aBuwash
Senior Member
- Dec 26, 2023
- 132
- 254
Natumai wote mko sawa humu ndani.
Naombeni msaada mtu yeyote au mfanyabiashara yeyote aliyepo Dar anipe maelekezo vizuri kuhusu mchele.
1. Bei zipoje sasa mashineni
2. Je ni kweli muda si mrefu bei zitashuka na zikishuka huwa zinafikia bei gani
3. Usafiri mpka dar kwa kilo mia bei gani na ushuru pia
Kitu kingine wafanyabiashara wenzang wa mchele huo mchele wa 1200 munautoa wapii mbona mimi sielew nautafuta siupatii
Halafu wateja wangu wa mbagala ni hali ya chini na mimi nina supa nisaidieni jamni kwa hilo