mtu

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini mtu mwenye miguu kama hii haruhusiwi kujiunga na jeshi ?

    Hii imekaaje kitaalamu
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo humu kila mtu tajiri..ila ningewapa conection za wateja na namba zao!

    Haya mchongo huo hapo msije sema sijawasanua.
  3. JamiiForums Tanzania Totozi kama hizi ni nouma

    Totozi kama hizi kama hauna inch za kutosha , bora uachane nazo ni upotevu wa pesa yako 🤔 Hizi ishia kuzilia nyero kwenye chudai tu , okoa kibunda chako kwa wivu mkubwa sana👇
  4. JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

    Habari wakuu. Hivi ulishawahi kupenda mtu,yaani mpaka wewe mwenyewe hujiamini kama upo naye ,ukiombwa chochote , unatoa bila kupepesa macho, na hata kama huna unashindwa kusema, hivi ulitokaje kwenye huo mtego kuna ndugu yangu anaangamia hapa !
  5. JamiiForums Tanzania Sasa ni zamu ya influencer, Kila mtu atafikiwa na Utawala Batili wa CCM

    Ni swala la muda.. Kila mtu atatoa mlio.. Walijua Machawa wapo sallama. Muuaji hana rafiki. Tuliwaasa, achaneni na CCM kwani washapoteza uelekeo. Akili za wanaccm sasa hivi ni kuua, kuteka, kubambikiza kesi, Vitisho, unyanyasaji na ufisadi. Watu walijua hii kitu inawahusu CHADEMA, sasa kila...
  6. JamiiForums Tanzania “Cha mtu mavi

    “Cha mtu mavi” ni methali fupi lakini kali sana ya Kiswahili. Haimaanishi kinyesi halisi; inazungumzia ubinafsi na dharau kwa mali, haki au maslahi ya wengine. Kwa kifupi: kilicho cha mwingine huonekana hakina thamani, lakini changu ni cha thamani kuliko vyote. Tafsiri ya kisaikolojia Binadamu...
  7. JamiiForums Tanzania Ufunuo: Ninafadhaika Kuona kwamba Mtu mwingine anaenda kupotezwa

    Ipi hivi wakuu kuna kuanzi mimi mwenyewe au mtu mwingine, kutakua na watu wawili watasaidiana katika kutekeleza unyama/ukatili dhidi ya haki ya binadamu kuishi. Mtu huyo kimuonekano ni anaafya njema sana na nikama alikua na maisha mazuri na pengine hakua akiishi nchini bali nchi zenye uchumi...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kesi Dhidi ya Lisu: Wakili Mwenye Uwezo Mdogo, Katuga Aambiwa na Shahidi Mnyika, Asikilize Majibu Kama Mtu Mwenye Utimamu wa Akili

    Majibu ya John Mnyika yanadhihiridha uwezo mkubwa wa akili wa John Mnyika dhidi ya maswali yasiyo na weledi ya Katuga. Sijui kwa nini serikali inapendelea kuwa na mawakili matapeli wa taaluma!! Angalia maswali machache ya wakili duni wa serikali kwa shahidi mwenye akili kubwa John Mnyika...
  9. JamiiForums Tanzania Hii combo ya lugha ya kichina na udereva class E inaweza kumtoa mtu kimaisha?

    Kutumia mwaka mmoja kusoma lugha ya kichina na kuwa na fani ya udereva wa gari. Kwa lengo la kufanya kazi na wachina maeneo mbalimbali inaweza kumtoa mtu kimaisha. Mwaka mmoja unatosha mtu kujifunza lugha ya kichina na kuwa mtaalamu wa lugha husika? Karibuni sana kwa mawazo na ushauri.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyetangaza kustaafu siasa si anakuwa si mwanachama cha siasa tena?

    Chama cha siasa kinafanya vikao kumvua uanachama mwanachama aliyeishangaza kuachana na siasa! Usicheze na mtu anayekuzi akili. Jamaa kuwapiga tobo
  11. JamiiForums Tanzania Unajua Umeoa Mke wa mtu, punguza jazba na Relax

    Wanaume mpini wa bua Habari zenu asbh hii!! Jtatu nyingine wapendwa wenu wameenda kuambatana na waume zao maofisini(kazini) Leo watatoana Lunch kama kawaida na mambo kadhaa wa kadhaa watafanya juma Zima hili. NAJUA HAYANIHUSU LAKINI SHARTI NIWAAMBIE. Umeoa mke wa mtu pengine hata anawatoto...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kwanini binadamu anathamini mtu au kitu cha kupita?

