanza vinawasha balaa wakati wa usiku, nimesha tumia...
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu aliyeko Uganda Kampala

    Habari nahitaji mtu aliepo Uganda Awe na uzoefu wa masuala ya teknolojia na social media. Pia awe kijana mchangamfu yani kijana wa mjini ukipewa kazini unafanya kwa uhakika.
  7. JamiiForums Tanzania Kujua mtu aliyekupigia kwenye Line ya Tigo kama haukuwa hewani

    Wakuu nahitaji Kujua Kama kuna namna ya kuset ili Kujua mtu aliyejaribu kukupigia wakati haupo hewani kwenye mtandao wa tigo
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ni mimi peke yangu? Nilikuwa na marafiki wa nguvu lakini kadri navyozidi kuwa mtu mzima nauona urafiki sio kitu cha kukipa sana uzito

    Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana Kwa sasa nina 36, nimeanza kuona hata hao wachache wa karibu ni kweli tunajuliana hali, kutembeleana...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza wajuvi, mtu aliyekaa miezi 18 bila kuajiriwa, alivyorudi mfuko wa hifadhi ya jamii ilikuwaje?

    Wakuu habari, Sheria ya kikokotoo kwa watumishi waliokuwa na ajira rasmi ipo wazi. Ikitokea mtu amekosa ajira kwa sababu yoyote ile isiwe ya kuacha mwenyewe, sheria inaelekeza alipwe 33% ya mshahara wake kwa muda wa miezi 6. Kisha asubiri miezi 18 kama hajapata ajira nyingine amwandikie...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mohamed Mchengerwa kuanza ziara kesho mkoani Morogoro

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mtu Kazi) kesho Jumatatu Mei 20, 2024 ataanza ziara mkoani Morogoro kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za maendeleo na kutatua kero za wananchi. TAMISEMI ni Wizara Injini ya Taifa inayomgusa kila...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna mtu ameshawahi kupona ugonjwa wa Homa ya Uti wa mgongo hapa Tanzania?

    Wakuu nauliza hivo na sababu!! Homa ya uti wa mgongo au meningitis
  12. JamiiForums Tanzania Ni kiasi gani cha hasara ulisababishiwa na ukaamua tu kumsamehe muhusika

    nimekaa nikawaza kwa jinsi nilivo na wakati mgumu sasahivi huku nikifikiria kuwa shida yangu kwa sasa inaweza tatuliwa tu kwa laki mbili, lakini kuna mtu ameweka mamilioni benk au wamechimbia chini au mara nasikia jinsi watu wanavokula na kuishi kwa kupata kila kitu kwa kodi zetu huku sisi...
  13. JamiiForums Tanzania Haya Wewe mwana 'Group O' Mwenzangu pitia hapa ili ujijue Kitabia Wewe ni Mtu wa aina gani

    Kwa mujibu wa Mtaalam wa Afya ( Daktari ) na Mwanasaikolojia aliyekuwa akizungumza Channel Ten ( ipo YouTube ) kwa wala Matomaso ( Wasiotaka ) Kuamini wakajiridhishe ni kwamba amesema kuwa Dunia inaendeshwa na Watu wenye Damu ya Group O na kwamba bila wao ( ambao ni 40% ) ikilinganishwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Nani ni maarufu sana eneo unaloishi? Nini chanzo cha umaarufu wake?

    Katika Kila mtaa hua Kuna mtu mmoja ke au me anakua na umaarufu Mkubwa Sana na nguvu ya ushawishi either kwa mabaya au mazuri. Anaweza kua mcheza mpira, kibaka, Malaya, bondia, mwanasiasa, mfanyabiashara, tapeli, mchawi au vyovyote vile. Mi naanza na huyu.. Hapa Nyakato bana Kuna jamaa mmoja...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbeya: Wakili aelezea kilichotokea sakata la Mkurugenzi City Casino anayetuhumiwa kumnyanyasa kingono mke wa mtu

    Suala la Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia, Vasil Dosev Dimitrov kudaiwa kuwatishia kuwaua Wanahabari wawili waliokuwa wakifuatilia madai kuwa anatuhumiwa kumfanyia unyanyasaji wa kingono aliyekuwa mtumishi wake wakike ambaye pia ni mke wa mtu, uchunguzi bado unaendelea...
  16. JamiiForums Tanzania Vimba sana tembea na mume wa mtu au mke wa mtu kaa kwa kutulia, Karma is Real and Her other Name is a Reciproca.

    Shalom, Kula shoo ya mume wa mtu kula shoo ya mke wa mtu ila ukweli ni kwamba malipo ni hapahapa Duniani. Karoge kajizindike but karma has no prevention. Na karma inachagua yenyewe uje kwa namna ipi na huwezi kuihuisha na matendo yako, unazaa mtoto mlevi mvuta bangi, wakati wewe ulikuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kweli mchekeshaji Leornardo ana huu uwezo mkubwa wa kufikiri au kuna mtu nyuma ya kamera?

    Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la kuteka attention za watu?
  18. JamiiForums Tanzania Si lazima mtu afe ndiyo mtaa upewe jina lake

    Hakuna shaka kwamba Mama Maria Nyerere, atadumu katika historia kama mke wa mwasisi wa Taifa letu. Kama ukili wetu ukiona mafanikio ya mwanamme basi nyuma yake kuna mwanamke mwenye busara. Tusingoje Maria afe ndo tumpe mtaa.
  19. JamiiForums Tanzania Kutofanya mapenzi kwa muda mrefu kuna athari zipi kwa mwanaume?

    Twede kwenye hoja moja kwa moja wakuu wa afya Kama mpo naomba mnipe elimu ya kina. Mara kadhaa nimekua nikisoma makala tofauti tofauti kuhusu afya kwa upande wa jinsia za kike sijabahatika kuona Mahala kumeanikwa madhara anayoweza kupata mwanaume endapo hajafanya mapenzi /ngono kwa mda mrefu...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta Mtu wa masoko

    Habari Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) Mashara : 300k ~ 400k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako. Piga : 0678650509
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…