    Kwa mfano mtu akiiba, atafukuzwa na kupigwa hadi kufa. Huyo mtu anaweza kuwa kaiba labda kwa sababu ana njaa, au kakosa namna ya kupata pesa halali. Ni sawa, ila kwanini binadamu kayaweka maisha yake ya revolve around umiliki wa vitu? Mbona wanyama wao wanaishi kulingana na Matakwa ya mazingira...
  13. JamiiForums Tanzania Dalili mbili kuwa hatima yako ni kuwa Mtu Mkubwa na mkuu (Greatness)

    First, You never fit in Hujawahi kuendana na makundi au mifumo ya kawaida. Tofauti yako ndio alama ya ukuu wako. Ukijiunga na watu kwa jambo lolote wenzio watakua hawakuelewi na wewe huwaelewi, fikra zako ziko mbele ya muda ndio sababu. wanayoyapenda wengine wewe sio habari hata kidogo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Mtu yoyote usikubali kununua mali yoyote ya Rwakatare

    Kupitia Mawakili Tibe Kenneth Rwakatare, mtoto wa marehemu Mchungaji Dkt. Gertrude Pangalile Rwakatare, Nicholas Mugarura, Mwesigwa Muhingo na David Saire Manoti, wametoa tahadhari kwa umma kutonunua mali zinazodaiwa kumilikiwa na St. Mary’s International Academy Limited pamoja na mali za...
  15. JamiiForums Tanzania Mtu akiwekwa kizuizini anaruhusiwa kwenda kanisani ?

    Mtu akiwekwa kizuizini anaruhusiwa kuendelea kuitumikia Imani yake mbele ya umma kama kuendelea kwenda kanisani, misikitini au kwa waganga kulingana na imani yake ? Au anakuwa anapelekewa padri, mchungaji, askofu, sheikh, ustadh au mganga aliko kizuizini?
  16. JamiiForums Tanzania Mzee wa Msoga, Kama hayupo vile, ila ndo anasukuma Kete yake 'Mwishoooni atuwekee Mtu wake et aje kama Mpatanishi/Mfariji".

    Wakuu mnakumbuka Siku za mwishoni kuelekea KIFO chake, Magufuli alitindiganya mambo sanaaa akaharibu kwelikweli Picha ileile , Inarudi kwa Mzanzibar , Mzanzibar katindiganya mambo sanaaa + Uislam + umbumbumbu basi daaah kayatiganya haswaa. Jambo Moja la uhakika 100%, Mungu kanionesha Usiku...
  17. JamiiForums Tanzania Kumfukuza mtu aliyeamua kujiuzuru ni Akili au Matope!

    Ukiangalia sura za Viongozi na wafanya Maamuzi,utadhani ni wacha Mungu na wenye kutanguliza watu wengine na utu! Kumbe ni Manyang'au Mtu amewaachia Mavyeo,mna haja gani kuendeleza ajenda yake? Mungu asipomfuta mtu mtafanya kazi ya kuchosha. Mtoa wazo hilo na waliotekeleza Mungu awalipe...
  18. JamiiForums Tanzania Mtu ameshasema anastaafu siasa sasa huo uanachama wa kazi gani? Kuachwa kunauma nyie acheni tu

    Kuna mambo yanafurahisa sana. Kuachwa kunauma hatari Mwamba alikuwa sawa kuleak ile barua hiyo jana vinginevyo leo wangemdhalilisha kwa kumfuta umakamu na kumtimua uanachama.
  19. JamiiForums Tanzania Utumishi wanaangalia vigezo gani kumpa mtu kazi?

    Mwaka huu toka uanze mpaka sasa nimepiga oral 3,ila mpaka sasa hakuna iliyo blue tick.kwa uelewa wangu hizo oral zote nimepiga fresh tu kama wadau wengine walivyopiga.changamoto ni kwamba hatuitwi kazini Nimepiga oral ya cooperative officer ii,Quality assurance officer ii na juzi nimepiga...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu mtu atatoka kweli kwa hali ya kawaida?!

    Inatamausha mno kwa namna hali ilivyo. Inafikirisha vilevile kushuhudia hayo yawayo Hofu yangu, huyu ndugu ataondoka kweli kwa utaratibu uliozoeleka? Binafsi sioni akiondoka ki kawaida. Pengine namkosea Mungu, lakini ni muhimu kujiandaa kwa lolote Dalili zi wazi, huyu ndugu atataka kuongoza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…